Home
Unlabelled
maharusi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu mwanamke si ana mtoto mkubwa tena baba mzima, jamani??? Yaani huyo mume wake mpya kiumri ni kama mwanae wa kiume!!
ReplyDeleteAcha ujinga wewe hapo juu , Hongera kwa bwana na bi harusi ...Wabongo kwa nini tunakuwa so opinionated ,her age is none of your business !
ReplyDeleteHongera dada Khadija !
Kama sikosei Mwanamboka amezaliwa 1977.
ReplyDeletehaya huyu ndio donatela vasachi wetu,naona mwanamboka gauni hiyo. j.j
ReplyDeletewaTZ kwa kutukanaga ongereni, huyu acha ujinga, mwinginge amtukana bibi wa mwenzie yote ya nini? midomo ka imewekwa program kutoa matusi vile.jifunzeni ustaharabu wa kueshimu mawazo ya wenzenu ata kama ni mabaya.Ustaharabu haufundishwi school.Okeno
ReplyDeletehongereni bwana na bi harusi, hiyo nguo umedesign mwenyewe?nimeipenda its so simple
ReplyDeletehahahaahah anaonekana kama kamuoa mtoto wake. Halafu huyo kijana anaonekana kama ndio kaolewa hahaha suga mamy nafuu umepata mtu.
ReplyDeleteanonymous2 na anonymous3 msijifanye mnamjua huyu dada...Matako yenu!! Hivi kweli mnategemea kila mtu afikiri kama mnavyofikiri nyie? Hamjui kila mtu ni tofauti dunia hii, ehh? Huyu dada ana mtoto mkubwa wa kiume aitwaye Mike ambaye ni umri karibia sawa na huyo bwana wake.
ReplyDeleteAMA KWELI WATANZANIA TUNA SAFARI NDEFU SANA.
ReplyDeletekwani huyo bwana ana umri gani?
ReplyDeletewangapi bwana wameoana mwanaume wakubwa kwa mwanamke bado ndoa ina vituko visivyosemekana acheni maneno huyo jamaa mwenyewe mbona anaonekana mzee tuu halafu kama namjua ni nani huyu mtu mwaweza nifafanulia jamani hii sura kama si ngeni naiona mara kwa mara
ReplyDeleteHuyo kijana anaitwa Ibrahim Gobbos alisoma MOA.
ReplyDeleteAGE IS NOTHING BUT A NUMBER, WATANZANIA MTAENDELEA LINI???? HONGERA DADA UMEPATA MUME MUMEO, MTUNZE DADA USISUKILIZE YA WANAFIKI.
ReplyDeleteHata Khajida mwenyewe sio mtu mzima, umri wake ni mdogo sana.... ana mwili mkubwa tu!!!
ReplyDeleteKhadija mkubwa kwa huyo kijana hili liko wazi na ukizingatia pia Khadija alizaaga akiwa mdogo sana huyo mtoto wake karibia alingana na Ibra.
ReplyDeleteHata kama Khadija ana mtoto anayelingana na mumewe wewe matako yakuwashia nini, au unamtaka, muone domo chafu ka choo cha stendi. Hongera Khadija waignore washamba hawa!!!
ReplyDeleteIbra, siamini mwanangu vipi MOM aliishia wapi? HAHAHAHA hongera.
ReplyDeletemsilete maisha ya ulaya ndani ya Tanzania, kutokana na mila na destuli zetu hauwezi kuoa mwanamke kama mama yako kufanya hivi inamaanisha ya kwamba unaweza kulala na mama yako.usiweze maisha ya sasa yawe magumu au mazuri yakufanye usahau desturi za mtanzania na mwaafrika.in this great future you cannot forget you past.
ReplyDeleteBIG BONED women like BIG BONERS... the young man Gobbos better deliver... hahahha.
ReplyDeleteNilikuwa sijui kama Khadija ana mtoto lakini hawa wamependeza japo huyu bwana inaonekana anapenda mteremko na bahati mbaya mwanamboka siku hizi kachoka.
ReplyDeleteanony#18 acha kuwa too rigid dunia inabadilika lazima twende na wakati.Desturi zingine zimepitwa na wakati, kama wamependana wacha waowane as long as sio blood relatives. Cha maana ni mapenzi, tafadhali nenda na wakati!!!
