THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

kashangae feri


soko jipya la samaki magogoni


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. John Mwaipopo Anasema:

    Nikiwa Dar mwenyewe aaah! Ugali na samaki wa baharini saaafi. Lakini awali ilikuwa kazi kuwazoea samaki wa baharini. Mwenyewe nilishazoea-ga samaki mbasa wa ziwa Nyasa. Anayemjua samaki huyu anifananishie ladha yake na samaki yoyote wa baharini.

  2. athumani Anasema:

    harufu inayotoka hapo lakini, mhh, acha tu.