Kaka Issa,
nisaidie nawatafuta jamaa zangu nilikuwa nao Tabora Uyui miaka ya 87 sina njia nyingine ya kuwapata hawa jamaa zangu,majina yao ni kama yafuatavyo:
1.Nisalile Mwaipyana
2.Kassim Dachi
3.Joyce Pyuza
4.Asha Dachi
5.Kakela Kasongo
6.Titus Kachinda nasikia ni mchungaji wa madhehebu kikatoliki
7.Peter Khatibu
8.Solomon Mwangamilo nasikia ni polisi hapo Dar
Nitashukuru sana ukinisaidia
e maili yangu uyuitz@gmail.com
- Saidi Mzee
Kassim dachi nasikia yuko Zanzibar.
ReplyDeletebaada ya kumaliza Uyui, ali-enda jeshini baadaye akasoma chuo cha uhasibu Dar, na baadaye kwenda zake uarabuni nasikia. Halafu akarudi dar na kwa sasa yuko Zanzibar anakoishi.
Du watu wana umri hapa 80'sss na bado mna blog si mchezo
ReplyDelete