ReplyDeleteMume bwege hahahaha
ReplyDeleteweeee hayo hayasemeki ndugu yangu mume bwege wee ngoja na wewe utakumbuka haya maneno yako.
ReplyDeleteWaswahili hamuwachi roho mbaya lol mlidhani Khadija hatoolewa nini washamba nyie mmekaa kusakama watoto wa watu na hakika hamna
ReplyDeletemuda wa kufikiria maisha yenu " Nunga Embe nyie hamtoolewa na ushangingi wenu mjini kumewadodea hapo na Ukimwi utawamaliza wajinga wajinga nyie Kwa raha zake Khadija kapata mume Handsome na kupata mume shoga kazi wangapi mnatiwa bila kuolewa ahhhh Loh lazima roho ziwaume Khadija vuta raha kuwa na mume shoga ni raha!!! Vuta raha wangu kwa sana!! Vuta saana na usisahau mila zetu za Kimanyema na Kinyamwezi and plus mafunzo ya Tanga mwanamke Mume na haswa mume Handsome na kijana mwenzio oh Vutaaaa Raha, na wenye wivu wajinyonge lol'
Kwa raha zake mwanaume kakolea ki- sawa sawa dear. Hii ndio jadi yetu sisi Wamanyema na Wanyamwezi kama hamjui tukishika mtu lazima aowe ah! Khadija sweet mpe vitu your hubby hadi apangawe na kujenga villa kama ya baba' Mbezi yeah. Lazima wenye wivu wajinyonge hola! Vuta raha mtoto wa Kimanyema yeah, usisahau asili ya Tabora pia vuta raha and achana na waswahili. Walitaka waolewe wao ahhh too late Khadija collection ndio kashashikilia mchuma kwa raha zake! Una dollar wee? Ni vijimambo tu vya hapa na pale... Vuta Raha bibi kuolewa sio sunna Kuolewa Starehe bibi, Kuolewa Heshima, Kuolewa matunzo unayompa mume. Sasa wewe pashu utaolewa je una sifa zote hizi kula kona na uache umbea.
ReplyDeleteKhadija ana mtoto ahhh this is a joke, Lazima alizaa na baba yako Mzazi wakati mama yako aliposhindwa kumpa viuno vya Kimanyema na Tabora au hajachezwa Uyago na Msondo? Aje basi Ujiji au Chemchem Tabora tumfunde mwari ah! Asilete ujuzi wakati mambo hayajui. Anyway my sweet Khadija enyo your married as much as you can, Love you hubby and usiwape wanga nafasi wanataka kuchukua handsome wako ahhhh hawana haya hawa lol. Kaeni mkao wa kula sasa Khadija anawalete toto' la Kimanyema lazima mkome wajinga wajinga Vuuuuta Raha sweet! Vuuuuta Raha haswaaaaa na wenye wivu wajinyonge hate it or Love it ndio kashaolewa bibi weee,
Ibrahim Kula raha wajinga wajinga wanataka kuchezea akili zenu Vuuta raha hao wanawake wa MOA wamekosa kazi wanataka kuleta maneno ah wapi Khadija kafunzwa bwana wee na kalelewa na kuleleka ah, Mambo ya Kigoma mwisho wa reli & Tabora tuna vuta raha na kucheza msondo, uyango na kila kitu dear kwahiyo Ibrahim kakolea haswaaaa kwa mambo ya Khadija msilie wivu zenu zimepita jamani ah! Kubalini tu mtoto kakolea jamani ah and she achieve so many things, hamjui tu lakini bado hamjajua jina hili nadhani MWANAMBOKA Yeah poleni... Vuta raha Ibra na Khadija ndoa tamu yeah! Mwanamke ndoa jamani lol
ReplyDeleteIs khadija mwanamboka i know? sis wa nadya and her bro arafat? if yes then you go girl do your thing dont let the haters tell you nothing you were hot back then you are still hot now like you sis nadya back in the day ? zanaki primary school? age is nothing but a number SAYS big AL
ReplyDelete{WA,SEATTLE}
where is nadya?