Michuzi,
Kila siku tunasema wewe ni kada wa CCM unaminya. Sasa kuna hii email inazagaa kila sehemu kuhusu swahiba'ako JK. Kama kweli wewe si kada na una ubavu ibandike kwenye globu yetu ya jamii. Hapo nitaamini wewe huna noma wala nini na ni mshikaji. Hakyanani tena we kama mwanaume ibandike hii
-Mdauz,
Ukerewe
Baada ya kusoma kwa makini kwa siku nne mfululizo, kwenye forum yetu hii tukufu, na baada ya kuona kuwa uongozi wa forum hii tukufu umeamua kuwa kila anayeona uovu wa viongozi wa kisiasa na haswa wenyeviti wa vyama vya siasa ana haki ya kuleta ujumbe wake hapa bila kubugudhiwa kitu ambacho nakiheshimu sana kwenye ujenzi wa demokrasia na pia haki ya kupata habarikwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania ibara ya 18.
Na pia nimeguswa kuandika ujumbe huu kutokana na kile nilichokiona kwenyegazeti la majira la jana (front page) na pia kauli iliyotolewa na katibumkuu wa CCM ndugu Makamba kuunga mkono hoja iliyowekwa hapa forum na wanachadema! Kama ilivyorushwa kwenye taarifa ya habari ya channel ten janasaa moja jioni .
Makamba alisema kuwa viongozi wa upinzani waache kurusha mawe ile hali waowako wakiishi kwenye nyumba za vioo!nimeshtuka na kuogopa kama huyu ndioanatakiwa kuonyesha njia ya kuweza kufikia maisha bora kwenye taifa hili , nashindwa kuamini kuwa huyu ndio dereva wa chama tawala !
Leo nimeona niweke ushahidi wangu hapa juu ya ufisadi wa ziada na au uovuuliotendwa na JK pamoja na timu yake wakati wa kuwania kuteuliwa na chamachake, na pia jinsi alivyotumia cheo chake cha waziri wa mambo ya nje kuendekeza ngono na kulisababishia taifa hili madhara makubwa ikiwa nipamoja na mahusiano ya kidiplomasia kuwa mabaya.

Naanza kuweka hoja zangu na ushahidi wake kama ifuatavyo

1.Kikwete wakati anagombea kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM ,aliunda timu za aina mbalimbali ila kwa hapa nazungumzia timu yake ya uharamia ambayo aliiunda, aliunda timu ya kuwafanyia maasi wagombea wenzake na mojawapo ni hii iliyokuwa inaongozwa na mtu anayeitwa Gogo kutoka kule Bagamoyo.
Huyu alinunuliwa gari aina ya Nissan patrol ,na ndio mwanzo alitumika kupitakwenye misikiti mbalimbali na kutengeneza mtandao wa kiislamu,ila huyu Gogondio alihusika na aliongoza kikosi kilichohusika kumpora mke wa mzee Malecela fedha taslimu zaidi ya milioni mia mbili wakati anatoka dar kwendadodoma kwa ajili ya kampeni. ENEO LA GAIRO.

Gogo akiwa na vijana wenzake walimteka mama Kilango nje kidogo ya mji wamorogoro na kumpora fedha hizo na pia kumfanyia mambo ya ajabu ambayo kwamtu mzima kama mimi siwezi kuyaandika hapa.(ushahidi upo na nitautoa muda wowote kama utahitajika hapa ,niandikie kwenye PM yangu.)

2.Akiwa waziri wa mambo ya nje mwaka 2004 alipokwenda nchini marekanikuiwakilisha nchi kwenye kikao cha UN alifanya ngono na aliyekuwa waziri wamambo ya nje wa Uganda kitu kilichowafanya kutokuweza kuhudhuria mkutano kwa siku mbili mfululizo, na ndipo rais museven alimwandikia rais mkapa rasmimalalamiko yake na pia alimtimua kazi waziri huyo .

Hili linaifanya nchi yetu kutokuwa na mahusiano mazuri na serikali ya Ugandana haswa kati ya Kikwete na Museven na hili limechangia kwa kiasi kikubwahata kutokufikiwa kwa shirikisho kwani Museven anaamini kuwa hawawezi kujadili mambo serious na JK kutokana na kutokwenda kuwakilisha nchi nabadala yake ikawa ni kwenda kufanya ngono na waziri aliyetumwa na nchinyingine bila hata aibu.

3.Kikwete akiwa na swahiba wake wa karibu anayeitwa Jack Gotham,wakiwamaeneo ya millennium towers hotel kijitonyama ,walimchukua binti wamfanyibiashara mmoja wa jijini ambaye alikuwa anasoma shahada ya kwanza chuo kikuu cha DSM na kufanya naye ngono hapohapo hotelini na kumfanya kuchelewakwenda kwenye ziara za kampeni kwani kipindi hiki kilikuwa ni wakati wamchakato wa kampeni ukiwa unaendelea.

Huyu anaacha hata masuala ya maana na kwenda kumchukua binti wa rafiki yakeambaye amemchangia kiasi kikubwa cha fedha za kampeni zake na kufanya nayengono.

