john mhina a.k.a vanga bado anaendeleza libeneke la the tanzanites band. hapa anakupa 'nimeokota kidude....'

kapinga akikupa 'kirakshari, kirashkshari, pugu kariakoo...'

mgassa (shoto) na kapinga jukwaani. nimeweka picha hizi mahususi kuwatonya wadau kwamba the tanzaniates band ya bongo bado ipo na haihusiani na the tanzanites band ya kaka fresh jumbe ya japani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2007

    Michuzi ndio maana tunakupenda na endelea na kazi kutufikishia habari. Nashukuru kutufafanulia kuhusu hii TANZANITE maana nilichanganyikiwa kidogo, sasa kwa nini huyo fresh Jumbe hakutafuta jina lingine?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2007

    swali linakuja Hawa Tanzanites wamemchukulia Fresh Jumbe atua gani kwa kutumia jina lao?????? nina wamiss nyieeeeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...