mojawapo ya kazi kubwa ambazo marehemu godwin kaduma alipigamia na kuhakikisha inatekelezwa akiwa kama mwenyekiti wa chama cha haki miliki (cosota) ni utoaji wa mirahaba kwa wasanii kutokana na matumizi ya kazi zao. hapa ni dokta remmy ongalla akipokea mrahaba wa kazi zake kwa mara ya kwanza toka aanze shughuli za muziki bongo miaka ya 80. hii ilikuwa ni mwaka jana na zoezi hili linaendelea hadi leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Samahani, Mrahaba ndio nini?

    Mungu amsamehe makosa yake yote aliyoyatenda kwa kutereza (bila kukusudia) alipokuwa hai. Amina.

    ReplyDelete
  2. Mirahaba ni 'Royalties' kwa English.

    ReplyDelete
  3. Kwa wale waliomwona hivi karibuni, hivi huyu mkufunzi mkuu alikuwa ameacha kuvuta sigara?

    ReplyDelete
  4. Dinah, mrahaba (royalty) ni malipo kwa author au composer kwa kila nakala ya kazi yake inayouzwa au mgunduzi kwa kila item iuzwayo under a patent.

    ReplyDelete
  5. Asanteni kwa kunipatia maana ya mrahaba ila mimi nilitaka kwa kiswahili(hahahhahha)!

    ReplyDelete
  6. Duh,Dr Remmy must be beaten with ugly stick.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...