4.Fedha chafu.Kikwete aliingiza nchini kiasi kikubwa sana cha fedha chafu kutoka kwenyenchi za uarabuni na nyingine alizitoa Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo(DRC)kutoka kwa Joseph Kabila na fedha hizi ziliingizwa kupitia mkoani Kigoma na nyingine ziliingilia mkoani Mwanza .Ujumbe wa watu wa kongo uliongozwa na Luten Jenerali Peter Gessimba Gabonneakiwa na wasaidizi wake watatu ambao walikuwa ni viongozi wa jeshi tiifu kwaKabila.Fedha hizi zilitolewa kwa masharti kuwa endapo angeshinda ni lazimaahakikishe kuwa Kabila naye anashinda kule Congo kitu ambacho alikifanya nahata kutumia pesa za taifa hili kwa ajili ya uchaguzi wa congo kwa wale mnaokumbuka Asha Rose Migiro alisema kiasi cha pesa zilizotolewa na misaadamingine ……..

5.Ngono.JK akiwa na maswahiba wa mwanae wa karibu waitwao Benno (huyu kwa sasaanagombea ujumbe wa NEC ndani ya chama chetu),Said (huyu ni msaidizi maalumuwa kumsaidia mzee Makamba) ,Mussa (huyu alikuwa ni kiongozi mwandamizi wa mbio za mwenge mwaka huu), na Sisko (huyu ni chief protocol wa ikulu)wakiwakwenye club mojawapo jijini dar,(ipo mkabala na red cross-barabara yaAlhassan mwinyi) kabla ya mchakato wa kampeni kuanza rasmi walimchukua binti anayeitwa Hadija ……aliyekuwa anasoma UDSM na pia ni mfanyibiashara wa mjiniArusha, ila alikuwa pia ni mke wa aliyekuwa meneja msaidizi wa kituo kimojacha kimataifa nchini , na kufanya naye ngono .

Kitendo hiki kilimfanya Hadija kuachika /kuachwa na mumewe na kumnyanganyamagari pamoja na mtaji kitu kilichopelekea binti huyu kuishi kwa taabu hadiJK alipoweza kushinda urais wa nchi na kumpangishia nyumba maeneo ya Kijitonyama ambako anaishi hadi sasa.Pia JK alimwamuru Benno ambaye ni afisa mwajiri wa jumuiya ya UVCCMkumwajiri bint huyu makao makuu na kwa sasa ameajiriwa kama katibu wauhamasishaji wa taifa cheo ambacho hakipo hata kwenye katiba ya umoja huo, kwa toleo la 2003 ambalo ninalo hapa.

6. Ngono ,Alifanya ngono iliyoligharimu taifa hili zaidi ya shilingi milioni mia nneNa themanini, (480 milioni) akiwa kule Zanzibar Hotel Kempinski palealipokuja na mkewe mpya kutoka uarabuni na kukaa naye kwenye mapumziko hayo ambayo yaliliingizia taifa hasara hiyo kwa muda wa siku 9 tuu.Mkuu wetu wa nchi anatumia rasilimali zetu kwa ajili ya kujistarehesha yeyebinafsi na wanawake zake kutoka huko uarabuni.

7.Ubadhirifu.Aliweza kujichukulia eneo ndani ya mbuga za wanyama kule Serengeti na sasaanajenga hotel ya kisasa nah ii anaijenga yeye kwa ubia na mke wake huyo wauarabuni akishirikiana na mashemeji zake hao , swali la kujiuliza ni je?huu mkataba hautaishia kwenye kuliuza taifa hili? Mke anaenda kupewa mahari ya rasilimali zetu? Kama kila rais akioa ni shartiatoe sehemu ya mbuga zetu je? Mpaka lini tutakuwa tunachezea taifa kwa faidaza kuoa ama kupata ngono!

Huyu ndio mwenyekiti wa chama chetu na bado tunamwona kama malaika aliyetokambinguni kama sio kuzimu!

Nitakuja na taarifa pia za kina juu ya ndugu Nchimbi ambaye naambiwa kuwaanaweza kuwa ndio katibu mkuu wa chama chetu, jambo ambalo mimi nalipingakwa nguvu zote kwani huyu naye anaendelea kufanya mambo ya aibu na wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya umma nchini.

Ni mimi mwanachama mtiifu na mpenda maendeleo ya chama chetu kitukufu. Mwanachama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 51 mpaka sasa

 1. Nadhani ndugu inabidi ufanye uchunguzi kabla hujaweka maoni mazito kama haya. Maneno nimeyachunguza uliyoyasema kwakweli hayana ukweli mfano mdogo tu je waziri uganda anaitwa nani na mbona mie sijaona waziri mwanamke katika wizara ya mambo ya nje? ushauri wangu ni usiseme maneno yauongo ndugu yangu.

  ReplyDelete
 2. i hold up my comments

  ReplyDelete
 3. Aminia, Michuzi umetetea uaunaume wako, hongera sana kwa kubandika hii. Ingawa haimaanishi umesaliti ukada wako. Huo ndio ukomavu wa fani

  gud

  ReplyDelete
 4. Mh...am dumb founded! Lisemwalo lipo kama halipo...Ila kinachonitia ububu pamoja na mengineyo yoooooteeeee, ni hili la ngono. Hivi mtu unakuwa wapi mpaka unajua jamaa yupo sehemu fulani, wakati fulani, na yuko na akina fulani, na wanafanya NGONO...Wewe wakati huo unakuwa wapi na unafanya nini????

