THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

mtandao musoma


vijana wakicheza michezo ya kompyuta katika kefu mjini musoma


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. mark msaki Anasema:

    hiyo ndip the dotcom generation perse! sio sisi tulianzia ukubwani! hawa ndio watatukomboa na huu utandawizi!

  2. Jeff Msangi Anasema:

    Kweli kabisa Mark.Nyanja ya habari na mawasiliano ni muhimu sana katika kukabiliana na masuala mbalimbali yaliyotuzunguka hivi leo.Tuhakikishe kwamba hata kama sisi tulichelewa kidogo basi kizazi hiki hakichelewi.

  3. Nafurahi sana kuwaona wabunge wajao wakiblogu hapo Musoma. Nadhani kuna haja ya kuongeza kompyuta maana haziwatoshi hawa askari wangu. Ngoja tuombe uzima kuna umuhimu wa kuwa na huduma hizi za bure kwa hawa askari wa nchi yetu ili waujue ulimwengu na kujiandaa kupambana na balaa zitakazowafuata. Safi sana Michuzi kwa picha hii inayotoa hali halisi ya jimbo hilo la uchaguzi.