miss tz 1994 aina maeda akiwa na mshindi wa pili lucy tabasamu ngongoseke (shoto) na dotto siku umiss uliporudi rasmi baada ya kupigwa stop mwaka 1967 yalipofanyika mashindano ya kwanza kabisa ya urembo bongo na mshindi kuibuka theresia shayo ambaye sasa ni marehemu. richa adhia ndio miss tz mwaka huu na hivi sasa yuko sanya, china,k ambako jana miss ghana alishinda miss talent na kupata tiketi ya kuingia robo fainali moja kwa moja. katika ngwe hiyo miss scotland alikuwa wa pili na wa tatu alikuwa miss sweden.
*wadau naomba radhi. kweli nilichemsha kusema aina maeda alikuwa miss tz 2004. kunradhi kwa usumbufu, sasa nimerekebisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. acha fix, aina maeda sio miss tz 2004, nadhani ni miaka 90s, sina uhakika kama ni 94 or? kama sikosei uliandika ukiwa bado una usingizi dogo!

    ReplyDelete
  2. kaka Michu naona umekosea kidogo. Hiyo ni mwaka 94 sio 2004

    ReplyDelete
  3. Michu bwana, umechapia tena, Aina Maeda miss Tz 2004!!!!!come on, be careful and thorough

    ReplyDelete
  4. Hmm,Michuzi ni 1994 au 2004?

    ReplyDelete
  5. Aina Maeda hakuwa Miss Tanzania mwaka 2004!

    ReplyDelete
  6. Huyu ni Miss 1994 sio 2004 acha kutuongopea Michuzi.

    ReplyDelete
  7. umecheka kakani 1994.ila pole sana kwa kazi najua binadamu wote tunakosea ila ukweli umechemka

    ReplyDelete
  8. huyo mshindi wa tatu aliyekaa mkono wa kulia mbona ndiyo mzuri kuliko wenzake?

    ReplyDelete
  9. KWA MSIOJUA HUYO 1ST RUNNER UP NDIO LUCY KIHWELE(MULTI CHOICE)ENZI HIZO TABASAMU NGONGOSEKO/I/E

    ReplyDelete
  10. Michu! huyo ngongoseko si ndie kihwele wa multi choice?? kumbe nae katoka mbali??? ilikuwa si mchezo enzi hizooo...ebu mtafute aina maeda umuulize anafanya nini sasa, maana hata kwenye mahafla ambayo walimbwende wanajichanganya yeye hatumuoni wala hatusikiii manews yake,,inakuwajeee??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...