WALTER/VONETHA


Change of venue and time:

NOW
SAFARI CLUB
4306 Georgia Ave, NW
Washington DC 20001
Wed: Sept 27th 2006
Time: 4.30pm to 10.00pm

FUNDRAISING GATHERING (HARAMBEE)

WASHINGTON DC METRO

FOR

WALTER MAZULA AND VONETHA NKYA
****************************************************

NDUGU WAPENDWA !!

KWA NIABA YA WAFIWA NA FAMILIA ZAO MNAKARIBISHWA SANA KATIKA MKUSANYIKO MAALUM (HARAMBEE) UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMATANO SEPT 27th 2006 KUANZIA SAA 10.30 JIONI HADI SAA 4 USIKU KATIKA ANUANI HAPO:

MORE INFO:
Yassin: 301-379-0693
Luka: 240-350-5781

LENGO KUU LA MKUSANYIKO HUU NI KUCHANGISHA PESA ILI KUSAIDIA KUWASAFIRISHA NDUGU ZETU WAWILI KWENDA NYUMBANI KUZIKWA NA GHARAMA NYINGINE ZA MSIBA. KUFIKA KWENU NDIO MAFANIKIO YA SHUGHULI HII.

UPATAPO HABARI HII TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO

MUNGU AWAWEKE MAHALI PEMA PEPONI WALTER NA VONETHA

AMEN!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. wazazi wao matajiri sana hawa, tena wanaendesha ndege, si waende kuwachukua. waazime ndege ya JK, waruke kuwachukua.
    Mr Mbegu- newala

    ReplyDelete
  2. kwani yule mazula aliyetekwa nyara akiendesha ndege 1982 ni baba yake mkubwa au mdogo?

    ReplyDelete
  3. Inawezakana hayo yanayosemwa hapo juu yana ukweli lakini cha msingi kwa sasa tungejishughulisha kwa huu msiba tuachane na utajiri au utekwaji nyara.Anony wa kwanza hata matajiri huwa wanazikwa.

    ReplyDelete
  4. nyie wabongo sijui mtaambiwa nini ili muelewe gharama za kupeleka miili ni karibia milioni 15($15000)sasa unasema mambo ya utajiri wa kibongo wazazi wa watu wamefiwa unataka watumie hela zote hizo sisi kama marafiki wao tunafanya nini, kama huna chakusema si ukae kimya sisi hapa tutahakikisha tunamrudisha marafiki zetu bila ya kuwatia wazazi wao kwenye majonzi zaidi, tunashukuru lakini kwa muangalio wako mungu awe nawe

    ReplyDelete
  5. Jamani kuwa na magari mawili na nyumba nzuri si utajiri.Hizo million 15 si pesa ndogo.Wazazi wa watu kwa kweli wanahitaji msaada mkubwa kutoka kwa ndugu na marafiki.

    ReplyDelete
  6. jamani sisi tunaojua kinachoendelea tusipoteze muda na hawa watu wasiotaka kuonyesha ubinadamu wa mtu kufiwa na kufanya utani hata kama haumjjui mtu kifo ni kifo hakina mwenyewe na wewe unayejidai una maneno una siku yako so keep playin around na vitu vya maana na kusikitisha.

    Sisi tutahakikisha kwamba tunapata hela za kuwarudisha hawa ndugu zetu bila ya kuwatia wazazi wa watu kwenye pressure zaidi, ndio maana ya kuwa na marafiki kama hatuwezi kuwasaidia sasa hivi tutafanya hivyo lini tena na kwa jambo kubwa gani zaidi, kama ni mtanzania na binadamu mwenye roho ya kibinadamu utaelewa

    ReplyDelete
  7. JACK PEMBA HUU NDIYO WAKATI MUAFAKA WA WEWE KUSAIDIA SIYO UNAMWAGA DOLLAR KWA MISS TANZANIA KWA SABABU UNATAKA URODA SAIDIA HATA KWENYE MISIBA KAMA KWELI WEWE NI MTU WA KUSAIDIA NA UNAJIDAI NI MPENDA WATANZANIA.

    ReplyDelete
  8. Muaji Mohamed Mustapha Mbelwa alikuwa na bifu na marehemu Mazula tokea Texas. Mbelwa alikuwa mpenzi wa ile sinema ya kikatili SCARFACE. Mle watu wanakufa kwa kuchomwa kisu maiti zinachomwa moto na watu wanauliwa kwa kupigwa risasi nyingi. Mtafute Mbelwa Jumamosi atakuwa Chicago kwenye Kalenda pati.

    ReplyDelete
  9. tuna uchungu lakini isije ikawa biashara $20,000 ni maisha bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...