miss tz 2006 wema sepetu akiwa na washindi wa pili joket mmwengelo na wa tatu lisa jensen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

 1. Mmhh...mbona mshindi wa pili aliye kushoto kamzidi sana tena saaana uzuri huyo mtoto wa kigogo?

  ReplyDelete
 2. ndio hapo huyu wema kuanzia mabegani kwenda chini analipa ila usoni wafanye juu chini wapate jinsi ya kumembesha atachemsha huko miss dunia. Ila vipaji na upeo navyo muhimu so alipigwa teke huyo mzuri ka maswali haya tusubirie tumuone aliwa out of mekap

  ReplyDelete
 3. Jamani hivi macho yangu au the new Ms Tanzania siyo mzuri kama mtu wa pili na wa tatu?? It appears to me that the first and second runners up are way much better looking...!!!

  ReplyDelete
 4. mbona mi naona wema na mshindi wa tatu ndo wazuri kuliko huyo wa 2. hasahasa wa 3 ndo bomba. huyo wa 2 ana kitu karibu na mdomo ni nini hiko?

  ReplyDelete

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...