Kaka Issa,
nisaidie nawatafuta jamaa zangu nilikuwa nao Tabora Uyui miaka ya 87 sina njia nyingine ya kuwapata hawa jamaa zangu,majina yao ni kama yafuatavyo:
1.Nisalile Mwaipyana
2.Kassim Dachi
3.Joyce Pyuza
4.Asha Dachi
5.Kakela Kasongo
6.Titus Kachinda nasikia ni mchungaji wa madhehebu kikatoliki
7.Peter Khatibu
8.Solomon Mwangamilo nasikia ni polisi hapo Dar
Nitashukuru sana ukinisaidia
e maili yangu uyuitz@gmail.com
- Saidi Mzee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kassim dachi nasikia yuko Zanzibar.
    baada ya kumaliza Uyui, ali-enda jeshini baadaye akasoma chuo cha uhasibu Dar, na baadaye kwenda zake uarabuni nasikia. Halafu akarudi dar na kwa sasa yuko Zanzibar anakoishi.

    ReplyDelete
  2. Du watu wana umri hapa 80'sss na bado mna blog si mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...