jk akisalimiana na betty mkwasa na mtoto wao wa kwanza huku william lukuvi akishuhudia. hii ni katika hafla ya kuchangisha ya watu wa iringa. betty (chalamila) mkwasa ni mke wa charles boniface mkwasa, kocha wa moro united

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2006

    KUWA MWANAMICHEZO KUNA ADVANTEJI,MKWASA NA BETI WANAZEEKA KWA DISPLINI!SAFI SANA!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2006

    na mtoto wao wa kwanza??**!! yaani jk na...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2006

    We Muhidin wewe rekebisha mapema kadri inavyowezekana hiyo sentensi yako juu maana ni tata mno mtoto wa kwanza wa Betty au JK, halafu na nani?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2006

    yaani nimestuka sana hata mimi b na jk wana mtoto! na mambo yawekwa hadharani hivi bila hata ya kudadisiwa na mtu yeyote ama kweli ari mpya nguvu mpya naomba mniambie hiyo sentensi imekosewa ila pia huyu kikwete anavyosalimiana na b mbona kanyon'g.........hivyooo?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 27, 2006

    hii blog inatembelewa na watu wengi, comments nyingine zaweza leta mrafaruku ndani ya ndoa yahe.mimi sipo haya weeeeeee.......

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 27, 2006

    NAMSAIDIA MICHUZI,AMESEMA BETTY MKWASA(BETTY UKOO WAKE NI CHALAMILLA,AMEOLEWA NA MKWASA AKAONGEZA JINA NA KUITWA BETTY MKWASA NA HUYO NI MTOTO WA BETTY NA MKWASA)JAMANI,TUNGO TATA KWENYE KISWAHILI ZINATUMIKA KUCHOKONOA HISIA,SI KAMA HIVI WATU WAMETOA MAONI?SAFI MICHUZI!NDIO MAANA HII BLOGU WATU WANAITEMBELEA KWA KWENDA JUU!MIMI NAPENDA HII AINA YA UANDIKAJI WAKO WA SENTESI FUPIFUPI.
    USHAURI WANGU KWAKO:
    JITAHIDI SENTESI ZAKO ZIWE TATA KADRI IWEZEKANAVYO,KWANI INASISIMUA "MBONGO"ZA WASOMAJI HIVYO KUCHANGIA HOJA BILA KUPENDA.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 27, 2006

    anony wa herufi kubwa huna hoja

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 27, 2006

    Kama suala ni tungo tata.,,,,, basi kuna utata zaidi ya huo mnaouzungumzia. Kaandika "mtoto wao wa kwanza" ina maana kuna wa pili na wa tatu?? au? maana MOJA ni mwanzo wa hesabu.

    BABATUNDE

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 05, 2006

    jamani embu someni hii cv..huyu mtu anafaa kuitwa dokta kweli,mi najua madokta ni watu walio na degree...kumbe,sijui inakuwaje hapo...au tembelea http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?fpkey=110&PTerm=2005-2010&vusername=GUEST")

    ID No.: MEMBER'S PICTURE
    Salutation: honorable
    First Name: dr aisha
    Middle Name: omar
    Last Name: kigoda
    Member Type:
    Constituent:
    Political Party:
    Office Location:
    Office Phone:
    Office Fax:
    Office E-mail:
    Member Status:
    Start Date:
    End Date:
    Date of Birth

    --------------------------------------------------------------------------------
    EDUCATION
    School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
    AMO Training School - KCMC Advanced Diploma in Clinical Medicine 1985 1987 ADV DIPLOMA
    Medical Assistant College - Bugando Diploma in Clinical Medicine 1975 1977 DIPLOMA
    Korogwe Girls' Secondary School Secondary Education 1969 1972 SECONDARY
    ST. Annes Girls' Primary School Primary Education 1966 1968 PRIMARY
    Mswaki Primary School Primary Education 1962 1965 PRIMARY

    --------------------------------------------------------------------------------
    CERTIFICATIONS
    Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
    No items on list

    --------------------------------------------------------------------------------
    EMPLOYMENT HISTORY
    Company Name Position From Date To Date
    Ministry of Health & Social Welfare Deputy Minister 2006
    RAS-Dodoma Ag. District Medical Officer 1992 1998
    Dodoma Region Medical Officer 1992 1998
    Tanzania Parliament MP's Medical Doctor 1992 1998
    Dodoma Region Senior Assistant Medical Officer 1987 2000
    RAS-Dodoma Medical Assistant 1977 1985

    --------------------------------------------------------------------------------
    POLITICAL EXPERIENCE
    Ministry/Political Party/Location Position From To
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member, UWT National General Council 2003 2008
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Regional Exec. Committee & NEC 2002 2007
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of Parliament of Tanzania 2000 2005
    Chama Cha Mapinduzi - CCM Member of the Regional Political Committee 1997 2005
    TANU Youth League Member 1966 1968

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...