Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu Edward Lowassa wakati alipowasili kwenye viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar kuhudhuria mkesha wa kuadhimisha miaka 29 ya CCM juzi usiku.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Angalau hawa wawili wamekumbuka kwamba maadhimisho siyo lazima yaendane na kuvaa suti na tai kutoka ughaibuni.Uzalendo unaendana na kupenda vya nyumbani na wakuu wa nchi kama hawa ni lazima wawe mfano.Sio kusimama majukwaani wakielezea umuhimu wa kununua bidhaa kutoka viwanda vya nyumbani huku wao wakiwa lipulipu na kila kitu cha nje,kuanzia jezi za ndani mpaka nje.

    ReplyDelete
  2. Nimesikia kuwa kwa kuwa hawa jamaaa ni washikaji wa siku nyingi wamebatitizwa jina "BOYZ II MEN'.Ref darhotwire.com

    ReplyDelete
  3. Jeff, umemuonea Dr. Shein, naye katinga kiwalo local! - inatia moyo namna hiyo.....

    yeh niliishasoma hiyo ni boys 11 men...tunawaombea mungu..mwanzo unaonyesha wanafanya kazi nzuri ..

    ReplyDelete
  4. Mashati ya mzee Mandela yametinga Bongo! Safi kabisa.

    ReplyDelete
  5. sijui nia ya michuzi kuweka hii picha! ila naona wtz wenzangu wengi wameona mavazi tu!
    hawa ndio machifu wakuu wetu,je JK anaweza pga mtu ngumi kama mwenzake jerry rawlings(ghana)?au mfuta mtu kazi? yuko chifu mwingine mahita-polisi mkuu yupo bado?
    anyway nakuomba tena bwana michuzi kama unaweza tuwekea picha ya mzee Ruksa na baraza lake jipya baada ya kulivunja mwaka 90.namzimia sana huyu mzee ruska ni mliberali mwenzangu, ombi,
    jamjuah

    ReplyDelete
  6. we michuzi! hebu tufahamishe! huwa inapigwa shikamoo hapo? ndio mana Shein anacheka nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...