
charles njonjo wa leo akiwa na suti yake yenye maandishi ya cn cn cn kwenye mistari, ua waridi na kitambaa cheupe na saa ya mnyororo wa dhahabu kisibaoni. shati lake limerembwa kwa mkono na analaani sana wanaovaa tai za kipepeo (bow/butterfy tie) akinadi kuwa ni maweita tu wenye kuvaa hizo. hapa alikuwa akihutubu siku ya harusi ya mtoto wa jaji mark bomani, dar
sasa huyu bwana anapoonekana kupinga muungano wa Afrika ya Mashariki hasa kinacho muuma ni nini hasa?
ReplyDeletehivi hizi hotuba za harusini watu kweli huwa wanasikiliza au ni upepo tu,maana watu huwa "wamepata" halafu wako katika mood ya sherehe.kuna harusi nilihudhuria kulikuwa na hotuba kama 8 hivi na kila moja ilichukua at least takika 10.......zemarcopolo!
ReplyDeletehuyu mzee anamaanisha nini akisema kuwa ni mawaiter tu ndio wanaovaa bow ties...michuzi una picha ya wakuu wa nchi za commonwealth ambayo imetumiwa na oxford dictionary ya oxford.naomba tuwekee hapa ili tuweze kumuoji vizuri huyu mzee kama hawa wakuu wa hizi nchi akiwemo mzee ruksa ni mawaiter au vipi?i seem not to know,who is this guy by the way?.............zemarcopolo!
ReplyDeleteok nimeshamsearch kwa google kumbe alikuwa ni mwanasheria mkuu wa kenya...........zemarcopolo!
ReplyDeleteNi miiongoni mwa wapumbavu wasiku hizo,alielimika akafuta ujinga tu (ignorance)lakini upumbavu(foolishness)haukumtoka maana elimu hufuta ujinga tu haiondoi upumbavu.Kwa hiyo bado ni mpumbavu.
ReplyDeletehakuanza leo kupinga jumuia yeye ndiye aliyechangia kuvunjika kwa jumuia ya afrika mashariki kwa taarifa yako.