  ReplyDelete
 5. KAKA MICHUZI KUNA UNACHOTAKA HAYA ULIZA KILICHOROKEA DISCUSION FORUM YA BUSINESS TIMES ENZI HIZO AKINA:
  -DUME
  -LAPPPT
  -POPE
  -MKANDARA
  -MWANAKIJIJI
  -MUNISHI (MCHUNGAJI)
  -JEFF NA WENGINEO
  NA WENGINEO AMBAO NDIO WALIOKUWA WAANZILISHI WA KIJIWE KILE TULIENDA VIZURI UNAPOGUSA SHARUBU ZA SIMBA HAKUNA WA KUKUTETEA MJOMBA.

  MCHANGA WA PWANI MI SIMOOOOOOOOOOO

  ReplyDelete
 6. Other things are jut too personal! I dont see the logic ya kutujaza vichwa vyetu eti kisa mtu fulani kafanya ngono na mtu fulani... Thx God that katika tuhuma zote za ngono hakuna ya ubakaji...RIDHAA inakuwepo! Angebakwa mtu labda ingemake sense...kama HB anajilia kwa ulaini sasa unataka sisi tufanye nini? TULIE AMA TUCHEKE?

  ReplyDelete
 7. Watanzania kwa kuchafuliana majina bwana!!! Mmemaliza kwa Hosea sasa mmehamia kwa JK...Who's next??

  ReplyDelete
 8. Kak michu nakupenda wewe,una balls sana wewe.Mdau kakupayukia,umemdindishia sasa aseme jingine.Yaani kaka michuzi,wewe mwanaume wa miraba 24 unawawezea sana wenye vidomodomo.Mdau mwehu sana hapo juu,website si yake anapayuka,hakujui nini,hajui kilichomfunga paka kengele nini.

  ReplyDelete
 9. We uliyetuma ujumbe huu mwanaume au mwanamke? Kama uliweza kujua wakati gani na mahala gani JK alikuwa akifanya ngono...ujue pia inawezekana na wewe wapo wanaokufuatilia na wanajua wakati gani na wapi na nani huwa unafanya ngono nao...HOW DOES THIS FEEL? just imagine umejikunja na mtu wako, ile umeshusha pumzi tu, jamaa anakupigia na kukupa pongezi kwa kazi nzuri, ungejisikiaje?
  Weka tuhuma zilizo valid hizi za ngono sio news!

  ReplyDelete
 10. Mhhhhhhhhhhh mimi na wasiwasi na wewe mlalamikaji, inaonekana kama vile ulikuwa kada na mpiga Debe maarufu wa mheshimiwa unae mtuhumu.Nadhani uliahidiwa ujira au madaraka fulani na haukutimiziwa sasa una tafuta sehemu ya kutapikia yalokuzidi.Wewe bwana ni muoga,mnafiki na usie juwa haki yako na sheria zinazo kulinda(wasiliana na mh,Mtikila utapewa msaada kwenye tuta)Bila hata aibu umetapatapa huku na huko ukaona utapikie ndani ya Misupu(michuzi)Mona huyo mheshimiwa unae mtuhumu ana Web site yake kwanini usimtapikie moja kwa moja???why???.Ushauri wa bure nakupa angalia usije kuwa kama MAGGIE wa London kwani wanakijiji wa kijiji hiki wakati mwingine hawana cha mswalie mtume.kila la heri mkusanyaji wa takwimu za ngono na gharama zake.

  ReplyDelete
 11. duuu..tanzania hiyo...

  mi ngoja nikajiwikiendi maana hapa kuna kupata ESSO,BP,AGIP,TANESCO.

  ReplyDelete
 12. Michuzi nakushauri tu, kwa kulinda heshima ya blogu yako hii, itoe hii post. Haya madai yameshajadiliwa huko yalikotoka (kwenye mtandao wa JamboForums), watu wamejadili wakamaliza kila kitu, wakagundua kumbe ni udaku tu, hauna ukweli wowote. Sasa ndugu Michuzi usikubali kuuziwa kiporo cha matapishi, ondoa huu upuuzi hapa.

  Na pia nakushangaa unapotishiwa kwamba wewe ni kada wa CCM harakaharaka una-panic na kubandika huu udaku, ati ili tu usidhaniwe kwamba u kada wa CCM. Kwani kuwa kada wa CCM ni jambo la kuaibisha na kuogofya kiasi hicho? Michuzi, look very!

  ReplyDelete
 13. duuu wewe mambo yote hayo umeyajuaje? au wewe ndio ullikuwa kuwadi wa JK? sio rahisi kujua mambo yote hayo maana lazima yatakuwa yamefanyika kwa siri sana. ila inawezekana maana sifa hiyo y angono jk anayo sana. ndio maana hadi richard ameshinda kwa sababu ya ngono kwa hiyo tanzania kwa ngono tupo juuu kimataifa. big up tanzania

  ReplyDelete
 14. Sasa huyu jamaa aliyoandika mambo haya inaelekea ana kifungu na JK.
  Maanake these are strong allegations na mambo kama haya kama huna Evidence unaweza kupelekwa mahakamani. Au JK alikunyima Post sehemu fulani ndio maana umeamua kutoa Kifungu chako sasa ??

