mdau chatumba anatukumbusha jinsi uwanja wetu wa ndege wa eapoti ya dar ulivyokuwa miaka ya 70

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mpe hi, mdau chatumba wa BA,

    ReplyDelete
  2. ONCE AGAIN....hivi we kaka Michu ...ni ushamba au...kuwa corret ni either Uwanja wa ndege AU EAPOTI ya Dar but not the 2 together. Its ridiculous uki-mix the 2. The same ina apply kwa Barabara....unafanya hivyo...its really sickening and not cute! - AT ALL.

    ReplyDelete
  3. Piga picha nyingine ya mwaka huu tuone kilichobadilika kwa miaka 37

    Miaka ya sabini ni kama miaka kumi hivi baada yakupata uhuru.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...