huyu ndiye refarii othmani kazi atayechezesha mpambano wa simba na yanga jumatano hii huko morogoro. pamoja na kuaminika kote huko kutokana na uchezeshaji mzuri refa huyu bado hajapatiwa beji ya fifa kwa sababu zisizojulikana, ikizingatiwa kwamba pamoja na kwamba alifeli mtihani wa cooper test kwa namna ambayo wengi wanaamini ni zengwe lakini anaaminika kuwa mmoja wa marefa bora bongo. hapa anachezesha mechi ya soka la bichi siku ya tamasha la michezo la waandishi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi be serious, kama jamaa alifeli alifeli! kwa nini msingizie zengwe! yaani bongo usanii kutoka kwa wanasiasa mpaka wananchi. tumezidi na visingizio. tupunguze jamani!

    ReplyDelete
  2. Mbona ana ATHUMANI IDI tena??? Yaani ana anatukana... kwa kidole... Ha ha ha ha ha haaaa...

    ReplyDelete
  3. Mweh! Yanga walie tuu, kama refarii ndo huyu...

    ReplyDelete
  4. Michuzi unachekesha! Kama alifeli mtihani unatarajia vipi apewe beji ya FIFA?

    ReplyDelete
  5. TFF wameambiwa waache kiherehere na tamaa ya kutumia viwanja wakati vipo matengenezoni,ukiuliza eti ni kwa ajili ya mechi ya simba na yanga,kauli hii ingekuwa imetolewa na mtu kama Kaduguda si angefungiwa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...