baadhi ya masupa staa wa bongo walikuwepo kwenye shoo ya redds usiku kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

 1. masuper star wabongo wamechemsha, Fidelia,Jackline, Nancy sumari choka mbaya, na hao wengine wamepaukaaa..smile wanafanya kuzilazimisha, tafutenu shule nyie mkasome madiploma au madegree ya modelling,music, acting etc..sio mnang'aa ng'aa macho tu, mnapata umaarufu wa kijinga, usio na pesa wala future ya kueleweka.JIENDELEZENI, eeeh, mkalaghe baho!

  ReplyDelete
 2. Na wewe Flaviana hebu acha ujinga wako wa kwenda kusoma Engineering. Hiyo ni shule ya wanaume na mademu waliokaa kiume ume sio mtoto model kama wewe unataka ukachezee mavyuma na maumeme. Utachemka halafu wabongo tutakutupa tu kama kawa

  ReplyDelete
 3. hawa mbona sio masuper star ! kwanza pesa hawana, pili hawana mafanikio yoyote makubwa ya kuwafanya wao kuwa role models kwa nchi, mimi naona tunawavimbisha mabichwa tu angali ni wachovu tu, ndio yaleyale wanaanza kudharau watu wenye michango mikubwa ya kubuni ajira na mikakati endelevu ya kuwakwamua maskini wa nchi hii tukiwa tunawapandisha misifa kama hii. mimi nasema wao ni masupa star miongoni mwao hapo na si kwa watanzania potential kama mimi na wengineo tunaokosa usingizi kuutoa umaskini wa watz, hao wajinga tu ona walivyopauka, wana njaa...

  ReplyDelete
 4. kweli kabisa,superstar choka mbaya,hapo elimu zao utakuta form four tu,hawawezi kupata ajira nzuri mjini inayoeleweka,kazi kusubiri kudakishwa pesa na mijibaba ya town.Someni wadogo zangu sio kuuza sura zilizopauka mjini,na huyo Flaviana hajui hata kuvaa,mfundisheni mwenzenu kupiga vitu vya kisichana.Huu ni ushauri wa bure tu.Big dada.

  ReplyDelete
 5. choka mbaya kwa kweli,bora hata wengine wanajitahidi kuvaa kisichana,huyo flaviana mmmh tafuta mshauri juu ya mavazi yako.na hizo hereni cjui nani kakkwambia umependeza.LOOH

  ReplyDelete
 6. Nendeni vijijini mkaolewe mle ugali wa mhogo na mlenda! Waume wanawangoja huo kwa hamu sana!

  ReplyDelete
 7. we anon wa juu hapo unasema wakaolewe, ataoa nani hayo makombo kutoka Dar? vijijini wanataka mwanamke mwenye heshima zake bwana,,aliyetulia, hao "mapepe Jazz band" nani anataka? WATOTO WAMEPOTEA NJIA...eti superstar, nyie ndo wazungu wanajisemegea, YOU GIVE "FAME" A BAD MEANING, msijiite famous bwana,wacheni walio mafamous waendelee kuwa famous kama mnautaka usuperstar, YOU NEED TO WORK HARD TO EARN IT.

  ReplyDelete
 8. Ni kweli kabisa, yaani nyie wasichana hizo advice za bure mmepewa ni muhumu sana, nendeni shule mtoke huko na kitu kizima, go get your degree, acheni mambo ya kishamba shamba, mara mualikwe kwenye vishughuli shughuli watu wawaadmire, basi mnaona mmeukata. That kind of life is such short lived. Yaani kama ni muziki basi fanya as a hobby, hivi hapo mlipo, mtu akiwaambia 'what is your professional na ninamaanisha anataka umwonyeshe paper' degree certificate sio form four or six'. Na kama ni muziki bring a certificate. Hizo advice hapo juu, kama nyie ni inteligent then 'mmepewa muda wa kureflect or reality check. Good luck!!

