Tangazo la Msiba kwa wanafunzi wote wa Kazima Secondary school toka 1997 mpaka 2000
Kwa niaba ya familia ya marehemu ndugu yetu, kaka yetu, mwanafunzi mwenzetu enzi hizo za mwishoni mwa miaka ya 90 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000.
Nasikitika kutangaza kifo cha kaka yetu mpendwa HUSSEIN JUMA MATOVOLWA kilichotokea kwa ajali ya pikipiki.
Mazishi yamekwisha fanyika tarehe 27.04.2008.
Habari ziwafikie wanafunzi wote wa Kazima Secondary School na wale wote walio soma nae katika shule ya Msingi Itetemia Tabora, Na ndugu na jamaa wote walio kuwa wakimfahamu kaka Hussein mahali popote pale walipo watakaposoma Ujumbe huu!!
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!!
Ipyana Ambele

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni sana wafiwa. Mungu amlaze marehemu mahali pema peoponi.

    Mie pia nimesoma kazima lakini miaka hiyo ya 80.

    Mdau
    UK

    ReplyDelete
  2. oh poleni sana wafiwa,jamaa na marafiki.nimesoma kazima from 1999-2002.chini ya uongozi wa makonda.
    poleni sana ktk kipindi hiki kigumu,bwana ametoa na ametwaa
    mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...