ingekuwa bongo hapa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

 1. nini bongo, saudi arabia!!..wangekiona cha moto babakee!

  ReplyDelete
 2. Sababu sisi watu wa 3rd and 2nd world counties tunaishi kama vile wazungu walivyokuwa wanaishi zaidi ya miaka 1000 iliyopita, maisha ya "tabuu" kuficha feelings zako, kuishi kwa kupretend, kumind watu wengine kabla haujafanya kitendo, uncivilized life! Huku Holland bangi, sex popote hakuna mtu atakumind, bora ni vyako tu!
  Rukhsa!

  ReplyDelete
 3. Inaonekana hapa watu walimshangaa sana Michuzi wakati anapiga picha

  ReplyDelete
 4. Bilicanas na huko YMCA kwa nyuma ndo palikuwa penyewe kwa dendas. Mnashangaa nini lakini denda ni denda. Lakini Bongo bwana midomo inenuka mpaka wote munywe bia ndo unaweza kupiga dendas.!

  ReplyDelete
 5. hahahahahah jamani sio wote wananuka midomo hata hao wazungu wananuka ila wenzetu mapenzi yao tofauti hata asubuhi umeamka busu unapata bila kuswaki hahahah.
  Holand in free country watu wanajifanyiwa wanalotaka ije dena hata mbele za wakwe lapgwa

  ReplyDelete
 6. MHHHU HUKO HOLAND KUNAONEKANA KUNA MARAHA !!ITABIDI NIJE KUTEMBEA NIJIONEE MWENYEWE.RAHA BWANA KUPIGANA MABUSU BARABARANI YAANI POPOTE PALE UNAPOJISIKIA!SIO BONGO MPAKA TAA IZIMWE WATOTO WAMELALA NDIO MPIGANE BUSU HAPO WOTE MMESHACHOKAA MNAAMUA KUNANIHII TU ISIWE TABU TUMALIZE TULALA KESHO KAZINI ASUBUHIII!BORINGGGGGGG!

  ReplyDelete
 7. Waswahili kwa ngono hamjachacha maana mnalizungumzia denda si mchezo. kesho bora mchuzi aweke picha wanabaluzana kabisa tujue moja.

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...