Ndugu Michuzi,
Habari za kazi kaka, twashukuru sana kwa picha ya shule yetu Kifungilo. nakutumia picha ya mazinde juu naona wenzetu walituonea donge. Nao basi wakumbuke enzi Zao huko Mazinde.
Ingawa mimi ni wa kifungilo lakini nilikuwa na hizi picha za mazinde juu.
Huyo Sister Ndo Sr. ------??? Tukumbushane Jamani, shule yenu nayo imekuwa bomba ile mbaya. majengo kibao halafu mabweni yako kwa cubes ndogondogo yani ni kuzuri sana.
wish you all the Best
"kizungu Hicho"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 39 mpaka sasa

  1. OOh jamani shule yangu,mhh mnaikumbuka smart are?Naona hao ni Form five or Six wakiwa na shamba dress,Sister msaki nae hayupo nyuma.I really miss my school.Where is Fr.Damian?Sr Domitila and Mdoe,Mr Chambo &Mrs.
    Mama Kombo na Mr Mahonge.I miss u all guys.Kizungu hicho Michuzi nilichojifunza kutoka kwa mama Kombo na Fr.Damian

    ReplyDelete
  2. jamani pipo..one of the good schools kwa majengo ni mazinde juu...nimesoma kifungilo lkn i admired mazinde juus majengos... ila uniforms mmmmh!!! mlichanganya... mng`ao a.k.a makaroti

    ReplyDelete
  3. Ah mdau wa kifu asante sana kwa kuturushia majuu(mazinde juu) yaani acha tu,kwanza huyo ni Sr Msaki enzi zetu alikuwa headmistress.Mh nakumbuka wakati twajifunza kidhungu "utasafa mai dia",acha tuu.Wengine waliapa wakiondoka hapo hawarudi teena.Hivi mnawakumbuka maspy (kuna watu wengine walikuwa wadaku hapo msimtete sista tu kazipata) na mapeasi kwa msagati.Jamani mazinde juu 1994 that was the best.Mwulize yoyote hata Fr Damian.Wapi,Machaga,Kyaze,Lyimo,chinguwile,Minja,hozza and the rest!!

    ReplyDelete
  4. annoy hayo makaroti yalikuwa yanamaana mpendwa.Maana hiyo ni Irish flag ,Fr Damian originally ni muirish,kwa hiyo ndo maana tulipigwa green ana yellow.lakini admit macrazy colour yalivyokuwa in fashion mliwish...ahaha.Yote tsa umi ile mibukta ya michezo ilikuwa nomaa duu,makande meupe.wazee wamage....Lily kusaga,pepe njuu tasimbora .....Gemina RIP

    ReplyDelete
  5. Sasa michuzi tunataka KIBOSHO GIRLS kwa mother conso wetu utuonyeshe na majengo sio gateni tu na weruweru please

    Ex Kibosho girls

    ReplyDelete
  6. oooh my Goodness, nilisoma hapo, makarotti, mapears, mapeaches, hahahahaha, imenikumbusha mbali sana, i miss it thou, long time, Sir Msaki alinifundisha Geography...hahahaha, too many memories, i miss all my friends, graduates of 2003, martha, shuby, nancy, alice, sarah, eunice, i miss u guys

    ReplyDelete
  7. Ah Kaka michuzi naona umeamuwa kutuwekea wachumba wetu wa mazinde na kifungilo, nlikuwa Magamba Secondary form 5 na 6 mwaka 2000-2002, cha ajabu tulikuwa tunawazimikia sana kifungilo kuliko mazinde juu, ingawa wao ndo majirani zetu kwa sana. Shule zote 2 hizi walikuwa wanawatesa madogozetu wa olevel tu kitaaluma ila kwa A`'level PCB, walikuwa wanakaa chini kwetu!Nlihadithiwa kisa kimoja cha madogo wa magamba wa form 4 walivyotembeza kichapo kwa madada wa mazinde juu mbele ya faza Damian ikabidi faza Damian achomowe bastola!
    Any way tulikuwa tuna enjoy sana wakati wa UMISETA ha ha ha nakumbuka nyimbo za kifungilo "not so bad not so bad..." then wanawatania mazinde kwa kuwaita karot lol!
    Kaka michu ukipata nafasi pachika shule hii ya madume enzi hizo Magamba siku hizi imekuwa chuo kikuu...lakini majengo yale yale na hisi itanikumbusha mbali sana!
    Mwalim Imma wa mazinde juu alitupiga tafu sana A level kwenye
    physics enzi hizo.

