PICTUREZ FROM DJ RULE BIRTHDAY BASH@CLUB SENSATIONS, BIRMINGHAM LAST SATURDAY.


MANY THANKS TO THE BONGOFAMILY, DA TWINZ FROM BEN TV, BARAKA BUZZIE PRODUCTION, ALL DA DJZ, STRIPERS AND EVERY BODY WHO TURN UP.WAS A NYT TO REMEMBER.


DONT FORGET WE WILL BE@CLUB SENSATIONS THIS SAT FOR ANOTHER CLASSIC NYT.


FOR MORE INF AND PICTURES VISIT WWW.BONGOUK.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Tunafuhishwa kuona ndugu zetu wakiwa na nyuso za furaka katika nchi za ugenini kwa kujumuika pamoja na kula maisha baada kazi ngumu za werehouse laki bado wana furaha wakiwa wanakula beer na huku wana kama bibi Tumefurahishwa wandugu

    ReplyDelete
  2. mtoa maoni 1:13...nani kakwambia watu wote huko wanafanya kazi warehouse?..acha watu wajiache!!!

    ReplyDelete
  3. Guido.......naona kaka mambo safi, enjoy...mdau wa zamani wa Wolves

    ReplyDelete
  4. Hadithi za Nyumbani ni nyingi sana,la kushangaza ni kuona watu wanaponda Mabox,Warehouse ,Maisha mabovu Ughaibuni.Kama wewe uko vizuri nyumbani kwenu tulia Baba,usikute unaishi kwa Baba na Mama huku unawaponda wenzako walio Matawi ya juu.

    ReplyDelete
  5. wala vumbi hapo mkia mpaka kifuani

    ReplyDelete
  6. kazi za warehouse nani kakwambia ni ngumu wabongo wanafanya kazi za warehouse ndio zina pesa kubwa usifikiri kazi za ofisi hatuzioni au hatuwezi kuzipata warehose 10 pound per hour nakuuliza umeshawahi kukamata pesa kama hio wewe au unazisikia kwa mafisadi tu hapo bongoland.

    ReplyDelete
  7. huyo anaewasema watu wa warehouse nahisi ni kati ya wale mapedejee uchwara watatu michuzi aliyetuwekea,sasa anawaonea watu wa ulaya donge tu.

    ReplyDelete
  8. guido nakuona yule dada yako linda yukwapi siku hizi, michuzi mambo yako poa.

    ReplyDelete
  9. wewe unae muuliza guido dada yake linda yuko wapi siku hizi..wewe ni nani? mie nipo tu..
    linda..

    ReplyDelete
  10. nakufahamu linda tokea dar, hivi uko wapi siku hizi, taratibu linda me nakujua, nilipomuona guido ndo nikakukumbuka, asante michuzi.

    ReplyDelete
  11. Naona wabeba box wanaselebuka! Mmependeza ndugu zangu!

    ReplyDelete
  12. ok , wewe nani ? maybe na mie nakujua ndio maana nakuuliza wewe nani.. anyways mie niko canada.. take care.
    linda

    ReplyDelete
  13. na huyo comfort anatoka na nani tena, aisee michuzi unatukumbusha mbali, guido naona mambo yamekucha.

    ReplyDelete
  14. HUKO BEBENI MABOX TU SISI TUNAJICHANA NA PESA ZA EPA NA KUNUNUA MAJUMBA NA HAYO MABOX YATAWAUWA. HUKU MWENYE PESA HAKAMATWI TUNAPETA KIULAINI KAMA TUNASUKUMA MLEVI,

    ReplyDelete
  15. HII PICHA BONGO AU WAPI????KWANI MBONA WATU WAMECHOKA SANA....MIMI NAISHI HOLLAND SIJAONA WACHOVU KAMA HAWA....USIBANE HII MICHUZI KWANI NAJUA UNANIBANIA KIBAO ZA UINGELEZA.MDAU OO316.

    ReplyDelete
  16. sio siri Guido dem wako Modesta mzuri ukimwacha me ntamwoa hata akiwa mzee ntangoja tu.. maana nampenda sana sema wewe uliwai mapema

    ReplyDelete
  17. Michuzi sweetheart, who are these idiots??

    ReplyDelete
  18. michuzi mwambie linda akutumie picha sijamuona siku nyingi, nawakilisha asante michuzi.

    ReplyDelete
  19. lo hata sisi tuliobongo tunaafadhali hamna kitu hapa msituwekee upuuzi wenu siku nyingine hapa sura zimechoka

    ReplyDelete
  20. wewe kaka/dada unayetaka nitume picha kwa michuzi naona ndugu hunitakii mema, unataka nipakwe au ? maana si unawajua wabongo? anyways ..u can write 2 me na email yangu ni: mkami16@yahoo.com
    take care buddy..

    ReplyDelete
  21. Hapo kakosekana Mecky tu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...