  ReplyDelete
 15. CHEKINI HII KALI JAMANI...
  http://michuzijr.blogspot.com/2007/11/faraja-kotta-kufunga-ndoa-na-mbunge.html#comments

  ReplyDelete
 16. wewe haswa nia yako ni nini?
  kujenga ama kubomoa?
  ina maana huelewi ni kwa nini kumekuwa na matabaka?
  kana hauna ni hauna tu, na kama unacho utatumia tu!
  huo ndo udhaifu wa binaadam

  ReplyDelete
 17. Blaza michu naomba kuuliza, HUYU JAMAA ANAJARIBU KUSEMA NINI?.

  Who is "clean"?

  Ikibidi, if you really are "mwanachama anaependa chama chake na mtiifu", you should be able TO DISECT ALL PREVIOUS REGIMES za Gov. ya TZ.

  It is personal.

  Kila aliepita ALIKUWA NA YAKE.

  Nobody is perfect.

  Kuna hadithi kwenye vitabu vya dini, kuna watu walitaka muua mwanamke waliodai walimfumania.

  Akatokea Yesu akawaambia "ALIYE SAFI AVUKE HUU MSTARI NA NI NDIE ATAKAE WEZA MPIGA MAWE HUYU DADA"

  You must be a disgruntled hyena, injured by this regime.

  Pole.

  ReplyDelete
 18. mheshimiwa MICHUZI, TUNAIPENDA SANA BLOG YETU, NA TUNATAKA IENDELEE KUWA HEWANI, PLEASE ITOE HII HOJA SABABU HAIMAKE ANY SENSE....USITISHIWE NA MYU YOYOTE KUWA USIPOWEKA MAONI YAKE, WEWE SIYO MWANAUME, TUNAJUA KUWA WEWE NI MWANAUME, NA MUWAZI, ILA KUTOKANA NA HISTORIA YA NCHI YETU, PLEASE FUNGA HII TOPIC SO THAT YOU AND YOUR FAMILY CAN ENJOY YOUR LIFE. SHAURI YAKO BWANA, UTAPOTEZA KIBARUA HICHO!!!!!!

  ReplyDelete
 19. INAONEKANA MTOA MADA HAPO JUU NI SIMBA NA JK SABABU NI YANGA BASI ANALETA UTANI WA JADI ATA KWENYE FORUM

  ReplyDelete
 20. Mimi sio kada wa sisiemu, lakini hii hoja sio ya kweli, hii ni sawa ni zile e-mail za kinaijeria za kitapeli! Bora uiondoe kwani haileti taswira njema. Tuwaheshimu viongozi wetu hata kama ni wa chama gani, hii ndio busara njema.

  ReplyDelete
 21. Ndugu yangu hizo ni chuki binafsi acha mambo ya kizamani hayo unayoyasema siyo mapya hapa duniani ulitaka akuchukue wewe umesema ya kwamba alikuja na mke wake kutoka uarabuni na kufikia hoteli ya kempiski zanzibar huyo si mkewe ulitaka uwe wewe?haya mambo ya kijinga kijinga unayapata wapi acheni mambo hayo ya fitina ,kwani mtu akiwa raisi basi asiwe na hamu ya tendo la ndoa kuna jambo gani la ajabu ambalo wewe hulijui acha ushambanaomba uelewe JK ni binadamu anautashi wake na achiwe afanye mambo yake binafsi atakavyo na hayo mambo ya mtandao unayoanzisha ni fitina tupu hayana ukweli wowote kama kuna mtu amekutuma utoe maneno haya basi unapoteza muda wako bure JK ataendelea kuwa raisi wetu kwa muda wa miaka kumi bila wasiwasi wowote usipoteze muda wako kwa kutengeneza fitina kwa JK HUYU NI MTU WA WATU tafuta ugali wako ule na watoto zako acha kufiata fuata watu walio juu kwa kila kitu umjini,cheo uhendsome,usomi,na kila kitu pole sana angalia mambo yako acha kujua habari za watu.

  ReplyDelete
 22. kwanza naomba kukupa pole mtoa bomu ni kweli inaonekena U NEC ulikupitia pembeni au ahadi zozote!!pili nakupa heko mzee wa misupuz,tienes cojones caballero!!una balls!!
  nimesoma maoni tofauti tofauti lakini hata kama allegetions zenywe hazina maana lakini kuna kitu hapa ambacho watanzania tujifunze, sisi hatuko makini!! mambo kama haya si ya kuyapuuza! ofcourse ya kina benno na vijana wenzake hayana msingi ila kuna vitu kama hela za wananchi na kutokuwa serious kwenye issue kubwa na nyeti!tunazisikia hizi lakini haijafika kuzirusha kama hivi! again,tunazisikia!

  Mzee wa mwanza

  ReplyDelete
 23. lisemwalo lipo japo kiduchu,bi kimwana unasema ya Hosea gani uyu mkamata ruswaa?anaskendo gani na huyo ni mtu safi japo anaonekanaonekane time za kiza mitaa ya mbezi beach kunani?

  ReplyDelete
 24. Kwa mwandishi wa hii makala: Sometimes it is best to let ducks be ducks. Kabla hujashauri au hujatoa hoja angalia forum yako, pamoja na walengwa wako halafu ask yourself this questions: What is their level of abstraction? -Depending on the answer to that, you will know how you are your message is likely to be received.

