Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Thats right, there is a story of an Irish Man, who went on Media on BBC, after traveling from Tanzania.

    Guess what he says "Tanzania is the only one country in the world, where Mzungu could go in with empty Briefcase and come out a reach MAN" Facts

    There is a rumor, I was told by my fried in US, that, President JK, was asked by the media, whats required of us(Americans) in order to invest in your country, Guess What he says. "You need to wear a suit and holding a briefcase".

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. Atampata kweli huyu jamaa?Kila kukicha amekwaa pipa kuna mkutano wa ujirani mwema Uraya!Siimlaumu,Mungu akupe nini,una Makamu wa Rais,una Waziri Mkuu,una Rais wa Mapinduzi!,una Waziri wa Kiongozi wa Mapinduzi! nani tena nimemsahau isije ikawa issue mze kiprotocali? Kwa set up ya namna hii mtu unaweza ukafungua ofisi yako Washington Marekani ya Mwaka Mzima!We kazi yako kuulizia tu nyumbani,kama kuna msiba basi unachomoka kidogo unakuja mwaga Ubwabwa watu wanafurahi wanasahau machungu ya kufiwa kisha unitia timuuu,huyooooo unapitia Paris kwanza ukanunue Aftershave Lotion na kushika shika pale mambo ya Konoooooooooooooooz kisha unatokomea visiwa vya Jersey ukahakikishe kama kile kisiwa hakija kumbwa na Katrina.Baada ya hapo unashuka zako Washington.Mwaka wa kwanza wa pili wa tatu wa nne katikati unashuka na Mabilioni yako kuja kupiga Kampeni.kumbe je!Nyie wengine mlizaliwa wakati mbaya,wakati wa Nzige!Halina Dawa ndugu yangu,dubwana Nuksi!

    ReplyDelete
  3. Aisei, watu tunasema kama utani lakini hebu sikiliza yaliyonipata majuzi. Nilikuwa kwenye klabu fulani Boston. Sasa kuna wazungu walivyosikia kuwa natoka Tanzania wakanifutata. Wakaanza kuniuliza habari hizo hizo ya kwenda na hela kidogo Bongo na kutoka milionea! Nilishangaa sana! Lakini kwa nini nishangae wakati ukienda restaurant Bongo na kuna mzungu mle, wahudumu watasahau kama nyie waswahili mpo!

    ReplyDelete
  4. hahahaha! Anony 4:50PM kichaa kweli! Asante bwana, you've made my day.

    ReplyDelete
  5. Hehehe Poorman's Country....


    Wazee wamesoma bure wamepata kazi kiubwete ubwete tu lkn wao ndo wameing'ang'ania nchi waikwangue kabisa utadhani nchi ni mahututi sasa mali za marehemu mtarajiwa ndugu wameshaanza kugawana.....


    Itakuja tu siku yao ngoja watu tuje kushika nafasi zao watajutia mienendo yao.....


    Nway Michuzi tuwekee Habari ya Mtanange wetu na CHelski ili tuanze kuchangia huku tunavunja daraja kibara..........

    ReplyDelete
  6. KP ujumbe umefika! Nakubaliana na wewe kwani ni juzi serikali ilimwaga pesa kwa TRL wakati kuna muwekezaji na wakati huo huo hao jamaa wanatumia mkopo wa serikali kukodisha vichwa na mabehewa ya treni kutoka india badala ya kununua vipya. Hiyo ndiyo bongo kwani siku ya siku bombay juu na tanznia chini. Kalaghabaho, unachotakiwa kujua kama muwekezaji kabla ya kuja bongo ni akina nani watapitia mkataba wako na kiwango cha rushwa cha kila mshiriki kama alivyosema mzee wa vijesenti kwamba kila mtu ana viwango vyake tehee!! teheee!!!

    ReplyDelete
  7. halooooh kipanya waniacha hoi kwa kweli humu ndani anaeniweka hoi kipanja wanivuncha mbavu na wanifurahisha sana kipanya kipanya adumu daima na ukweli wape nakupendea hapo mr k. mwaga pumba wenyemacho wachague.

    ReplyDelete
  8. Sio Kujaza briefcase tu. Akitua ameandaliwa nyumba ataishi bure, atalipiwa umeme, maji atapewa gari ya kumpeleka kazini na kumrudisha. Mshahara atapewa zaidi kuliko mzawa ambaye ana ujuzi kumzidi. Wanafunzi wengi wanamaliza vyuoni lakini wanaanzia mshahara wa laki 240 kwa mwezi lakini huyo aliyeishia vicollege ambavyo hata havitambuliki, amesoma online ana kudesa kibao ndo anathaminiwa kuliko mzawa. Ndo maana wanaendeleza dharau kwa wazawa maana kama sisi wenyewe hatuthaminiani ye atakuwa na muda? Serikali ta Tz inabidi ithamini wananchi wake zaidi kuliko wageni ndo maana wanaoondoka kwenda kubeba maboxi hawarudi maana wanabeba maboxi na wanathaminiwa kuliko kwa nchi yao. Hakuna nchi inayobeba experties kama Tz, imepitiliza, wanawapa kila kitu na hakuna wanachofanya. Hii inawezekana pia ikawa ni mojawapo ya mambo yanayochangia ufisadi TZ. Kitu tu kikiwa na mzungu, kinapewa hela zote, hakuna kubisha.
    Mimi naamini watanzania tunaweza kutatua matatizo yetu zaidi kuliko watu watokao nje maana tunaishi na jamii na tunafahmu matatizo kuliko wageni. Tokea tumeanza kuwakumbatia ni nini walichofanya kikubwa sana?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2008

    wala msikonde wabongo. Bongo mswano kisawasawa ila tatizo ni wewe. usimwamshe alielala na chukua chako mapema kwani hawa ndio wazazi watu waliozaliwa katika nyumba za udongo na kufanikiwa kiasi hicho ili tusije beba jembe tena. Acheni hila fungua macho na kula taratibuuuuu kivyakovyako kwani hata mtume musa hakuweza saidia watu wake wote.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 01, 2008

    Nawaambieni siku zaja! Ngoja 'wadogo' zake Zitto wamalize shule na kuukwaa uzoefu muone. Siku sio nyingi nawahakikishia.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 02, 2008

    HAPA ILI UWE BILIONEA SI LAZIMA UWE MFANYABIASHARA! MABLILIONEZA WALIOZALISHWA NA MKUKUTA NI WALIOKUWA WAAJIRIWA SERIKALINI SASA HIVI NI MATAJIRI KULIKO WAFANYABIASHARA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...