gazeti jipya la 'raia mwema' limetinga mitaani leo. gazeti hilo la kiswahili na litalotoka mara moja kwa wiki, linaongozwa na qiji wa habari jenerali ulimwengu akisaidiwa na nguli johnson mbwambo na john bwire ambao wote wamejitoa toka magazeti ya mtanzania, rai na dimba waliyokuwa wakiyaendesha kwa muda mrefu kabla ya kunuliwa na mdau mwingine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. http://www.raiamwema.co.tz/

    ReplyDelete
  2. Watu makini wasio makini.Naona kuanza na kuanza tu badala ya "Mwandishi Wetu" wameandika "Mwanishi Wetu".First impression,last impression.I am out.

    ReplyDelete
  3. Hilo gazeti litakuwa ni kiboko kwani hawa jamaa nawajua ni waandishi na wahariri wakali sana kwenye mambo ya uchambuzi. Hongereni Sana tuko tayari kuwaunga mkono. Big Up!!

    ReplyDelete
  4. Wacha tu CCM imeguke itakuwa ni hali nzuri kwa nchi na demokrasia. Hapa Malimu alisema "Upinzani wa kweli utatoka CCM" yaani kikundi flani kikuwa makini nakukataa mambo machafu yanayofanyika ndani ya CCM na kikijeungua CCM itapata mpinzani wa kweli.

    ReplyDelete
  5. Annon hapo juu,hawa jamaa hawana umakini wowote hili nalo wataja liuza kwa Mh.Yusuf Manji wakati huo nae atakuwa mbunge wa Sumbawanga mjini.weweeeeeeeeeh.
    CHA CHANDU.

    ReplyDelete
  6. anon wa pili hapo juu comment yako ni ya kitoto sana.

    ReplyDelete
  7. ACHENI LUGHA ZA KISANII KWENYE MAMBO YA KWELI.....ETI..."AKILEGEA".....mnataka alegee mara ngapi ili muelewe kwamba jamaa keshawawashia indiketa wapinzani ya ..."LINE CLEAR"......cha kushangaza ni kwamba WAPINZANI BADO HAWAJAISHTUKIA...bado wanaendelea kushangaa.....CHANGAMKENI BWANA!!

    ReplyDelete
  8. anony wa pili huna unalojua hiyo ni typying era huwezi kuifananiha na umakini wa hao walioanza hilo gazeti,kuna vitu viwili ambavyo ninadhani vinakusumbua,moja inawezekana huwajui au walioanzisha gazeti hilo wlivyomahiri katika uandishi wa habari,pili ni wivu unakusumbua kwamba unawajua watu hao vizuri kwa hiyo kuanzisha kwao gazeti hili kunakusumbua kiasi kwamba unawaona wivu na kuamua kutoa COMMENT ZA KIJINGA.KAMA NI WIVU POLE SANA KWA HILO KAMA NI KUTOJUA HEBU JARIBU KUJIELIMISHA ILI UWEZE KUJUA UWEZO WAO KATIKA UADISHI WA HABARI NADHANI UTAJUTIA UAMUZI WAKO WA KUANDIKA HIYO COMMENT YAKO ISIYOFANYIWA UTAFITI

    ReplyDelete
  9. Lakini si tayari kuna gazeti linaitwa THE CITIZEN jamani? Na Citizen kwa kiswahili si ndio RAIA jamani? Na Raia kwa kiingereza si ndio Citizen jamani?
    Huyu Msajili wa magazeti vipi jamani. The two names are semantically similar jamani!
    Au wazee wa KOPIRAIT mnasemaje hapo?

    ReplyDelete
  10. Wewe mzeee wa "The CITIZEN" acha ushamba. Gazeti haliitwi "Raia" bali "Raia Mwema". Umenifahamu hapo??

    ReplyDelete
  11. wee anony hapo juu mwee kweli, ntakufanya mua au chungwa ujue, na mwananchi utamwitaje ala.!

    ReplyDelete
  12. We Perez acha ushamba wa lugha ya kiingereza.
    Citizen - kwa kiswahili sio Raia bali ni Mwananchi
    tukurudishe ktk vipindi vya English vya darasa la 3 nn?

    ReplyDelete
  13. Hongera sana Jenerali na wenzako sasa mmetusaidia kuwa na uhakika wa kupata habari za ukweli na zisizozamia upande mmoja wa shilingi.
    Angalizo msije kugeuka nyuma mkawa JIWE kazi,mtindo mmoja , wananchi tuna hali ya kujua yanajojiri kwenye taifa letu.

    ReplyDelete
  14. give me a break!!!!!!!!!!!!!!!what do think .......what are they going to do......apart than to be like others just kikweteeeeeeeeee this kikwete that........its all good about kumlamba mheshimiwa ili asiwavue uraia do you thing ulimwengu anataka kucheza na moto tena auungue unakukumbuka enzi za mkapa almanusura arudishwe kwao i mean kunakosemekana kwao rwanda au burudi............well done another gazeti la kulamba na kumpepea kikwete na serikali yake eti uhuru wa habari kiss my black......................kwangu mimi imani na vyombo vya habari vya chukua changu mapema.............nchi inauzwa tuanzie kwenye mchanga wa mwadui.......anga wanyama siku moja mtaaamka mkute nchi yenu na wananchi wote wameuziwa wa sauzi good day and good luck from ughaibuni

    ReplyDelete
  15. TUMECHOKA NA HEADING ZA MAGAZETI YANAYOSEMA KILA SIKU "KIKWETE KIBOKO", "KIKWETE TISHIO", NK ZENYE KUTUKUZA VITU VISIVYO NA MSINGI ILI MRADI KUMLAMBA MTU MIGUU. WE NEED TO CHANGE,MEDIA ZIKIENDELEA HIVYO TUMEKWISHA!!!

    ReplyDelete
  16. Msomaji magazeti wa Bongo,

    Nianze na kosa na mwanishi wetu. Hayo ni makosa ya kawaida sana katika magazeti duniani kote, uzuri ni kwmba hayapunguzi maana wala kubadili maana ya maandiko. Huyo Anon aliyewalaumu Raia Mwema kwa kosa moja katika gazeti la kurasa 24 si msomaji magazeti. Atafute The Economist na atakuta makasa kibao, na bado dunia nzima watu wanalisoma.

    Niwajuavyo Raia Mwema, walau kwa maisha yao na tabia zao, wasingeweza kuendelea kuishi na RA huko Habari House. Na historia zao tangu Uhuru (baadhi yao) zi wazi: makini, wapenda uhuru wao wa kazi na wajuzi wa taaluma.

    Anayetaka na apinge, aweke dau. Timu hii itatupa zile habari tulizozikosa kwa muda mrefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...