huko tukuyu kumbe kuna timu kamambe ya soka ya soshigaya ambayo ina wabongo kibao. ilishuka daraja la pili ila jamaa wamepania kuipeleka tena timu daraja la kwanza na wanasema kazi bado inaendelea lazima wachuke vikombe zaidi. maximo upo???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hao bola wabaki hukohuko..wasiingizwe stars others wise tutakula 6 nil,, wacha tubaki na kina KANIKI mboni wapo powa 2 kaka

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi pamoja na kuhesabu nikitumia vidole bado naona wabongo sita tuu. Hao kibao wako wapi au hao Japanizi ni wabongo siku hizi?

    ReplyDelete
  3. ACHANA NAO HAO? WAACHE WABAKI HUKO HUKO KWANI WAKIJA HUKO BONGO ITAKUWA NI AIBU TUPU? WAACHE WAKETENGENEZE ELECTRONIKI ILI TUNUNUE AU VIPI? KCKS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...