  ReplyDelete
 25. ishu ni kwamba hata kama hizo newz za ngono ni so personal,bt inakuwaje mabilioni ya taifa yateketee kwa starehe zake binafsi???we anonymous unayedai huu ni uppuzi inabidi ujiulize vivyo!hii ni hatari wa taifa!!

  ReplyDelete
 26. Habari

  Nadhani 'freedom of speech' imechukuliwa vibaya na huyu bwana/bibi. Kutoa tuhuma za namna hii, hata kama ni za kweli kwa Kiongozi wa juu wa nchi si sahihi. Nadhani bwana Michuzi mtu anapotoa tuhuma kama hizi, inahitaji we binafsi uzifanyie 'editing' hasa pale zinapohusisha mtu kama Rais. huyu bwana popote alipo, anapaswa kufuata taratibu zinazohusika kutoa malalamiko yake na sio kupost huku kwenye blog. Mfano leo mi nikisema we Michuzi unatembea na shangazi yangu, nikataja na hotel hapa London, hata kama si kweli, tayari itakuwa imekuchafulia. Mi si mpenzi wa siasa, lakini sijafurahishwa na maelezo ya huyu bwana/bibi. Awe mwangalifu kwani anaweza kushtakiwa na akashindwa kujitetea ingawa anadai anao ushahidi.
  Daniel, London

  ReplyDelete
 27. Kakawanakwambia ruka,unawauliza"NIRUKE KIASI GANI?"
  NAKUSHAURI UTOE HIYO KITU...
  kwakuwa everything goes online thru ur blogspotinakuwa imehakikiwa nawe,basi ndugu yangu unahusika moja kwamoja na hii defamation...
  Kukona wajibu wa webmaster kwa vitokeavyo kwenye website yake,JUST LIKEWAJIBU WAMUHARIRI kwenye magezeti. Wajibu huo, uko pia kwa blogowners,kama watakatuwekea land mark kesi ya online defation haya...
  toa ndugu yangu na pengine omba radhi kwawote ulioumiza mawazo yao, unless una ushahidi wa hizo tuhuma kwani kisheria ukweli wakutetea utaposhtakiwa
  salamu zangu kwako

  ReplyDelete
 28. kaka michuzi mimi kila nikipost comment zangu huzitoi so I hope this time utatoa. Mimi napenda kumwambia mwanachama kwamba why now ?? haya mambo unayoyasema hata kama yana ukweli huu sio muda muafaka?? ungetaka yajadiliwe ungeyasema wakati wa uchaguzi mkuu ama suburi wakati huo tuone kama hii tabia yake inaaffect taifa ndio tuiongelee. Kwa kweli haya ni mazungumzo kila kona kwmba raisi wetu anapenda sketi hiyo siri. Mimi binafsi sikumpigia kura kwa sababu nilikuwa nje ya nchi lakini hata kama ningekuwa bongo nilikuwa najiuliza kwa sababu najua watu wengine mtaniita muongo but mtajiju ni kwamba huyu baba mimi personally nilukutana nae sehemu ya tafrija mwaka 1995 akanitekenya mkono sasa nikabaki na maswali hii ni salamu ya aina gani, but i was a teenager then na kwa sababu hiyo , siyo kwamba sina imani nae kama kiongozi but to me he is just like another weak man. KWa hiyo mwanachama hayo uyasemayo mayb yana ukweli ndani yake na lets face it JK bomba na anavutia na ni mwanasiasa so anajua kulonga vilevile, sasa wewe nambie mwanaume kama yule anakupa sweet nothings jamani kina mama na kina dada kuna kupona?? NA hiyo ishu ya mkutano wa UN maybe data zako umekosea but no kweli ilikuwepo watu walihakikisha mpaka akapelekwa mtu kumcover kwenye kikao mana alichelewa but watanzania tusimlaumu sana huyu baba hiyo ndio wekness yake, mimi sio kama namtetea ila tuu nasema hii ni hulka tunayo na sio sisi africa yote viongozi wetu ni wachache sana wasioendekeza ngono, yaani ngona ni kama culture yetu tena mtu akiwa na one waifu anachekwa yani wazee wetu wanaona uanaume ni kuwa na wanawake wengi, kumbe ni kujiongezea dhiki tuu na hii inaaffect sana watoto wao hawajui. Matokeo yake mpaka watoto zao wa kiume wanakuwa na kuona hii ni kawaida na wanawake kuona mwanaume kuna na wanawake wengi ni kawaida mana baba zao ndio walivyo !! Jamani huu Ukimwi utaisha kweli ?? Na nisione jitu lolote linajibu hapa na sababu yake eti ooh mwanaume wa kiislamu anaruhusiwa .... wee nenda kaisome Qurani vizuri ndio uje kuongea na mimi hayo maneno ?? MWenyezi mungu amekupa choice . ya kwamba owa mwanamke zaidi ya mmoja kama utawatendea haki sawa na kuwapa mapenzi sawa ........... sasa wewe binadamu ambaye hujatolewa hata nyongo kama Mtume Muhammad S.A.W unaweza kufanya hilo ?? Hata yeye bwana mtume angalia historia yake ilikuwa vipi mpaka akaoa wale wanawake woote na je alikaa na mkewe bi HAdija kwa muda gani mpaka yule bibi kufariki ?? Nyie acheni bwana ........... Anyway mwanachama mwenzangu najua una jazba but mimi nakushauri tuu haya yaache kwani hata ukisema mpaka ngoma ipasuke hiyo ni hulka huyo JK kama wanaume wengine yeye karithi kutoka kwa babake na babu yake na yeye atarithisha wanake........ Mpaka jamii nzima ibadilike maongezi ni yale yale kila siku hamna mpya na ndio mana Dhiki zinaongezeka kwenye familia zetu za kiafrika. JK ana mazuri yake na mabaya yake anayo , he is human and therefore not perfect tumuombee mungu atuongozee nchi yetu vizuri na asitumie sana hela yetu kustarehe.......... he he he .. Aisee michuzi safari hii usiponitolea comment zangu kwa kweli ............

