Home
Unlabelled
mwamkumbuka huyu?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Adam Sapi Mkwawa?
ReplyDeletendiye haswa! Adamu Sapi Mkwawa!
ReplyDeleteHivi hizi style za turban zimepotelea wapi?
ReplyDeleteWanyalukolo huko Iringa bado wanatilia kiremba, hasa hasa wale wazee na katika shughuli muhimu za kimila, km, tambiko, mazishi nk
ReplyDeleteEnzi hizo fasheni ya kuwa spika wa bunge ilikuwa uwe chifu. Kabla Chifu Adam Sapi Mkwawa alikuwa Chifu Erasto Mang'enya.
ReplyDeleteSiku hizi fasheni unaingia uspika na mkeo waziri. Alianza Spika Pius Msekwa na Waziri wa Afya Mama Anna Abdallah. Sasa kaja Spika Samwel Sitta na Waziri wa Elimu na Ufundi Mama Magreth Sitta.
Mchana wanaitana "..Mheshimiwa Spika.." "..Mheshimiwa Mbunge.." Wakirudi nyumbani wanaitana "..mama nanihii.." "..baba nanihii.." Hili igizo linaniacha nacheka hapa mbele ya kompyuta kama nimerukwa na akili.
F MtiMkubwa Tungaraza.
Si lazima mambo yawe kama zamani, hapana budi kuwe na maendeleo na mabadiliko. Si kila cha zamani ni kizuri.
ReplyDelete