mijadala kibao imefunguliwa www.dailynews-tsn.com kwa wenye kutaka kuchangia katika 'discussion pot'.
1. kuchelewa kufunguliwa kwa wanja jipya la taifa
2. uraia wa nchi mbili
3. aina mpya ya leseni za udereva
4. wizi wa haki miliki
5. tatizo la foleni dar
BRO MICHU... mimi nimechoka na kila ki2 TZ kilichobakia ni POMBE NA NYITI... basiiii mijadala YA NINI??? wakati kila ki2 kitaendelea hivohivo...EEEhhhh ifike Saa kumi na moja nitoke nikapige Laga bariiiiidiiii...
ReplyDeleteWhat about UFISADI?Mjadala wa maslahi ya nchi utakuwa Daily News?Hao waajiriwa wa serikali wanachojua ni kusifia tu...............
ReplyDelete