  ReplyDelete
 29. Kaka Michuzi,

  Huyu bwana anataka kutufungia kijiwe na si kitu kingine, haya malalamiko aliyotoa ni very personal. Maana ngono ya JK sisi kama Watz inatuhusu nini. Humu tunataka tangible issues za uchumi na rushwa na siyo masuala ya binafsi.

  Kwa kweli michuzi hoja kama hizi wakati mwingine piga chini, kama alivyosema mdau hapo juu, hii hoja ilishajadiliwa kule kwenye Jamboforums ikafungwa.

  Mzee wa TBS

  ReplyDelete
 30. Michu kwa kweli umeniudhi tukitoaga comments zetu za maana unazibania huyu chizi kakuchimba mkwara na upuuzi wake na wewe kwa hasira umeitoa kama ilivyo. Hebu ifute utuwekee habari nzuri blog yetu sio ya kidaku kumbuka hasira hasara

  ReplyDelete
 31. Michuzi umenisikitisha sana!unapoteza mwelekeo kabisa saa hizi.

  ReplyDelete
 32. Hivi nyie wabongo ndio mnajifanya mwampenda sana JK ama ndio kujibalaguza,mbona mnamrushia maneno Michuzi,mimi nadahani mlikuwa muichambue kwa kina hoja hii,je ni kwa nini aliyeandika kaamua kuandika,na ni kitu gani ama muelekeo gani unaonekanika.Maana huyo JK ni mwanadamu kama wanadamu wengine na ana hisia na mapungufu yake,hata kama ni wewe ukiibiwa mkeo sidhani kama utakaa kimya,mchokozi wa mada katoa vielelezo na kutaja majina ya watu bayana,je si mkahakikishe kama watu hao kweli wapo,waliachika kwenye ndoa,wanafanya kazi palipotajwa,Je mke wa aliyekuwa M/M wa chama mtuhumiwa wake ni kweli anafkifadhili chama,sasa watanzani mlivyomataahira wa kufikiri mnaangalia upande mmoja tu kwa kujipendekeza.Mimi si kwamba naunga mkono hoja ya mtoaji lakini napingana na watu wenye ubongo wa kuku katika critical thinking skills,let us become more focus with issues.Acheni ushamba wenu!Mimi simhukumu JK wala simfuagilii mtoa mada lakini nawapinga ninyi mnaokurupuka bila kufikiria,wakati naanza PhD thesis yangu sikujua nini maana ya kuchambua mawazo kwa kina,kweli nashukuru Murungu the great Creator kwa kunipa nguvu hiyo ya uchambuzi.Nia yangu ni kutaka kuonesha watu kwamba wasibakie kwenye mfumo wa kuona wenzao ni wapuuzi,na wao watoe hoja za nguvu za kumpinga mtoa maoni,hata Clinton alikumwa na kashifa lakini akazipangua moja baada ya nyingine na mpaka ikathibitishika things were very personal and private as well.

  Ni hayo tu nadhani utaniwekea washamba waanze kuosha midomo yao bila kuchambua niliyoaandika.

  ReplyDelete
 33. Mshikaji wewe nadhani ulikuwa CCM sasa ukufanyikiwa kupita kwenye kura za maoni. Jinsi ulivyoandika unaonekana kabisa kuwa kuna ugomvi kati yako na bwana Kikwete and CCM in general, man you can join another party.... take care,

  ReplyDelete
 34. SASA NIMEAMINI KUWA KUNA KAKUNDI CHA WATU KAMEUNDWA KUTETEA KWA NGUVU ZOTE YALE YANAYOPOSTIWA KWENYE INTERENT KUHUSU WAHESHIMIWA WETU NA HILI NIMELIDHIHIRISHA HAPA KWENYE BLOG HII YA JAMII MAANA ASILIMIA 98 YA COMMENTS ZOTE ZINAPINGANA AU ZINAMTETEA MOJA KWA MOJA MHESHIMIWA, NI COMMENTS MBILI TU AMBAZO ZIMEONYESHA KUWA NA QUESTION MARK JUU YA MTUNDIKO HUU, ANY WAY TUTAFIKA LAKINI

  ReplyDelete
 35. WABONGO ACHENI KUMCHAFULIA JK JINA,YUKO NA FAMILI YAKE NA ANATAKIWA KUESHIMIWA,PILI TANZANIA NA NGONO RAISI HANA KOSA,HUYU JAMAA NAZANI KAPIGWA CHINI NA KIKWETE,PIA KACHUKULIWA MKE WAKE SEMA HATAKI KUSEMA,CHADEMA KWELI NUKSI.