    Bablii

    ReplyDelete
  8. mazinde juu kijiji magamba juu wilayani lushoto mkoani tanga kanda kaskazini juu nchini tanzania.......kwa moyo woooteeeee mpo watoto wa Fr Damian.Wajameni mi menda active 1994,wapi walwa,Bahati Ibrahimu .yooote niambieni wapi Blandina Mganga(mtakatifu duu soo).Ehe Vp yule flateli aliyekuwa anawanyima usingizi form 4 1994.Afu hivi kwa nini kunakuwa na ile migonjwa ya kucheka huku girls boarding school,du mpaka form 1993 some wakarudishwa home nomaaa.Anony hapo juu najua machaga aliolewa(yes its true)yuko Bongo,Kyaze nimemwona kwenye Graduates.com yupo sweden.Wengine sina habari nilisikia chinguwile ameolewa na mzungu sijui nchi gani lakini.All in all what we had in our time in that school stays in my mind.Quiz

    ReplyDelete
  9. HAHAHA JAMANI, YA LEO KALI..HAKIKA MAZINDE JUU HAIKUTII KIFUNGILO GIRLS HATA KWA UVUMBA NA MANEMANE..WANAJITAHIDI LAKINI KIFUNGILO NDIO YENYEWE KUANZIA MAJENGO, USAFI, TOTOZ, KUFAULU YAANI MUNGU AIBARIKI KIFUNGILO NA UTAWALA WAKE WOTE....AMEN....

    ReplyDelete
  10. he! jamani mdau hapo juu umenikumbusha kaka msagati wewe unakumbuka mapeas tu! na vile walivyokua wakioga na yeye anapita kwenda kwenye mang'ombe yake anaangalia watu wakioga kama vile hawaoni,hee sister msaki(miss perfect) sijui bado anapenda maua,jamani diana mongula,graceana benedict,felista mwingira,alice kaale mko wapi?miss u guys
    hee nikikumbuka sakata la kuiba maembe...do uroho uu huwezi amini nilishiriki.

    ReplyDelete
  11. hee jamani na mie ni mewamiss kina aisha byanaku,twisibilege,malkia maruma,judy mashala,ritah mutagonda,nanzoke,apansia amanda kimonge,faith kundi,winnie mchome PCB MEMBER na mr beria na msemo wake ''THE MORE YOU DRIVE THE PADLE,THE MORE THE LIGHT,
    Hakyanani kaka michu unatuunganisha!!!!!

    ReplyDelete
  12. Tafadhali yeyote anayeweza kutuwekea picha ya Bwiru Boys' Secondary School ikiwezekana na Bwiru Girls' hususan maeneo ya Mombasa ambako kusema kweli mimi sikuwahi kufika. Nazungumzia miaka ya mwisho ya sabini na mwanzo mwa themanini. Yuko mmoja waziri (jina kapuni) alikuwa maarufu kuruka mlima...

    ReplyDelete
  13. Jamani kwa kweli hizo picha zatukumbusha mbali, ule mchaka mchaka wa asubuhi wacha kabisa. Na mambo ya kwa nguruwe na kwa ng'ombe si mchezo. Hizi ni memories nzuri. Nilikuwa nafahamu kuhusu mpendwa wetu Gemina, sikujuwa kuhusu hao wengine. Mwingine kwenye list hiyo ni Grace Mwingizi. Lord May they all RIP

    ReplyDelete
  14. Kaka michuzi vipi kuhusu Ashira girls jamani tuwekee basi ili tukumbuke na sisi tujisikie vizuri, nitashukuru sana maana nimemiss sana kule ngambo na maparachichi

