THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | CRDB BANK - THE BANK THAT LISTENS | NATIONAL BANK OF COMMERCE (NBC)- CONVENIENTLY EVERYWHERE | NATIONAL SOCIAL SECURITY FUND (NSSF) | PUBLIC SERVISE PENSIONS FUND (PSPF). ' Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.

zenj empire


sheria msumeno


Kuna Maoni 2 mpaka sasa.

  1. mark msaki Anasema:

    picha hii imeongea! juzi watu wamelalamika TRA imezikwida ZNZ zao dar kutumia majembe na Yono auction mart wanauliza kulikoni muungano?? mbona wanapenda kuwapotezea watu muda? nimekumbuka nimeona hiyo TZG ikipeta bila wasi ndani ya mji mkongwe!

  2. Anonymous Anasema:

    Mstari mwekundu ukiwa juu ya alama ya "P" ina maana "no parking". Hiyo inaeleweka. Sasa huyu mchoraji aliyeweka alama ya P juu ya mstari mwekundu ana maana gani? Ngoja nibuni: Nadhani anajaribu kutueleza kuwa kuanzia sasa tunaruhusiwa ku-park mahala ambapo parking ilikuwa inakatazwa hapo awali! Au kuna maelezo mengine kwa maana sijawahi kuona sign kama hii!