THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

Gadget

This content isn't available over encrypted connections yet.

watwangaji na wapepetaji wakuu


asha baraka na kaka yake baraka msiilwa, wamiliki wa africa stars entertainment inayoendesha bendi za african stars 'twanga pepeta' na african chipolopolo (zamani african revolution) wakitete jambo.


Kuna Maoni 6 mpaka sasa.

 1. Mzee wa Keroroh!! ;) Anasema:

  Yaani....nimefurahi saana kwa Chock kurudi TWANGA...

 2. Anonymous Anasema:

  Muhidin,

  Amini usiamini, umeniwahi kidogo nilikuwa nataka nikutumie ombi la picha ya timu ya netiboli ya BIMA kufuatia msululu ulioutoa wa picha za zama za kandanda.

  Una picha yoyote ya Asha Baraka na kina Marehemu Amina Mohamed, Aziza Fataki, Beti Ndolezi, Suma Mwaisaka, na wengineo wakiwa bado katika timu ya netiboli ya BIMA. Kama unayo tafadhali naomba utuletee ili tukumbuke enzi za netiboli uwanja wa Reli, Gerezani.

  Msishangae sana kwa sababu enzi hizo ushabiki wa netiboli kwa wanaume ulikuwa unakwenda sambamba na ushabiki wa soka. Hali kadhalika ushabiki wa soka kwa wanawake.

  Jamani, Tanzania ilikuwa ina wakati wa karaha iliyokuwa imejaa raha.

  F MtiMkubwa Tungaraza.

 3. John Mwaipopo Anasema:

  F MtiMkubwa Tungaraza nimekuvulia kofia kwa kumbukumbu nzuri. Hatuitaji kusoma kitabu tujue yale yaliyotukia wengine tukiwa makinda. All we have to do ni kukualika na kukupa tu-bia (kama watumia)halafu lete stori.Ntakutafuta ntakakapokuwa nakamilisha kuandika kitu fulani.

 4. mark msaki Anasema:

  nayule alikwa mwenyekiti wao ni nani Chiku? du ilikuwa raha sana enzi hizo kweli raha ndani ya karaha... Michuzi unawakumbuka vijana wa maghorofani, MK group na MK nani wale..mambo ya Ngulupa tupa tupa....huwezi amini zile bendi mbili zilikuwa za huyu mama..kweli katoka mbali1 je unapicha zao?

 5. John Mwaipopo Anasema:

  Mk Beats. Unawakumbuka wakina Sem Karenga? Siku hizi ana kibendi chake kinapiga Sugar Ray Sokota Temeke Ijumaa na Jumamosi

 6. Anonymous Anasema:

  Msimsahau Neddy nombo pale maghorofani, raha tupu