    ReplyDelete
  15. Hivi siamini,Form four wa 1999 mpo?akina aisha"Mbaruku"Usemi wa sister Mdoe,Neema najua upo Ohio,Adda,hivi table no 1 mnaikumbuka?Adda,Aisha,Alice,Anneth,Sr Betila,Diana Mongula da siwezi kuamini tumetoka mbali,Tina Mutafungwa,Felista,Bertha Damas,Brenda,Eliakunda,Pia,Devotha,Pamela, Lamwai,ahh jamani mnazikumbuka familia zenu?Yote tisa kumi mnakumbuka mkwara wa kula wali wa maharagwe Jumatano?Sr Mdoe anaushikilia bango Usafi hadi hamu inaisha.Mhh wewe hapo juu wa 8:17 umeniacha hoi na maembe ,mapeas ama kweli huwezi kusahau watu jamani Kaka msagati?
    Hivi mashushu ya dada Vene mnayakumbuka?Michuzi umegusa hisia zangu vilivyo na hizo picha.
    Hivi Domestic rooms mmeziona hapo chini.Mama Antony yupo?

    ReplyDelete
  16. Very neat school. it is good to see shulez za bongo kukumbushiana enzi. mie nilisoma maeneo ya jirani na Nsumba boys, mnapajua huko wajemeni? P.O Box 1212 Nsumba....ring any bell? Rock city where u at! the memory is still fresh and graphic! tulikuwa tunachanganya mate na kubambanisha vifua.....

    ReplyDelete
  17. Jamani shule mazinde lol inanikumbusha mbali form six 2004 mpo , nakumbuka enzi zile za kwa ng'ombe na kwenda kuina maepo , miss you all mazinde membaz

    ReplyDelete
  18. jamani i remember those time....eeeh tukafanya party darasani wacha tufukuzwe na sista.....tukarudishwa hm....week nzima ,tulikimis "KISAULA"...mnakumbuka hiyo wana wa mazinde......faraja,kithio,agatha,maryam,martha k,upendo,danuta,elizabetty,etc

    ReplyDelete
  19. I was thrilled to see fotos of Kifungilo, it reminds me of our skul song, its the best among the best always best best best number one!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mpo wadau wa kifungilo, i completed the year 1996-yaani I remember Mr. Massawe i wont 4get him and sista Alida hawa wanoko wawili walinichapa fimbo mikononi mpaka wakanitoa damu- I wonder if there is any lawyer/advocate out there to assist me in opening a case against them-inhuman degrading or violiationz of human rights jamani-hebu chinga letu Clara Massawe anisaidie pls

    ReplyDelete
  20. Jamani "Kwa Moyo Wote Mazinde Juu" mmenikumbusha long back 1991-1994.Mnakumbuka 'nami nami natabika hapa, nashiriki na nguruwe" kula mapeazi...My mates anayejua whr abts za Getrude Haule, Subira Nassib, Agripina, Mariam Mbaruku na Patricia Mboya aniambie tafadhali. Mary Machaga yuko Celtel, Bahati Ibrahim Ernst& Young, Jane Raphael Walwa Computer Connections, Cecy Minja was working with NMB na Fardina Hoza yuko Bagamoyo Im told she's Hakimu. The Flateli aliyekuwa anawanyima watu usingizi is now Mwandishi wa Habari wa Raisi, he got married some yrs ago.

    ReplyDelete
  21. Kifungilo na Mazinde Juu ni shule zenye sifa zakupeleka wanafunzi wengi kwenye elimu ya juu, ila hizi shule zimekaa kiupebalibepali.
    Wanaosoma hapo ni watoto wa wakuu wa nchi kuanzia visiwani,Mwanza, Dar, Arusha, Kilimanjaro nk. wengi wa watoto wanaosoma hapo ni watoto wa matajiri.

    ReplyDelete
  22. Anony april 7:00 pm,hauna habari zote correct including yangu you better check with your sources well!B.C.

