waziri mkuu mh. mizengo pinda akipokewa na mamia ya wakazi wa mpanda alipotua huko kwa ziara ya siku nane iliyoanza jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ha ha ha hao ZIMAMOTO wananikumbusha Alivyokuja Bush,inaelekea nao ni ma FBI wa MPANDA...

    ReplyDelete
  2. HUU MTINDO WA VIONGOZI KUTUMIA NAULI YA SERIKALI KWA ZIARA ZA KICHAMA UTAISHA LINI? KWANI UNATUNMA HAKI SISI AMBAO SI WANACCM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...