  ReplyDelete
 9. Subirini wabeba Box kwani wanausongo vitu hivi ni adimu kwao,mimi niliishi mika zaidi ya saba nikaambulia kwenda "Brothel"Nje sina hamu napo tena nikarudi nimepinda mugongo,na ninaweza kuche za mugongomugongo kwa ajili ya boksi.ha ha ha ha!!!.hivyo akina dada msiwe na wasi watu waboksi karibu wanakimbia winter huko.

  ReplyDelete
 10. i see some fullywang material right here.LMAO!ths blog is interesting.ya'll seem to be haters in ths blog dont be too jelouse of them guys they only trying to make a living God dammn it stop ya selfishness.

  ReplyDelete
 11. JAMANI EEH! Waacheni watoto wa wenzenu, MKUBALI, MSIKUBALI, hao ndio masupastaa wabongo wanaopamba kurasa za magazet ya bongo, wanajua kuvaa, hawajui kuvaa, wapo hapo na wanaonekana. Tatizo nini jamani? Walikuwa miss Tanzania, sijui miss nini? Mwingine huyo miss ulimwengu haya, wameonekana ulimwenguni, siye yetu macho.

  Kuna mdau huko juu anamshauri Flaviana asiende kusoma Engineering eti ya wanaume. SIKUTEGEMEA KUSIKIA MANENO HAYO KATIKA BLOGU HII.Engineering ni ya wanaume? Ni kushika Vyuma? Hivi jamani tuko ulimwengu huu pamoja au wengine tumewaacha ulimwengu uliopita uliokuwa unaona mwanamke hawezi hiki au hawezi kile?

  Unaishi wapi ndugu yangu? Ambako bado kuna sexual division of labour? Bado kuna kazi za mwanamke na mwanaume. Hapo hapo mnawaambia wakasomi huku mnawachagulia kozi za kusoma, eti wakasome urembo, kwa kuwa ni wanawake sio.

  Halafu cha ajabu mbona sioni mkiwananga masupastaa wakiume, kuwa wakasome sijui nini sijui hawataoa? Au hayo yanawahusu WANAWAKE TU?

  Critiques!!!!!

  ReplyDelete
 12. Acheni kuwatia ujinga, hawana usuperstar wowote! Mademu wachovu tu.

  ReplyDelete
 13. ama kweli bongo kumechoka yaani hao nao mnawaita ma super stars?

  wako wapi akina BARAKA SHELUKINDO,LULU NYALALI,KINDO MAREALE,GERALD MKASOYA na yule mtoto wa RITA MLAKI jina lishantoka si unajua tena ukishazoea kuwaona ma A LIST celebrities wa huku viwanja kama akina PARIS HILTON,LILLY ALLEN,NICOLE RICHIE to name a few huwa najiuliza hivi hao ambao michuzi kaweka picha zao hapo juu ni ma SUPERS STARS au MA CELEBRITIES? na katika listi sidhani kama wanafikia hata hiyo Q list sembuse hiyo A list

  halafu suala lingine hivi huko bongo hakuna mambo ya ma SOCIETY BASHES zaidi ya haya mambo ya kukutana kwenye ma BAR? wako wapi akina MOODY MAS na CHALE MTAWALI ambao waliwalipa wabongo 40 wasiende kazini on a weekend pale DC ili wafanye party...sasa hao ndio ma super star yaani mtu anatoka Bongo kisha anakulipa double the weekend pay ili ukae home...sasa kama zilikuwa pesa za bweimbwi sijui lakini ile ilikuwa kiboko

  MICHUZI salaam kwa MKASOYA na mwambie kuwa hatumiss hata kidogo hapa LONDON, mwambie kuwa REHEMA naye yuko tuu sema kachoka ile mbaya...yaani sista duu hata manicure ishakuwa taabu na hiyo nadhani wa kulaumiwa ni FRANCIS

  sina la zaidi kwa sasa lakini acha mjadala uendelee maana umeanza mwenyewe kuleta mambo ya ma celebrities za kibongo humu

  ReplyDelete
 14. PARIS HILTON types afadhali hata Paris ana hela. Hiyo inaitwa Posh famous - that is being famous for nothing. Secure your future gals Beauty fade dumb is forever.

