Home
Unlabelled
gud taim
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
They seem to enjoy the whole thing about Bongo. Happy, relaxing, etc. Good job!
ReplyDeleteThey look great..nakubali popote wanapotea time jay na bee, ni lazima watu waenjoy kiutuuzima.
ReplyDeletemore pictures ....
ReplyDeletehttp://cloudsfm.co.tz/
I hope these guys Jay and Beyonce have learnt a lot about where their grand pa came from, I guess when they come back home will sit down and pondering how to start helping fellow AFRICANS from investing in big companies to health care and education. They see how we Africans(Tanzanians) love them and I am pretty sure they had good time up there, I can`t wait to see Beyonce sing a song about Africa and particularly Tanzania Bongo Yetu.
ReplyDeleteMichuzi Good job man, Keeep it up, I will stop by to see you in couple month when I come up there for a couple month or so!
Cool, Calm and Collected Couples, down to earth chilling in Bongo! aren't they Lovely?!, I knew i like Beyonce for a reason before she even went to T'zania, Now i've confirmed, she is for REAL!!!
ReplyDeleteDooh watani kwa kweli mwenye nacho ndiyo anafaidi maisha!! Check hili toto la Jay Z? ni nzuri ile kinoma... Daah Walahi kila mtu na kwao, huyu mtoto namwota tu kila siku lakini Jay Z ana pata live hahaha....just kidding!!! Good picture.
ReplyDeleteI wish P.Diddy naye angekuja Bongo kabla hajatengana na mwana dada Jennifer Lopez, nadhani ingekuwa poa sana hapo tungejua nani zaidi, P.Diddy na Jennifer Lopez au jay Z na Beyonce? nashindwa kusema kama ingekuwa draw ama ni nani hasa angeshinda... wadau nisaidieni. Voda jaribuni kumwalika na huyu bwana P.Diddy..
ReplyDeletemtoto wa kusaga, so whaaaat???!!! yahusu nini?!!!
ReplyDeleteWhich world are you living in my friend? PDiddy is going out with the mother of his child (although they are in dramas again). He parted ways with JLo ages ago. JLo has been married twice since then and one engagement which never worked out! Stay intouch with the entertainment world and comment appropriately.
ReplyDeleteeheee Michuzi yale yalee, unaanza mwenyewe, habari ya mtoto wa nani inahusu ninii???!!! otherwise super!
ReplyDeleteehee Michuzi unaanza yale yalee!!habari ya mtoto wa nani inahusu nini??!!! otherwise picha SUPER.
ReplyDeleteSAWA HUYU NI MTOTO WA JOSEFU KUSAGA. EHEE NA WENGINE JE? WATAMBULISHE BASI? ILI USIJE UKASINGIZIWA TENA KUWA UNAKULA KAMISHENI TOKA KWA WATU WACHACHE.
ReplyDeleteJey Zee! Sidai Njeree....Napendesa sana wewe na ndito yako, nafikiri babu wa babu sako nawesa kuwa ilikuwa maasai, tapatia wewe sawadi ya mukuyati ile dawa ya morani ya kuongesa ngufu ya manaume, taambia ebo motika aelesee wewe kwa kirengesa ya engshil musuri. karibu sana munduli juu.
ReplyDeleteMjue wingi wa WaMarekani weusi wanaona Afrika mahala pa ovyo na hawataki kuhusishwa nayo. Wanasema oh Afrika watu wanatembea uchi na wanakaa kwenye miti na kazi kuuana au kufa na njaa. Bora hao wamefika na wamepaona na wataambia watu kupitia media zao kuwa kumbe Afrika Pazuri!
ReplyDeleteAsante Beyonce na Jay-Z!
Young Bee, miguu mbona imepauka hivyo au kama wanavyosema nyumbani kwenu, "ASHY"
ReplyDeleteYoung Bee, miguu mbona imepauka hivyo au kama wanavyosema nyumbani kwenu, "ASHY"
ReplyDeleteSidhani kama miguu ya Beyonce ni Ashy. Pesa zote za ma-pedicure anazotumia, no way haiwezekani. Hiyo lazima vumbi.
ReplyDeleteDa Chemi wachana nao, wote tumejua ni vumbi. Ni lazima sehemu kama hiyo kama umevaa viatu vya wazi halafu vya chini, especially baada ya kusakata sindimba, lakini si unajua tena? Walllle waleeeee! Lazina wawe na cha kukosoa kama warundi!
ReplyDeleteKatoto ka JKu kasweet sana, na kanaonekana kana moto saaaana.
ReplyDeletetofauti ya jai zii na wamasai ni kwamba yeye anaishi usa lakini huyu ni mmasai aliyestaarabika
ReplyDeletehebu niambieni tofauti ya jei zii na hawa wamasai waliokaa nae no defferents
ReplyDeleteSome of us tulikuwa tunajiuliz ahuyu mtoto ni wa nani maana ni kazuri sana.
ReplyDeleteSo i don't blame muchuzi kutuelezea ni mtoto wa nani na sioni ubaya wa michuzi kusema huyo mtoto wa nani.Ushamba gharama sana.
kwani akimtaja mtoto wa joseph kusaga kuna nini jamani?ish na nyie wakosoaji lazima mtafute makosa.sasa kuna mtoto mwingine hapo kwani?acheni ukorofi bwana...na kama ndio pekee aliymejua jina je?
ReplyDeletebeyonce kapendeza sana bila ma-makeup yake ya kawaida akiwa katika kazi.mtoto mtaratibu kabisa....nice...
Ndugu Maisha sababu ya watu kuhoji kuhusu kutajwa kwa mtoto wa Kusaga ni kwamba tunarudi palepale sio watu wote wastaarabu humu ndani, baba yake iliwekwa picha yake humu ndani siku za nyuma, kashfa na matusi yaliyotolewa sio kawaida.
ReplyDeletebahati nzuri haijatokea naona watu wamestaarabika siku hizi lakini ingeweza kuwa ndio chachu na matusi yasiolezeka humu ndani kisa tu malaika wa watu asiye na makosa yoyote, nasema hivi kwa sababu hivi ni vitu ambavyo vinaweza kuepukwa kiurahisi tu, nadhani umeelewa na siyo sababu nyingine yoyote.