THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

mafundi wa ndege bongo


mafundi wa ndege za serikali mzigoni. bongo tunao wataalamu waliobobea kwenye anga hizi...


Kuna Maoni 7 mpaka sasa.

 1. John Mwaipopo Anasema:

  Hala hala wasijekosea. Sio gari hilo ambalo likiharibika safarini mwaliegesha pembeni mpaka fundi atoke Iringa ama Morogoro (mkiwa Mikumi kwa mfano). Je mkiwa angani mtaegesha wapi? Ndege twazikwea lakini zatisha yakhe!

 2. Anonymous Anasema:

  mbona watia puti?

 3. Anonymous Anasema:

  Vipi ndio wanatengeneza foka aliyonunua MRAMBA KWA AJILI YA MKAPA. Namaanisha kale kandege alikosema Michuzi kuwa ni kao

 4. athumani Anasema:

  Viti lazima waweke karibu karibu ili watu wabanane ku maximise faida kama mabasi ya kwenda mikoani.

 5. Anonymous Anasema:

  Yaani unamaanisha hii ndio ile gulfstream 550 mpya iliyo chukua mamilioni ya Pesa?
  Kama ni kweli ni hasara tupu!!!

  Tanzania kuwa na wataalamu wengi wa kila aina ni faida kwa Taifa letu na Wananchi.

  Kuwa na wataalamu dizaini hii Tunajitaidi kwa mapango huu.


  MK

 6. kimanzichana Anasema:

  Hii bodi mngenipa mimi niipeleke kwetu Kimanzichana kwa ajili ya kufugia kuku.

 7. Anonymous Anasema:

  Hivi jamani, mimi kila leo nasoma juu ya kununuliwa ndege mpya na mashirika ya ndege huko nyumbani kama precision air nk. naomba kuuliza huu upya ni upya wa brand new au ni ule upya wa kama magari tunayonunua autorec (used abroad, new in Tz)? Ndege zinahitaji viwango vya usalama wa hali ya juu sana ama sivyo tutakumbwa na majanga kama ya DRC ambao wanamashirika ya ndege kama utitiri lakini hata moja haliko katika viwango vya usalama wa kimataifa na ndiko kunakoongoza kwa ajali za ndege. ebu chungulia hii link http://ec.europa.eu/transport/air-ban/pdf/list_en.pdf