THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

posta


jamaa akipokea barua posta mpya. je, wa ughaibuni, haya mambo bado yapo ama mambo ya kuletewa hadi mlangoni. sie tufanyeje tufikie huko?


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Anonymous Anasema:

  Masanduki kama hayo yapo kama kawaida lakini ni kwa matumizi binafsi mfano mtu una vitu vya thamani (jewels, makaratasi ya ulithi, contracts za thamani, n.k) unataka kuifadhi basi inakuwa ni kwa ajili yako tu.

  Karibia asilimia 99.99 za barua zote uletwa mpaka nyumbani yaani mlangoni, Milango inakuwa kama ina sehemu ya kupenyezea barua bila ya kusumbua watu mida ya hasubui.

  Tanzania kufikia hatua hii inabidi mitaa na nyumba ziwe ndani ya ramani ili isiwe vigumu kwa kusambaza barua, Pia milango yetu iwe na nafasi za kupenyezea barua.

  Usalama inabidi uwe zaidi maana bila hii itafanya watu wawe wakipotezewa barua zao (wizi), Postal offices wawe na uwezo wa kusambaza barua kwa muda muafaka na wa haraka yaani watuma leo kesho hasubui wapata.

  Kama Postal Office wakitaka haya wanaweza kuja huku au popote(nchi yoyote) penye huduma kama hizi ili wajifunze zaidi.

 2. Ili kufikia huko, kwanza kabisa ni lazima wenye nyumba wabadili tabia ya kufukuza fukuza wapangaji, halafu ndio mengine yatafuatia.

 3. mkongo Anasema:

  Kabla ya yote hayo wenye nyumba kufukuza wapangaji au kutengeneza sehemu za kupenyeza barua kwenye nyumba namaofisa wa posta kuwa waaminifu, cha kwanza kabisa ambacho ni muhimu kila mtaa au sehemu ambayo kuna nyumba zipewe majina na yaandike na kila nyumba iwe na namba kwa nchi nzima kuanzia mijini mpaka vijijini. je mtaweza?

 4. mark msaki Anasema:

  duh hii kali! lakini sijui ni kwa nini, nadhani kwa sababu ya maisha ambayo labda hayatabiriki sana au!! cha ajabu sana huku kwenye nchi za wenzetu, ukienda benki yoyote, bima yoyote, idata yoyote, iwe polisi au afya.....yaani wana historia yako, tangu siku ulipovuka mpaka, gari ulilotumia, nyumba zote ulizoishi, na kazi zote ulizofanya!!!!!! hakuna ubabaishaji wana data base system nzuri sana, na nafasi za kufanya utapeli ni finyu sana- kwa kweli Tanzania kufika huko inabidi kudevelop sana system ya IT..samahani nilitoka nje kidogo ya topic! -

 5. Mliakuvana Anasema:

  As we say in Texas, Why fix something that ain't broke? Kwani upatikanaji wa barua posta sasa hivi una matatizo gani? Don't fix something that ain't broken!

 6. Anonymous Anasema:

  mmh ndugu mliavukana kufuata barua posta kuna matatizo mengi sana,siku hizi the trafic is so busy in dar so to get to the center is a head ache.ni vyema tukaidefine mitaa yetu na nyumba zitu ili tuweze kuletewa barua hadi maskani.Imani.