biyonsi akicheza sindimba bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hahahahahahahahaha hahahaha aha ahaaha aha ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! hahaha!!Haya!!

    ReplyDelete
  2. Safi sana Beyonce waonyeshe hao maduu wa Bongo kama kiwanja watu wako simple. Sio maduu wa kibongo ukimwambia acheze ngoma ya kwao anajifanya hajui. Haya check video ya Beyonce ijayo kama hujaona Sindimba ndani yake. Kwanza nimekumbuka hata hii video yake ya sasa si sindimba tu ile. Anyway what I'm trying to say ni kwamba Watanzania hazina tunazo lakini hatujui kuzitumia.!! Haya acha watu waje kuwaibia.

    ReplyDelete
  3. hahaha my ohh my it is amizing, i believe it wasnt that hard for her. n its good to know that she got some tips on tz dancing.that is what am talking about...

    ReplyDelete
  4. hahaa my ooh my,it is amizing to see that she got some tips on really tz dancing, i believe it wasnt hard for her. go girl that is what am talking about...

    ReplyDelete
  5. Nimekubali beyonce

    ReplyDelete
  6. Nimekubali beyonce

    ReplyDelete
  7. hivi ndio inatakiwa jamani tuienzi utamaduni wetu na tuuonyeshe hata tukwia majuu. Beyonce go girl !!!! najua tutaona sindimba in one of your video !!!!

    ReplyDelete
  8. Natafuta mchumba mtanzania na mwenye uzuri wa beyonce.
    sharti: awe anajua kucheza sindimba.
    Najua hakuna!!!!!

    ReplyDelete
  9. weeeeeeeee anon we!mi mmakonde na ngoma za kwetu nacheza kwa sana tu!

    beyonce amenifurahisha mno.look at how simple she looks kwanza.na nilipoona ile video yake ya de ja vu nikasema labda mtu pia mashauri aje akae kambi na kina aisha madinda wampe mafunzo ya mgongo mgongo kwa kama mwezi hivi lakini hiyo ni baada ya kupitia ngoma kadhaa za kiutamaduni.kweli ile video alikuwa anajaribisha sindimba.huwezi jua labda beyonce family tree yake ukiitrace ni wamakonde.heheheheheheeh....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...