  ReplyDelete
 36. Mkuu Mishuzi....
  sasa hapo unavuka mipaka ..kama mtu anastarehe na wake zake sisi zinatuhusu nini ... kumbuka jogoo hauwawi
  na utitiri . Forum yetu ilikuwa inaenda vizuri ila naona sasa mwelekeo unaelekea kwenye udaku , umbeya na kupakana .
  wabongo ndio maana hatuendelei tunabaki kupiga maktime na udaku usio na mbele wala nyuma . Chonde chonde baba toa hiyo article ...otherwise utaishia pale nanilii keko bila msingi wowote .
  Mdau , Japan

  ReplyDelete
 37. Ni nani aliye msafi kumnyooshea kidole mwenzake? Kama JK anaendekeza ngono, hayo ni yake na mkewe, familia yake na Muumba wake, ili mradi tu, ngono yake haiingiliani na utendaji kazi wake. Kama ni suala la "misconduct", basi kuwe na mwongozo wa "ethics" na kumchambua kama alipotoka. Zaidi ya hapo, kama wadau ndio wamechukizwa sana na udhaifu wa ngono (pengine sio udhaifu bali ni sifa...kumbuka Bradha Dito?), basi, mwaka 2010 sio mbali, wanaweza kuelezea hisia zao waendapo kupiga kura!!

  ReplyDelete
 38. Yani nilikuwa sitaki ku comment lakini imenibidi tu. Aisee mzee michuzi hawa majaa wanakutumia hizi alligetion za wakubwa alafu wanataka kujadiliwa huku watu hatuna muda huo waambie waende kwenye serikali yao ya jamboforum wakachambuane ukweli na uongo wa hizo hoja. Huyu jamaa its clear he wants attention. Hauwezi kuleta habari alafu ukaanza kusema jk alikuwa na mtufulaniiii waziri fulaniiiii, rafiki fulaniiii. Tupe ushaidi clinton alikamatwa kwajili nguo ya monica ilikuwa ina dna yake. Mwambie huyo dada alete chupi tukaicheki hiyo. Unajua bongo sikuizi kuna waandishi wannabes kina mwanakijiji na wengine sioni tofauti yao kwajili naye alisemaga anapicha za jk akifanya ngono lakini alivyo zero kumbe anataka umaarufu. Mzee michuzi heshima yako kwa kupost lakini its irrelevant. Hawa wanaopost huu ujinga ndio kina future DR SLaa wazushi wasiasa nendeni shule pimbi nyie

  ReplyDelete
 39. we Anony wa Tarehe Friday, November 30, 2007 7:37:00 PM EAT, unawazimu ama?
  hivi kwa akili timamu huoni kama huu ni ugolo na utumbo tupu hapa.
  au we ulitaka tusemeje kwamba madai haya ni ya kweli, hata kama ni ya kweli nani ka kwambia ukiwa Rais hudindi?
  acheni kupakana matoke uzandiki mtupu umewajaa.

  ReplyDelete
 40. Mwenye maacho haaambiwi tazama. Mwelekeo wa comments nyingi unaonyesha kuwa vijana wa kazi wako kazini (Mashushushu).

  Asante sana Dr Confusion aka Mzee wa kuchanganyikiwa na kuchanganya kwa mtazamo wako. Naunga mkno maoni yako kwa asilimia 100.

  ReplyDelete
 41. CCM Oyeeee Kikwete Oyeeeee CCM itatawala Milele Tanzania hamuoni maendeleo yanavyokuja kwa kasi mpya ari mpya na nguvu mpya. Kikwete anafanya mambo safi kabisa na atashinda 99% mwaka 2010. Dr Slaa na kina Zitto wanatafuta umaarufu tu, sisi wapenzi wa CCM tunajua daima ni chama bora. Hongera sana Lowassa kwa kazi nzuri unayoifanya. Mzee Karamagi nakupa heshima sana Mzee jinsi gurudumu la maendeleo unavyolileta, usiwasikilize hao kina Zitto kwani hawana hoja. Na huyo Zitto akijifanya ujanja ujanja tutahakikisha anafungiwa milele kuingia BUNGENI. CCM Oyee Kikwete Oyeeee Mkapa Oyeee Lowassa Oyeee. Maendeleo Tunayaona wananchi wote Tanzania. Maisha mazuri kabisa. Kwa hiyo uzushi wenu wa Kikwete hautosaidia. CCM MILELE KUTAWALA TANZANIA

  ReplyDelete
 42. PINOKIO!

  KWELI TANGANYIKA NCHI YA PINOKIO LIKIZO KUTOKA JANUARY MPAKA DECEMBA, WATU WANPIGA BLAH BLAH KUANZIA JANUARY MPAKA DECEMBER, IKIFIKA UCHAGUZI NDIO USISEME, UCHAGUZI UMESHAIZA SIJUI LINI HATA MTOTO ALIYEZALIWA WAKATI TUNAPIGA KURA AMESHAANZA NURSERY SCHOOL BABY CLASS.

