wadau huu ukimya ni kwamba napambanua pumba na mchele kwenye mdau wa milioni 3 ambapo kuna wadau wa kila sayari wenye ufisadi kibao kama mwenye mtungo wa hapo juu ndio wanaoniharibia pozi. nasema tena; mshindi keshapatikana ila niko katika kupitia kila ingizo nisije nikaonekana nafanya zengwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

 1. Ka Michu, mimi nakusubiria tu hapa. Naomba tuwasiliane kwa njia ya barua pepe ili kunipatia haki yangu. Ahsante.


  SteveD.

  ReplyDelete
 2. BONGO BWANA WATU KWENYE DILI KWA KUCHANGAMKIA NIMEWAVULIA KOFIA, ndio maana kina 'br lali' hawakukawiza na hatopatikana mtu na hatia
  mr c.T

  ReplyDelete
 3. NIna hakika aslimia mia moja huyo mdau wa million tatu hayupo kwa hiyo number. Ilikuwa yangu lazima, unless muujiza utokee! Maana niligungua kwenye hiyo number nikakuta #error! Kwa hiyo kama counter iko sawa sawa, basi lazima hiyo error niwe mimi mwenyewe!. Number zinazofuata zote nilizipata, yaani 3000001, 3000,002. Ila hata hivyo nawashangaa sana mafisadi wenye number 3000,002 hapo chini! Na sijui wataalaam wa Michuzi watawezaje kupambana nao kama ni hivyo!

  Joram Msafiri

  ReplyDelete
 4. Naamini kabisa kuwa haki itatendeka katika kumtangaza mshindi!! Nilikuwa nimekalia PC yenye jina hlavkova-nb, hata extremetracking.com ya blog yako hii inaweza kuthibitisha binadamu aliyekuwa hapo kipindi hicho! Actually niliisubiria kwa hamu sana hii tarakimu 0003000000.

  Revd. EVM

  ReplyDelete
 5. Sidhani kama ni mafisadi bwana misupu, naona zoezi halikaa poa, nimeshuhudia watu wanne no zikigongana, yaani unakuta wote inasomeka no moja.

  ReplyDelete
 6. aisee wewe Joram mie nakuunga mkono kabsaa maana hata mie ilipokaribia tuu kufika milioni tatu ikawa yaniletea error pale kwa kuhesabia watu...next time nikafunga na kufungua si ndio ikaniletea 30000001 3000002 so hata mie nawashangaaa hao waliotuma picha with those numbers

  duh kweli ufisadi hauko bot na ccm tuu

  ila michu alishasema toka mwanzo kuwa uamuzi wa mwisho ni wa majaji...so tukubali kushindwa na michu na rehema plus majaji wajimini

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...