  ReplyDelete
 15. wanakijiji eeeh!!
  Yani hiyo tu kuwajua na kuwajadili kiasi hicho ndo u-super star wenyewe.Mlivyowajadili ndo imedhihirisha jinsi walivyo masupasta.

  ReplyDelete
 16. we majita acha ujinga, eti kuwajadili ndo usuperstart wenyewe, wewe watu wanawaonea huruma, wanawapa ushauri, we unasema nini wewe. Huyo superstar sijui super "empty head" Fidelia, nimesoma naye, tuliwachana miaka hiyo kwenye mtihani wa darasa la saba, baada ya hapo sijamsikia tena kwenye maeneo wala maswala ya ELIMU, nikaanza kumuona magazetini na mashindano ya urembo, ni vizuri si vibaya, lakini basi jiendeleze na shule mama....mmh, nasikia kichefuchefu...

  ReplyDelete
 17. anon wa 11:37 unasema nje ulikaa miaka 7, ukabeba boksi hadi ukapinda mgongo, POLE WEEE, sie tuko huku miaka zaidi ya 10 na bado hatuna mpango wa kurudi leo wala kesho, maisha ni vile unavyoyapangilia mwenyewe, maisha ni KOKOTE, kuna watu tunapeta ulaya na kuna watu wanapeta bongo vilevile, miaka 10 sasa huku,boksi nilibeba miaka 3 tu ya mwanzo, baada ya hapo nikajinyooshea mamboz yangu kiaina(utajaza mwenyewe!!!!!), sijabeba TENA boksi, huu mwaka wa saba boksi sijalishika na wala sitegemi kulishika TENA....angalia sana usije kaa huko bongo nako, huo mgongo ukazidi tu kupinda, wewe kama maisha ya nje yalikushinda , basi usidhanie wote,,waswahili wanakuambia, KOZI MWANA MANDANDA, KULALA NA NJAA KUPENDA...........

  ReplyDelete
 18. JAMANI NYIE MNAOITWA MASUPER STAR, MH MNAHITAJI "COMPLETE BODY, FACIAL...MAKEOVER" AU MNASEMAJE WENZANGU, MAANA WATU WAMECHOKA MBAYA ATI...., ndo maana wahindi wanaenda kuwakilisha Tanzania huko kwenye umiss, basi bora waende tu,maana Nancy mwaka jana alikuwa anawakawaka, huyo keshaanza kupauka,,,,

  ReplyDelete
 19. Muwadanganye kabisa ambao hawajawahi ishi nje,lakini asilimia kubwa ya watu wenye akili timamu na kujali utu wa mwanadamu hufikiri na kuamua mara moja.Tusidanganyane bwana watu kibao sasa wamerudi nyumbani baada ya kugundua uovyo na ubovu wa maisha ya kumyamyasika kiubaguzi hadi rangi.(ethenic and races)Ethnicity is a fundamental factor in human life: it is a phenomenon inherent in human experience where as racism ideology is supersede humanity).Kama kuna anayebisha hilo hajielewi ama najifariji tu.

  Hata hivyo hawa akina dada tusiwanyanyapae,kila mtu anamfumo wake wa maisha anaotaka kuishi,kama wengine hujilipua ili kupata uraia wa nchi nyingine,wengine hubeba boksi nao waliona ulimbwnde ndio njia nyepesi ya kujikimu na maisha yao.

  Msema kweli Daima.

  ReplyDelete
 20. ANONY ULIEPOST REFERENCE ZA KINA KINDU BARAKA NK....UMENICHEKESHA SANA LOL I CANT STOP LOUGHING...NAONA UMETOA YA MOYONI YOTE!! MPAKA REHEMA NK,
  FRANCIS APEWE LAWAMA KILA SEHEMU? AU U DONT MEAN FRANCIS MANDEPU?? I think he was nuts investing his time kwa wasichana...he got his devidends

  Peace!

