jamani wadau kwa bitebo kuna raha... we acha tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. KAKA ANGALIA USIJE KWENDA NA MOJA UKAONDKA NA KUMI NA MOJA HUKO!!

    ReplyDelete
  2. Ni muhimu kwa watoa huduma kuvaa gloves vinginevyo itakuwa raha kwa wanaohudumiwa na karaha kwa wanaotoa huduma!

    ReplyDelete
  3. kuna wakati wabongo tunavamia vitu bila kujua athari zake; je kwetu sote wanablog, hatuoni kama hapa hatari ya maambukizi ya UKIMWI inajitokeza?

    naamini katika "massage" kuna friction, kwa hiyo kuna uwezekano wa HIV kutoka kwa mteja kwenda kwa mhudumu ambaye anaweza kueneza kwa wateja wengine.

    acheni starehe mpya, massage kitu kipya tanzania kwa kiasi fulani, lakini tusipokitumia tutakosa nini muhimu kiafya?

    ReplyDelete
  4. Hao akina dada wasifanye kazi pekupeku. Natoa ushauri wa bure, ni muhimu kutumia gloves kwa afya.

    ReplyDelete
  5. Maskin hao watoto hata guluvzi hawajavaa, si vidole na vyau vitaungua wakiosha mabichwa ya watu 10 kwa siku? na kuchukua mimba ya mtu mmoja na kumpelekea mwengine? au?

    ReplyDelete
  6. Burudani isiyo kifani!! ungekapenyeza basi kale ka mkonozzzz ungepata raha kamili(ilimradi tamwa sijui tawla wasiandamane)

    ReplyDelete
  7. Duh!Hatari mie nilidhani leo umehamua bila kututaka radhi kuweka picha za mochwari!kutuonyesha jinsi wanavyoandaa mwili kwa pumziko la milele.Siku nyingine kua mwangalifu kidogo,mzee!!

    ReplyDelete
  8. duh huyo mtoaji comment wa hapo juu kanicha hoi.
    duh michuzi wambie basi hao bitego wawe wanavaa gloves maambukizi nje nje kwa hali hiyo mi sitaenda saluni

    ReplyDelete
  9. Yaani yote hayo kwa kuwa michuzi ndiye anashampuu nywele na kufanya facial? Kweli sijawahi kuona wanakufanyia facial huku wamevaa glovu mikononi hiyo mpya labuda ushamba wangu, na wewe utawezaje kufanya facial ukiwa na michubuko usoni, hairuhusiwi si utasikia maumivu au utapata skin infection?

    Sasa huo ukimwi unaambukizwa kwa kugusa ngozi ya mtu? Na elimu yote ya ukimwi jamani! Nyie ndio hamuwezi kuwasalimia wagonjwa wa ukimwi kwa kuogopa kuambukizwa, mbona huku mnafanya kazi za vinyozi au kwa sababu hatuwezi kuwaona kama kwenye big brother!

    Na massage na glovu nayo!! Mhu makubwa acheni siye tubaki huku na ushamba wetu!! Glovu kwenye massage tena ya uso, au hata body massage?? Nifahamisheni mwenzenu sijawahi kufanya hiyo massage.

    Nasikia ulaya kwenda salon ni anasa, kama Ukerewe kusuka ni pauni 50 mpaka 100, hiyo massage na facial sijui ni pauni ngapi mshahara wa mtu wa wiki. Kunyoa sasa zikudondoke pauni kibao, Wacheni kumuonea wivu Michuzi, hamuogopi Ukimwi kule uliko, mnashea mnagombea mnasema ajali kazini viweje mnauogopa kwa Kinyozi na salon!!

    ReplyDelete
  10. BABU UMELIPA MAANA NAJUA KINYOZI HAKOPWI LAKINI SALOON WATU WANAKOPA, HALAFU USIONE RAAHA MAJI YATAKATIKA MUDA WOWOTE.

    ReplyDelete
  11. Jamani Angalieni Misupu Alivo Tozzy!!! Anaweka Zazuu Kuficha Mvi hahaha Acha Zako Za Mboe Na YMCA Kaka Ushakua

    ReplyDelete
  12. Wadau,
    Mnataka CONDOM hadi kwenye MASSAGE na SCUB? hii mimi sikubaliani nayo hata kidogo.

    massage au scrub za NYAMA KWA NYAMA ina raha yake wanawane! yaaani unapata ile TOUCH moja kwa moja toka kwa mdada anayekufanyia hiyo massage. halafu na kale kamchezo kao ka kukulaza kwenye kifua basi ni burdaaaaaniiiiii......
    Aluuuu...

    Michuzi,
    sitashangaa nikigundua kuwa wanodai akina dada hao wavae gloves - CONDOM wakati wa Massage; wanakuwa hawavai mpira wakati wa gemu.

    Pangu Pakavu

    ReplyDelete
  13. Ha ha ha! Jamani huyo mdau aliyesema kuwa alifikiri Michuzi kaamua kuweka picha ya mochwari, jinsi wanavyo muandaa marehemu kwenda kwenye pumziko la milele ameniacha hoi, yaani nimecheka kweli. Watu wengine wanafikiriaga mbali!!!

    ReplyDelete
  14. ISSA NAONA UMELEGEA KAZI NZURI KWABITEBO HAPO.."..POLE POLE NDIOMWENDO.."

    ReplyDelete
  15. glovus huwezi kuinjoi massage au skrabu ..hao wanaosema kuna uwezekano wa kuambukizwa ngoma hawana elimu nzuri ya maambukizi ya virusi.

    ReplyDelete
  16. alafu wee michuzi hupost comments zangu kila siku watu walewale tu ...dawa yako ipo jikoni !!!

    ReplyDelete
  17. Duu kaka michu kumradhi umenishtua sana nilidhani upo kwenye jeneza,maana kwa haraka nilidhani wanakuaga hapo.Nimekurupuka usingizini basi nimeona kiwewe hapa.Daahhh

    ReplyDelete
  18. MMh michu hapo uso wako unaonyesha kama unasikia uchungu siyo raha.. nahisi walikuchubua mikono na masisteri migumu kwa kushika nyuso mia kwa siku..pole sana

    ReplyDelete
  19. Mwe michizi umenishitua hata mimi pia nimejua umekufa nimeangalia haraka nimelia sana baadae ndio nagundua uko kwa bitebo usirudie tena kuturusha roho namna hii.

    ReplyDelete
  20. Jamani mie mbavu zangu hoi, loh! kuna watu wanachekesha huyo wa MOCHWARI kweli kaniacha hoi bin taaban.
    Hiyo ni division of labor watu wawili uso! Hapo Bitebo wasijidai ukifanya biashara huduma hiyo ni mtu mmoja tu! labda mwingine anakazi ingine baadae na MiChz

    ReplyDelete
  21. BITEBO ANAVUUTIA BIASHARA KWELI..HUDUMA YA KUTOLEWA NA MHUDUMU MMOJA WANATOA WAWILI HONGERA KAKA "..KAZI IPO.."

    ReplyDelete
  22. NYIE VICHAA WA MAREKANI KWANI MKICHAMBA MAVI YA WAZUNGU MNAVAA GLOVU SASA UNAFIKIRI HATA HUKU TUKI DEAL NA VICHWA BASI TUVAE GLOVU PIA? HIKI NI KICHWA SIYO MAVI YA MZUNGU!!

    ReplyDelete
  23. KAKA MIE NATAKA NIKUCHAMBISHE WEWE TENA BURE...SASA INAKUWAJE..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...