hoteli ya kunduchi sehemu ya wet & wild ni kivutio kikubwa hasa wakati wa joto kama huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ukitoka hapo kichocho kwenda mbele..
    maji mpaka yamebadilika rangi sababu ya mikojo na vinyesi, bongo tambarare

    ReplyDelete
  2. "wakati wa joto kama huu" lini Dar pakawa na baridi?

    ReplyDelete
  3. WE acha ushamba, kuna kipindi cha badiri Dar, betweem May and July,
    dont compare baridi ya majuu(-ve temp) na Bongo, hicho ndo kipindi cha kiwinta cha hapa, pia usisahau msimu wa mvua?? hahaaa jografi uliiikimbia nini primary

    ReplyDelete
  4. We hapo juu Dar sasa hivi ni joto ile mbaya usimbishie aliye ndani ya dar anakuambia true wewe umezamia huko hali ya hewa uifahamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...