jei zii akiwa na wadau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. naoan shemeji wa JOSEPH watupu hapo

    ReplyDelete
  2. those three ladies with black hijab on their heads look alike are they sisters Tanzanians or they came with Jay Z? Mmmh they look very beatiful,and i like their poses too!

    ReplyDelete
  3. Tanzania tuna warembo wengi tena wazuri, hawa ni watanzania ama wamarekani?

    ReplyDelete
  4. beyonce mama angalia utanyang`anywa Jay Z bongo hapa? abiria chunga mzigo wako, na ukipata mbongo hurudi tena New York utaogeshwa kwenye kigoda na maji ya karafuu...

    ReplyDelete
  5. Yeees safi sana lakini nauliza swali hao kina dada kwanini wametilia vilemba? au ni waislamu wa siasa kali?

    ReplyDelete
  6. hao kina dada wazuri kweli duu!!!
    Jamani nitawapata wapi na mimi kama hao.....

    ReplyDelete
  7. mbona kama wasomali?

    ReplyDelete
  8. Kila star wadau ni wale wale.

    ReplyDelete
  9. Na huyo wa nyuma mbona kapozi
    ki-marine?

    ReplyDelete
  10. Na huyo mzungu wa nyuma mbona kapozi kama wa Executive Outcomes!

    ReplyDelete
  11. Mbona wadau ni wale wale?

    ReplyDelete
  12. Yaani hawa wwanawake wa Tanzania hivyo vitambaa stily ya wasomaly na waethiopia wanaoanza kucivilize, wao ndio wameona ki hip-pop sio?
    Am kweli ushihiri umetawala bongo!
    Yaani Jay-z akiwaambia watu wa unyamwezini waguess hii picha alikuwa wapi? Hata nyinyi wenyewe jamani semeni kama msingejua.

    ReplyDelete
  13. Hao wakina dada ni Shemeji zakena Joseph Kusaga na niwaBongo....Nyie Bongo mlikua mnakaa wapi?.........

    ReplyDelete
  14. Nyie watu hao madada wote watanzania, msione hivyo vilemba ni waislam na huu ni mwezi mtukufu ndio maana mnawaona na vilemba lakini ukiwakuta miezi ya kawaida ogopa.

    ReplyDelete
  15. Hawa wote watanzania kwani jamani tanzania ndio hakuna watoto wazuri ni wasilam hao na huu mwezi mtukufu.

    ReplyDelete
  16. Wabongo wa huku wote wametoka uswahili na mashambani!!!!!!!

    ReplyDelete
  17. Anony wa 12:07 umeniwacha hoi na hiyo guess yako.

    ReplyDelete
  18. Eeh dear wa juu yangu!
    Hawa watu wa humu we wacha tu!
    Ukitaka kujua CV zao na real backgrounds zao, kutoka mababu zao.
    Hautakuta mtu wa originally O/bay, Upanga, Regent Estate, a part of: Mikocheni, Msasani, Masaki na Block 41. HAKUNA, wanatoka mikoani na vijijini, wameibuka hivi juzi tu.

    ReplyDelete
  19. Au uswahilini, wamehamia siku hizi tu baadhi yao.
    Hii ni blog ya 3rd class Tanzanian.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...