wadau wasaka nondozz za masters ya Health policy and management wakiwa mji wa Bergen, Norway.. Hapo ni kwenye mojawapo ya vilima vinavyoizunguka Bergen, wakipata 'birds-eye-view' ya jiji la Bergen!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Duh umetunyima majina yao. Kuna mshikaji hapo nimemfananisha na jamaa yangu anaitwa Sigmund, tulikuwa naye Kibosho miaka hiyoo ya nyuma.

    ReplyDelete
  2. SALAMA WADAU WENZANGU WA NORWAY..NAONA MNAPUMUA SASA BAADA YA BARIDI KUANZA KUTOKOMEA...KULENI NONDO WADOGO ZANGU!!!HAD DET BRA.

    ReplyDelete
  3. Namwona mdau wa afya ya jamii..John George!! nimefanya naye kazi Family Health International kwenye mradi wa Ishi kabla hajaamua kwenda kuongeza Nondo...vijana wote wangekuwa kama huyu bwana nadhani Tanzania bila ukimwi ingewezekana!! Hongera sana John George kwa kuzidi kuongeza Nondo...keep it up.

    ReplyDelete
  4. Majina ni kama yafuatavyo:
    kuna Dr Abuu Mzirau, Dr Heri Marwa, John George, George Ruhago, Emmanuel Makundi, Dr Petronilla Ngiloi, Dr Mwendwa Mwenesi, Sia Malekia, Dr Vishnu Mahamba, Toyi Midaba, na coordinators wao Bjane, Unni na Hope!

    ReplyDelete
  5. DOH!!!!!!!!!!!!!halafu nasikia kuna
    baridi sana huko???heti kweli??
    kama mkimuona Nasibu !ras nas
    msalimieni!

    ReplyDelete
  6. Dah, nimefurahi sana kuwaona marafiki zangu, kaka zangu na mwalimu wangu.
    Mwalimu Tumaini Nyamhanga, shikamoo sana.
    Kaka George, spika wa zamani wa bunge la wanafunzi la MUCHS enzi hizo, shikamoo kaka. Halafu wewe George Manchester sana. Unakumbuka QBar? Mmeniuziiiiii Man!!!!
    Kaka John George, shikamoo sana kaka.
    Na wengine, nawasalimia. Hongereni sana, kamueni shule wazee. Mwendo ni shule tu. Mmenikumbusha sana Sweden, kipindi kama hiki kuna ukijani fulani unatoka na maua fulani, duh huwa ni kuzuri sana.
    Ni mimi E.Mpolya kutoka Chuo Kikubwa cha Tohoku huku Sendai Japan. Tunakula International Public Health for Human Security kwa kwenda mbele tu....

    ReplyDelete
  7. Mdau anaetoa salamu kwa nasibu mwanukuzi yupo Oslo na anaendeleza mambo ya muziki na ametoa albam mpya iitwayo Dar es salaam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...