Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bojo Kagera yaitu yagera. Inabidi tuichangie kwa hali na mali ili kuinusuru.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli bona tugende kilekyo. tuboleke obumo bwaitu. batakwija utushekerera abaswahili.

    ReplyDelete
  3. Naanza kuchoka na hiyo lugha ya RICHA ADHIA. Michuzi hivi sisi tunaongeaje viel???

    ReplyDelete
  4. Naona hapo siwaelewi waliochangia, lakini nijuavyo mimi ni kwamba kama kweli kina nshomile wanataka kuendelea kuwa kama jina lao wanatakiwa kuchangia kwa udi na uvumba

    ReplyDelete
  5. Mwanakagera,
    Visit us at http://www.kagerayetu.org
    to find out more about this initiative. Click on KAGERDAY to find out more on the big event tomorrow, November 28th at Diamond Jubilee.

    ReplyDelete
  6. Sasa jamani kuchangia wanasema u-deposit hela kwanza kwenye hiyo Account,vipi kama ni Account hewa,kwanini wasichukue hiyo michango siku ya Fundraising,mbona process ndefu sana?mara deposit,attach receipt...mwe mjini hapa!!!Naombeni ufafanuzi wanaglobu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...