    ReplyDelete
  23. Wow. Hii picha imenikumbusha mbali sana. Mazinde imetufindisha mengi haswa kufanya usafi. Mnakumbuka "kubalance equation" wakati wa prep. Kwa kweli yale mapeasi yalikuwa kiboko.Fadya, Prisca, Rosemary, Lidya, Kihamia, Mkini, Magingo and the rest class of97' mpo wapi. I realy miss all of you girls.

    ReplyDelete
  24. hi jamani, hii picha imenikumbusha mbali sana kaka michu. Sasa basi kuna lile soo la mazinde la maembe ambalo nilikuwemo aisee, father alikuwa ni mwekundu mno alikasirika sana pale aliposikia form fours 1997 walipata kuyamenya hayo maembe kwa visu karibu na choo cha kule juu lol! kwa kweli it is a place worth remembering kwa kweli that is the greastest time of our lives i think fadya is at tigo, mkini is at ifm, kihamia i havent heard from her since she went to america and me i am just around working anom 3:45 am may i know who u are if u finished 1997 then we were in the same class so u have to know who i am. tuwasiliane jamani its gud to know and see each other yet kusalimiana. do u guys remember lile soo ambapo maji yalikatika ikabidi tukachote kwenye kile kijimto njia ya kwenda kanisani nililaani ile mbaya maana nilikuwa nayakandia yale maji hahahha table no 3 mpo???? akina flo, teti, may Mary kikota RIP i miss u girl. Missing u girls whereever u may all be. NM

    ReplyDelete
  25. Jamani I miss y'all jamani!We should have a family reunion here in da States kwa wote ambao mko hapa!!!Hata ambao wako mbali tureunite jamani!!!I miss those great moments! I wish I could rewind da time and be there again.Luv y'all...Thank you Walimu na Father Damian!!DO you remember dada Asia? Ukimwamkia shikamoo anakujibu Mahaba aloo!!!What about zile dagaa?I miss Lushot bwana yaani kuna matunda matamu and fresh!!!Home sweet home...NN

    ReplyDelete
  26. jamani ni mungu tu au mtu aliyesoma mazinde ataelewa wat am feeling ryt now...."smart area" kila cku wa2 wanafagia graduation mnasugua na kusugua...kwa usafi ile shule it was too much....wengine tulisafisha sana mazizi ya ng'ombe, mchakchaka asubuhi nilitega sana, kanisani ndio looooooooooo...mnapangwa alphabetically ilimsitege lkn wa2 wapiiiiiiiiii.......mnawakumbuka magamba boys aka MAGAZINDE heheheh......sister msaki jamani she was the only nun who wasn't a hypocrite lyk da others......father damian, sister serapia,sister Agnesia(digidigi)....misemo ya mazinde jamani.."dear take it easy"....i luv the memories ihav but hata unichape sirudi ng'oooooooooooo

    ReplyDelete
  27. Jamani wen i saw those pictures tears ran down my cheecks what a great memory... i love all majuu members students and teachers..Now my gals"form one ninety four vere gudi student form one then mpaka form six two thousands mnakumbuka my gals how i miss that class we were the bomb!Nakumbuka nilikuwa natamani kumaliza na kutorudi tena i think it was utoto! but nilisharudi kutembea na ntarudi tena na watoto wangu wa kike watasoma hapo na everyone i know ITS THE BEST PLACE EVER!Mnakumbuka morning prayers everyday am sure we are rich with blessings...no wonder nimekuwa mvivu kwenda church nowadays LOL!loooh form four sie umeme ukikatika twashangilia ili tukalale while form threes wanalia na ilikuwa karibu na national na hata hivyo tulipasua kinoma....making noise during prep time then kupiga magoti smart area i wont forget that place am loving it more as my age increases..where is our class master Mr. Yassin?guys we got to meet love u all...Mama Bee

    ReplyDelete
  28. Jamani, ngoja nimake one statement!!! Nimesoma MZj for 6 years na najua Kifungilo sana maana nilikuwa na twin huko!! Kwa uzuri wa majengo, chakula, na walimu!! MZJ tunaongoza!! No kuchapwa kama Kifungilo!!

