hii ndo timu kamambe ya ist afrika mashariki siku rwanda na burundi zilipokaribishwa rasmin kundini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

 1. hapo mwenye akili mmoja tuu Kagame wa Rwanda wengine wote wala rushwa na wa kwetu JK ni soft sana kuwakemea mafisadi na hana vision,Rwanda sasa wanaendelea sana na watatuacha mbali sana sio siku nyingi na nchi yao hakuna rushwa kabisa

  ReplyDelete
 2. Na huyo wa mwisho kushoto anafanya nini sasa hapo. Hatari kubwa kwamba Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa inawakilishwa na marais wawili!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 3. Wewe annoy wa 4:18 nakuunga mkono kabisa Kagame ana akili bwana nilikuwa kule nchini kwake wiki jana jana nchi inakwenda hakuna ubabaishaji kama wa Bongo!Kiongozi aikishutumiwa tu na wananchi kwamba anakwenda ovyo kama akina Karamagi.Balali na wengine wengi anamuweka pembeni na akiprove ulikuwa uongo anamrudisha!Hapa bongo Kikwete amekuwa softi sana au hawa ndo walimsaidia kuingia madarakani?Afu Karume hapo anafanya nini yeye ni Rais wa Zanzibar na si moja ya viongozi wa Jumuia ya Afrika Mashariki!Alafu Kagame alipoingia tu aliuliza uwepo wa Karume pale nasikia wakayeyusha ati kamsindikiza Kikwete sasa nao wakiamua kusindikizwa na wengine tutakuwa na marais wangapi jumuia ya Afrika Mashariki?

  ReplyDelete
 4. Huyo Museveni huyo amekaa ki uchuuchu sana wa madaraka huyo.
  Mwenzenu alishajiesabu kwamba ni Rais wa kwanza wa ist afrika mashariki nyie mumemuangusha!

  ReplyDelete
 5. Tanzania is now nearly a top corrupted country we are beating kenya soon we gonna be on the top.
  The great thing is that Tanzania is a peaceland and Tanzanians are very kind.

  ReplyDelete
 6. Ndugu yangu Michuzi!wewe kama mwandishi wa habari unatikiwa kuwa mstari wa mbele kuiendeleza lugha yetu ya taifa. Lakini ndiyo kwanza wewe umekuwa mbomoaji. "ist africa mashariki". Ni vema hata ukiandika ist Africa inaeleweka. Lakini ist na mashariki vyote kwa pamoja!

  ReplyDelete
 7. Wote hao ni "born-again" Christians, ukiondoa Kikwete na Karume! Shauri ya "influences" za wake zao - "so-called First Ladies".

  Lakini tumefunga macho hatuoni jinsi ambavyo siasa zetu zinavyoingiliwa na "influence" hii!!

  Lakini kwa nini majina yao yote yanaanza na K?

  Karume
  Kagame
  Kaguta
  Kibaki
  Kikwete
  Kurunziza (Nkurunziza)

  ReplyDelete
 8. Nasikia Kikwete na Mseven huwa ahaziivi, hivi ni kwa sababu gani? Pili, Kikwete amezidi mno kuwa mshabiki, viongozi wanamuangusha na watazidi kumuanguasha. Ushauri wa bure kwa Kikwete; kiongozi yeyote anayepata kashfa muweke pembeni kwanza na kisha kama ataaminika hakufanya ufisadi mrudishe.

  ReplyDelete
 9. Huyo wa kulia mbona kakaa kihuni..ndio maana hata dress code imechoka na soksi zake za blue kama mchezaji wa Cosmo.. anayewajua hawa wote atutajie majina basi...

  ReplyDelete
 10. Museveni ovyoooo!!! atakuja leta shida huyo, kwake anaharibu tu, wananchi hawamtaki anashinda kwa two ten.

  ReplyDelete
 11. KAGAME ANACHOFANYA YEYE NI KUIBA MADINI YA ZAIRE (KONGO)ANAMTUMIA (NKUNDA) NA KUHAKIKISHA ANAPUNGUZA RUSHWA KWAKE (KUMBUKA WAHINDI WAFANYA BIASHARA NI WACHACHE SANA RWANDA)..SASA WEWE UTAJAZA..

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...