mshindi wa miss temeke 2006 jokate mwegelo (19) akionesha donge lake la 1.2m/- alipokabidhiwa jana usiku kwenye hafla ya zawadi hoteli ya coutryard

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huku kupeana zawadi baadae mbele ya macho machache ndio kunakotia wasiwasi wazazi, hizi hela angepewa palepale au wakamwingizia bank basi mambo yaishe, haya mambo ya pembeni pembeni ndio yana sababisha maneno kwa wanyange (ma miss) wetu baadae, utasikia Idd Janguo sijui Kinje alikuwepo lazima atampitia, Rhxoqsa kamsalimia basi majungu mtindo mmoja

    ReplyDelete
  2. Michuzi naomba uwashauri hai jamaa wa zawadi, wanaweza wakawaua awa wasichana na mabo ya kuwakabidhi cash hadharani namna hii. Hii ni hatari kwani tuna majambazi kila kona siku hizi acha vibaka.. Ninaona kila dalili huyu dada atafanya vizuri Miss Tanzania 1,2,3 lazima atachukua mojawapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...