    Na wewe kaka wa MAgamba uliyesema father Damian alitoa bastola muongo!! nilikuwepo muda uliosoma Magamba, nothing like that happended!! Tuliwatukana tuu!! nasema hivyo kwasababu I was one of the Craziest people there, but a prefect, na nilikuwa kwenye kundi niliowatukana, ila sikupigwa na mtu!!!

    Magamba na MIWA duhh!!!

    haya!! jamani Graceanna uko wapi?? Lennyster je??

    Tuliteseka, lakini MZJ will always be kwenye historia yangu ya maisha maana imenifundisha mengi!! niliiba maembe nikakaa nje nikibeba mchanga kwa wiki nzima kama sikosei.
    mama Kombo nilimuacha UDSM akisoma huko in 04 pamoja na twahir! Sister Mdoe alichaguliwa kuwa mama wa Usambara Sisters so aliondoka, tulilia acha mbovu!!
    Otherwise, I hope wote wazima!! lazima nirudi MZJ nikawaone watu!! na Mkitembelea jamani, naomba mpeleke japo mikate au sukari wanafunzi waliokuwepo sasa hivi wafaidi kwa hiyo siku!!
    Miss u all MZJ

    Nilisoma kwanzia 1996 to 1999 then 2000 to 2002

    ReplyDelete
  29. Jamani si bure nikichangia tena maana kwa kweli hii shule imenikumbusha long time. Hivi jamani sisi tulikuwa na guts just imagine to bath in front of msagati in the morning in that cold water. Thank God he didint event think of kutubaka maana that was our fault kumtia mtu hamasa. hahahah Jamani i think as mama benjy said up there we should meet and have some kind of re union it will be great to see how everone has changed. Si unajua tena as days go by u just get old. It is always good to remember your friends maana they are the ones who will lift you up when u are down, the gud friends though. Lakini hii lazima niikumbushe mnakumbuka lile issue makaratasi ya watu fulani wanne ya hesabu yakapotea katika mazingira ya kutatanisha if i recall i was in form three, MR CHAMBO akamaka akajua hatukufanya paper of course i was one of those whose papers were missing hahhhahha issue ikafanywa kama kuna mwanga ndie aliyechukua hayo ma pepa hahahhaha.Wacha tupigishwe sala kutwa kucha tukijaribu kumkimbiza pepo huyo mchafu anyway at last they were found.So how do we get to do this get together can anyone give out ideas?? Duh so where are u guys Marieta, Upendo gembe, theresia andrew, catherine, rebeca mbilu, jamani na oliver where is she?? and the others lidya kusaga, suzanne mboya,suzanne issac, kihamia ndio umejichimbia, lulu, sister christa,bertha and others jamani. Msisahu zile biscuti za bibi na maandazi kwa dada rhoda. i dont know if they continued after we left kwa kweli. prefect wenu wa ulinzi mwaka 1994 - 1997 lets see who gets to remeber me. Tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  30. LOO JAMANI ROHO IMENIDUNDA NILIFIKIRI TUNAFUNGUA TENA SHULE,KUMBE NIMESHAMALIZA TOKA 2002 DA MIAKA MINGI.HAO WENYE COMMENT WAACHE UONGO,SHULE INALIZA JAMANI,NIMEKUWA TRAUMATISED TOKA NIANZE HAPO ZINDE JUU.

    ReplyDelete
  31. sasa yale wamajuu kijiji magamba,mmenishinda hivi bado hamjaacha kutumia the famous"jamani"!.Jamani you,Jamani lile ,jamani ......mtaandikwa swahili speakers mpaka majumbani mwenu sasa.nikisoma comments nagundua wanafunzi wa 90s wana jamani kibao na 200s nao kama kawa.15 of the comments zina jamani.Nasema hivyo sababu hilo neno jamani ,lakini na eti limetupa adhabu.sana kwa ajili ya kuandikwa swahili speakers.Afu Fr alisema ukianza kuongea na neno eti ...unasema umbea,hilo lilikuwa dongo morning mass moja.Faza naye alikuwa soo kweli kwa madongo.Hivi kuna mtu yoyote anakumbuka habar za Bufuu!!!! Du alitukosesha usingizi St Joseph B.

