lady jay dee na nyota waziri walifunga sherehe hizo kwa kibao kipya cha jide 'siku hazigandi'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2007

    hawa wamdada wanajua kuimba sauti zao swaafi, wafanye collabo moja itashuka

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2007

    nadhani watu huwa wanaona wivu wakiona mtu fulani anafanya vizuri, na yule anaemkandamiza jd kila siku nadhani ana mu admire maana huwezi kumfuatilia mtu kiasi hicho na kila siku umseme seme mwenyewe kasema hataki, hamchoki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...