  HEBU TUFANYENI KAZI TUANCHE MAMBO YA STORY ZA VIJIWENI NANI KAFANYA NINI NANI KATEMBEA NA DEMU GANI. KHAA! HII YOTE DALILI YA UVIVU

  ReplyDelete
 43. Kiduma cha cha mapinduziiii
  CCM oyeee
  tutaendelea kuipenda ccm na rais wetu JK hata mseme nini.

  ReplyDelete
 44. VITU HIVI HUTAONA MAJINA FULANI SIJUI NDIO WAKATI WAO WAKUTUMIA ANON TUUUUUU ILA UKISOMA UNAJUA HUYU NGEREJA, HUYU POPE HUYU MICHUZI MWENYEWE.

  ReplyDelete
 45. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIIIII
  ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCM.

  halafu kwenye chipukizi (michuzi unakumbuka) kulikuwa na kiapo sehemu mojawapo inasema hivi...
  "...NITAILINDA NA KUITETEA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, SAA YEYOTE, SIKU YEYOTE, NA MAHALI POPOTE NITAKAPO AMRIWA.... EEEH MUNGU NISAIDIE"

  Katiba ni pamoja na madaraka halali ya Rais.

  Wabillah Tawfiq

  ReplyDelete
 46. these are serious allegations! we need more specifics, details and evidences!
  Ninafurahi michuzi democracy inaanza kupanuka katika kijiwe hiki ... lakini "be careful" maana yaliyotokea kwa "stan katabalilwa" au kwa "carlos cardoso" yanaweza kutokea tena!

  ReplyDelete
 47. Michuzi mshikaji umeniuzi leo duh!

  ReplyDelete
 48. michuu!!hii ni hatari sana yani watazania kweli upeo wa kuchambua kitu ni mdogo sana!!hapo nimeona asilimia kubwa ya watz wanalopoka tu!!awaangalii mambo kwa undani!!aswa katika swala la jasho la walipa kodi!!pesa zinatumiwa kinoma!!maospitalini uko watu wanalala chi lakini tumekaa kimya!!KAMA NDIO HIYO BASI NA BABU SEYA NAE WAMTOE UKO JERA!!KWA KWELI HUMAN WEAKNESS,YOU CAN"T KILL THAT WITH GUN??INATAKIWA UMMALIZE MWE~~~~

  ReplyDelete
 49. Watu mbona mko too naive!!? Mnakimbilia kutetea na kupinga kabla hamjafanya utafiti kwanza. Hakuna aliye msafi, lakini kama haya mambo yametokea kweli ni haki ya kila mtanzania kujua, kwani yeye ni kiongozi wa nchi na kioo chetu anayetu-represent kimataifa. Sasa kama kweli anaboronga hivyo, huoni ni sawa na ule usemi samaki mmoja akioza woote tumeoza??? Heshima inashuka.

  ReplyDelete
 50. Huyo aliyeleta shutuma zake hajafanya utafiti, ulete data uchwara utegemee watu wengine wamfanyie utafiti? Mwe ndio maana hatuendelei. Hayo ndio mambo ya JF, watu wanasema maneno ya vijiweni kwa sababu anafikiri haonekani amevaa joho la kichawi la Harry Porter. Ukifika wakati unaambiwa lete ushahidi sasa tuyafanyie kazi hayo madai yako, huna.

  Kabla hujapresent data zako hadharani fanya utafiti wa kina na uje na reference za kuvalidate hizo data zako ili uwe ushahidi mzuri, kwa kuwa tumezoea blah blah, basi tukubali tu kila kitu.

  Tunataka scientific evidences kama mtu hana asilete habari za udaku ili watu wajadili kama ishu ya kweli, usitake kufanyia utafiti kwenye blogu fanya utafiti wako huko ukileta hapa sema evidence au reference yangu ni hii na hii kama utafiti wako wa kwenye makaratasi.

  Hebu huko Bongo wakati wa kazi fanyeni kazi,jioni nenda kafe aklipe pesa yako ukablog au kama una computer home nenda kablogu home ukiyafanya haya ofisini matokeo yake utakuja na mambo kama hayo hapo juu, maana frustration za mwajiri, mishahara, na zoote utahamishia humu. Wacha nitoke nikabebe maboksi yangu mie siku iende!

  ReplyDelete
 51. mimi kama mwananchi mkereketwa napenda kusema yafuatayo:
  -inflation ni zaidi ya digit moja
  -watu wanachapwa vijijini kuchangia kodi za maendeleo kuweza kufidia matumizi makubwa ya safari zetu za ndani/nje wakati hawana kitu!
  -bado hatujui hata thamani ya biashara zetu mfano tani moja ya dhahabu inatoa once ngapi?
  -capacity charges jinsi ya kuzithaminisha!
  IPTL,SONGAS,Richmond??

  kweli tunacheza!! eti tunasifia kama kuna kitu kimefanyika .Napenda kusema kama kiongozi akikaa chini na kuwa na watu makini(akiacha kuendekeza ngono kidogo tu na safari) basi uchumi utapaa! Nahisi kama tunataka kutishiana ili report za kamati zisitolewe haradhani!(richmond , madini nk).
  Muheshimiwa JK,tutakuwa nyuma yako na kukupa suport kama uliyoahidi utayatekeleza au tutajua hizi sinema za manywele mnacheza pamoja!

  Mzee wa Mwanza

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...