benki ya azania ni mojawapo ya taasisi za fedha zinazokuja juu kwa kasi na kusambaza huduma zake karibu na wadau. hapa ni mtaa wa msimbazi beneti na klabu ya simba. zamani mambo kama haya yalikuwa katikati ya jiji tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. POA TU INGAWA TUNAMJUA MWANZILISHI WAKE NA ALIPATA PESA WAPI.WATU BWANA.NOMA SANA.JITU

    ReplyDelete
  2. So what?Ukijua katoa wapi pesa inasaidia nini?all we need is development,kama ameinvest hiyo pesa badala ya kui-misuse then is better for the development of our mother country...tupende kuongea constructive issues instead of critisising everything...

    ReplyDelete
  3. THE END DOESNT JUSTIFY THE MEANS.YANI UKIMWIBIA MTU PESA THEN UKAENDA KUWAPA YATIMA HAI-JUSTIFY WIZI WAKO EEEE.UPO WE ANON WA PILI.NA SISI TUNAJUA HIYO BENKI NI YA NANI..NA PESA KATOA WAPI...HATUSEMI ILA DAYS ARE NUMBERED MIMI NAJUA PIA MMILIK WAKE YUPO WAPI SASA NA ANAFANYA NINI...SUBIRI MTOTO WEWE HUJUI NCHI INAENDA WAPI.ANON WA KWANZA THANKS KUMBE TUPO WENGI TUNAOJUA ISSUE HII.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...