THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

wameshalamba tena...


makachero na askari magwanda wakihoji dereva na abiria wa gari hili walioporwa mkoba na majambazi kweupeeee karibu na taa za tazara. aluta kontinua...


Kuna Maoni 3 mpaka sasa.

  1. Anonymous Anasema:

    Wao ndio waliofanya ujangili huo hapo washazunguka na sasa wanaua soo tu.

  2. mark msaki Anasema:

    masikini we!

  3. mark msaki Anasema:

    na lile lori pale NAHACO mbona jina la mkao wa mashirika yaliyokufa? kweli kamera zinaongeaga!