kuna mdau aliomba amuone kwa karibu natalia noeli miss photopoint-phot0genic 2005/2006 na pia miss tanzania wa pili mwaka huo. haya, huyu hapa akiwa amepozi kwenye kastudio ketu pale mayfair plaza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2006

    Duh!
    Sijui kama tutapona kama mambo yenyewe ndio hivi jamani

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2006

    michuzi, naomba upige picha ya hiyo mayfair plaza. nasikia ni bomba.
    James

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2006

    Beautiful picture and the lady too.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2006

    huyu mtoto ni hatari sana kitandani,,sio mchezo,nyi acheni tu, dada anaweza kukutoa nokauti,

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2006

    I like what I see

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2006

    nimekubali, wabongo wazuri kuliko wa nigeria

    ReplyDelete
  7. Hivi kaka Michuzi,mbali na UREMBO huyu dada anajishughulisha na mambo gani mengine???

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2006

    sasa wanigeria wanahusiana vp na topiki au mwanadada huyu?

    ReplyDelete
  9. fikkrathabiti huyu mtoto ni mwanafunzi mwaka wa tatu chuo kikuu dar anachukua sheria (mkononi?)

    ReplyDelete
  10. Michuzi hiyo studio yenu hata akina siye tunaweza kupiga picha au ma missiTu!

    ReplyDelete
  11. Nashukuru sana kwani sura yake ilionekana sio ngeni machoni mwangu kwasababu inawezekana tulikua tunagongana kwenye corridor za pale mlimani

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 07, 2006

    nikienda bongo lazima nizuke mlimani. nasikia kuna totoz za kumwaga.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 07, 2006

    nikienda bongo lazima nizuke mlimani. nasikia kuna totoz za kumwaga

    ReplyDelete
  14. na weka mtazamo makini samahani kwa kuchelewa kujibu. mambo ya wikiendi tena... studio yetu photo point iko ndani ya jengo la mayfair plaza mkabala na hospitali ya tmj, na watu kama wewe ndo pao. hivyo karibu kwa huduma safi na bei poa

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 08, 2006

    michu,
    nasikia anapo waona ma miss wazuri basi wakati wa kupiga picha unawa shika shika ijikifanya unawaweka wakae vizuri kwenye pozi ya kupiga picha kumbe unafanya mambo yaku papasa papasa.maanake wewe play boy wa hali ya juu

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 24, 2006

    Mbona huyu dada sisikii skendo zake?Hajagombana na washabiki wa blogu nini?eti POISON mbona mnamwachia dada wa watu aende hivi hivi?ALAFU CHA AJABU,KASHFA ZISIPOKUWEPO AU MATUSI UTAONA WATU WANATOA MAONI MACHACHE,KWENYE MATUSI NA KASHFA WANAJAZANA TELE!HAWA NDIO WATANZANIA BWANA!TENA WASOMI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...