    ReplyDelete
  32. aaah anony 12:54 umenikuna sana mimi nimesoma kuanzia 94-97 kweli nimeamini kuwa most of the maoni zina jamani hata mimi mama bee na NM tumetumia the famous "JAMANI" kwa sana nakumbuka "jamani u dears if u have taken my spoon no 1 at the dinning room please return it to me if i catch u ...u will suffer...."na hapohapo maspy washakuandika swahili speaker wakati mwenyewe umekitengeneza kitangazo chako mbele ya watu pale smart area ha ha ha ...i love those days NOW wenever i think of watever happenned as somebody said "traumatized" and so on but they make me laugh coz u cant feel the pain as the say goes "WHATEVER DOESNT KILL YOU IT MAKES YOU STRONGER" na ni ukweli kwani hamko strong madada and very intelligent....Mama Bee

    ReplyDelete
  33. Nyie wadada hapo juu nyote mnatia chumvi, kama mlikaa nakusoma huko Lushoto mnajua hata salamu za kisambaa?

    ReplyDelete
  34. ASANTE SANA, MIMI NILISOMA KIFUNGILO PRIMARY NA ENZI HIZO SR MSAKI ALIKUWA MWALIMU WETU WA GEOGRAPHY, SHE WAS BRILIANT, SASA FR DAMIAN NAONA ALIMWIBA KWETU HA HA !!

    ReplyDelete
  35. Mary Machaga na cesy Minja tuwasiliane.Email yangu sdorica@yahoo.com class of 1994

    ReplyDelete
  36. jamani Kabula Nzwala yuko wapi?kama upo tafadhali nitumie email sdorica@yahoo.com class 1994

    ReplyDelete
  37. I miss all my classmates,1995!!!Let's keep in touch...I can be reached at ziggy.white@yahoo.com.I love y'all. It was the greatest experience and it built me to be the person that I'm today;a strong and a beautiful black woman.MZJ had taught me a lot of things...Respect, education, friendship and sisterhood.Na mwanamke usafi bwana ile shule ilitufundisha kusafisha kwa kweli. Nawashukuru masista kwa hilo kwa sababu bado nina ule moto wa kusafisha in other words the usafi uko in my blood...ha!ha!ha! Mary Muhando, Delphina, kanju,Monica,nina,Neema Mrisho, Helena Shemweta and Michael, Sister Rosada mko wapi? Agnes Venance nitafute bwana...Tina Mzoo,Angela Lyimo,Chinguilwe, Clara Munga, wote mko wapi?I wish you all the best and God bless y'all!!Mama Amani-Marcus...

    ReplyDelete
  38. Jamani jamani,i just happen to see these pictures right now and all that you pple have written,i cant stop to shed some tears when i think of all the good old times.jamani nani huyo anamkumbushia kaka msagati?maandazi ya dada rosada je?jamani na zile trip za kanisani mabughai with magamba?WHERE IS MR. YASSINI JAMANI?

    ReplyDelete
  39. .oooops...for some reasons leo ndo naiona hii habari kuhusu mazinde juu wakati najaribu kuwa "gugo" marafiki zangu wa mazinde juu nliopotozena nao tangu miaka hiyo ya tisini (majina kapuni)..nilikuwa magamba 1993-1996 na hii article imenirudisha lushoto as if ni jana!!nawakumbuka mazinde juu (tulikuwa tumewapa jina maarufu la watoto wa zuu jinsi mlivyokuwa mnafungiwa!)tulipokuwa twakutana kanisani jumapili (wakatoliki) jinsi vijana walivyokuwa wanatandika "uturi" kwenda kuonana na watoto wa "zuu" hahahha...kumbukumbu safi sana amabayo haiwezi toka..pia kwenye "english day" na vidhungu vyenu..haha
    father damian as of early 2008 alikuwa hapa DSM vikindu kama sikosei...nimefurahi sana kupata "flash backs" kutoka kwa majirani zangu wa Mazinde juu..by the way happy new year 2010 (miaka 14 tangu nitoe maguu lushoto na sijawahi kanyaga tena!)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...