  ReplyDelete
 21. Jamani naona mnao msema Flavy kweli mnaongea tu bila kujua mnachokisema,nguo aliyovaa ni nzuri tena sana kupita yeyote hapo tuulizeni tulokua kwenye hiyo event,yupo juu tu no matter what najua wanaoandika wana yao pia kuhusu kusoma engneering watu kweli bado mpo nyuma sana badala ya kufurahi kuona yupo tofauti kuonesha elimu au fani haijali jinsia mnalalama tu.Ebu mwacheni she is wonderfull no matter what

  ReplyDelete
 22. Kusoma Engneering ni ujinga?wangapi hadi wanaume wanaiogopa hiyo fani,go mama watakukubali pale wanakapokua wanakusoma na kukuona sehemu muhimu achana na wanao lewa usuper star.Pia kuhusu nguo hapo juu basi tu watu wengine ili mradi na nyie mtoe maoni,heleni zina tatizo gani?Huyo ni model jamani mkubali msikubali thats why hata wamarekani huku wakamkubali akapata nafasi ya sit na ya kwanza kwa Africa,naimani soon atakua juu wana ongea muongee vizuri sasa.Kazana mama huku unatafutwa utatukuta watanzania wenzio,wasiliana na agencies hawajui wakupate vipi tu

  ReplyDelete
 23. Nawaunga mkono watoa maoni hapo juu,Flaviana looked fabolous that night nlimuona jamani tena alivishwa na Mustafa Hassanal hyo nguo.Nlimpenda na kila aliyekua kwenye show alimkubali.Mtoto ni bonge la model huyo basi tu.You deserve more than you have mama,kaza buti najua utafika mbali

  ReplyDelete
 24. Big up Flaviana Matata wewe ndo model wetu hapo hao wengine hamna kitu,Nancy u r cute acha unachotumia kubadili ngozi yako

  ReplyDelete
 25. Jamani enh !!! Mseme msemayo, lakini NANCY SUMARI yupo juu!!! Binafsi namkubali sana. Hao wengine NO NO NO NO !!! NO !! ila Nancy ANATISHA!!! Kwa hilo hamnielezi kitu. Nancy yaani wee ni Bomba my Friend!!!

  ReplyDelete
 26. Acha unafiki wewe atishi kiivyo sasa kajihalibu anavyojichubua usimjaze ujinga,alikua Nancy kipindi kile.Pi Flaviana yupo juu tu ata mkatae thats why hata wanyamwezi wanamkubali

  ReplyDelete
 27. Yaani hii article ya "MASTAA" walao imesaidia kuonyesha jinsi WANAUME walivyo NYOKA na wanaongoza kwa MAJUNGU NA KASHFA, ukiachilia mbali ROHO MBAYA....mwe!

  ReplyDelete
 28. Guys stop being hateful!Whats wrong with them being masuper star? Kila mtu anajua what it takes to be a superstar, and none of them 4 are close to it yet! May be Flaviana maana yeye alipata publicity na some major tv za ng'ambo.
  Guys this is 21st century naona kuna wengine tumewaacha karne ya 19. Whats wrong with her kusomea engineering? Kwani kusomea engineering ni kubeba vyuma tuu. Come on people! Engineering imegawanyika kwenye vitengo vingi ni mtu anachagua nini anataka kufanya.
  Kuhusu wakina Baraka Shelukindo hao nao muwaache ni utoto/ujana tuu ndio ulikuwa unawasumbua hawakuwa na usuper star wowote. We mtu unakula unala nyumbani kwa wazazi ndio usuper star?Wako wapi sasa.Wamekua na wanaendelea na maisha yao like normal people.

  ReplyDelete
 29. Loooh! Pole sana Tanzania aliyejisemea mzungu maendeleo tabia (lifestyle). mawazo ni ya kijinga 80%, masuperstar wamechoka, comments utumbo mtupu sishangai ina reflect Tanzania from top to bottom
  ila one thing i'll add your right pacha (neema)amechoka but the one with francis i think used to be Malik leftovers

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...