wachezaji wa mani yuu wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa nanihii juzi huko moscow

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2008

    kwa kweli ulitubania bro michu!!!malizia kusema bwana sio kombe la nanihii tumechukua UEFA cup,we areaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa the champions!!!!!Kwa kweli tumefurahi sana.....Man yu 4 life!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2008

    Aisee Bwana Masupu mbona unatubania saaaaana. Mmmmm!!!!!!!! Penda usi pende ubingwa ni wetu. Hata ukilia na kulia tumeuchukua,. NAAAAAA!!! The MAN U" Is the best team in Wooorld!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2008

    JEMENI JEMENI MTAKE MSITAKE MAN UUUUUUUUUU BINGWA!!!! HATA KAMA BONGO MLITUKATIA UMEME TULIANGALIA MPIRA KWENYE SIMU ZETU ZA KICHINA>

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2008

    ""SunSport understands that up to TEN Chelsea members of the first-team squad could leave including stars such as Didier Drogba, Claude Makelele and Ricardo Carvalho"".

    Poleni Chelsea,, hiyo ndiyo Man utd...

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2008

    sikujuwa kama misupu una roho ya korosho namna hii mbona umekuwa mzito kutowa hii picha ya ubingwa wetu?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2008

    Bwana Mithupu, naona bado hujatutendea haki. Nikiangalia comment yako inaonyesha bado kuna ka-kinyongo kako kunako mtima. Usijali ndugu kuna mwaka mtaongeza, ila mnatakiwa muangalie sana kwani kombe la PL mlikuwa na 18 MAN-U 7, sasa hivi ni 18 kwa 17. Bado kidogo rekodi itafikiwa na kuvunjwa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2008

    Hivi ndio unatakiwa michuzi ,sio unabana bwana , Hivi Madrid wanataka nini?kila dakika Ronaldo leo Ben Schuster anasema watafanya kila kitu wamchukuwe inaelekea wanaongea na Glazer family moja kwa moja wanajua david Gill na Ferguson hawataki kuongea deal yoyote,We know ronaldo is not leaving lakini its annoying kila siku kelele zao,why would he want to leave the kings of europe for the next 3 years haahahah!Jamani tuondoe ushabiki ki ukweli mimi naona manchester united sasa hivi wana uwezo wakuchukua hili kombe tena mwakani!Kuna mdau alisema eti Ronaldo alimkimbia Cole na Mchezaji bora anatakiwa awe against best players,Kumbuka final it was about tactics not individual,Cole alipewa Hargre ili asi attack sasa nashangaa hata comment uliyotoa haina msingi! Alafu eti penalty sio ushindi sasa goli mliofunga nyie ni goli au bahati Finals is about taking your chances which John Terry didnt ,wakujilaumu ni Drogba na Wachezaji ile penalty kwanini hamkupa Kalou?i always said Schvechenko is a big match player angecheza basi hata extra time no one ever liked him at chelsea but if you look how manay games he has played and goals he scored is not bad at all 17 goals in 60 appearance kumbuka almost all ni substitute mleteni manchester muone magoli mangapi angefunga. any way we are the kings of europe lets enjoy our selves hahha

    William uk (unitd for life)

    ReplyDelete
  8. naaammm.. hapa ndio penye!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2008

    bwana mithupu sio kiivyo hata kama usinge iweka hiyo picha huwezi kubadilisha matokeo lazima ukubali kama man u bingwa

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2008

    we kaka Michu yaani mpaka dakika za mwisho ulikuwa hutaki kuwaweka mabingwa sio anyway tunashukuru mnoooooooo but kumbuka MAN ndio washindi najua wewe lako bwawa la maini kama sikosei manake kutwa kusifia. tuombee dua fainali ijayo basi MAN wacheze na bwawa uone watavyotolewa aibu.

    ReplyDelete
  11. Teh Teh TEh Teh! mdogo wangu michuzi najua unaumia sana! ningekue katika mdi(mood) ungeipata habari yako! ila sababu ya hawa vizabizabina wanao endeleza xenofobia roho inaniuma sana!
    ila sishangai maana hata mayor wa manchester uinaelekea ni "scouce" (najua unajua maana yake!) maana amekataza watuwasishangilie kwenye basi refu eti kuna fujooo!
    Haya dogo hata ukibana sisi tunasema "res ipsa loquitur" facts speak for themselves. WE ARE THE CHAMP!!!!!
    Ni hayo tu!!!!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2008

    kwanza nasikitika sana brother michuzi ulivyotubania kutoa habari zetu lakini ingekuwa Liverpool siku waliyochukua hapo hapo ungetoa tusiwe na unazi bali huo ndiyo ukweli binga mashetani wekundu the red devils.Kwanza napenda kuta salamu za pole kwa washabiki wa Chelsea imeonyesha jinsi gani mlitudharau na squad lenu kubwa lenye wachezaji walionunuliwa kwa mamilioni ila hatukubabaika pili ni salamu za hongera kwa ferguson na kikosi kizima cha maangamizi ya msimu hasa juzi moscow wamenifurahisha sana hasa mnyama mwenyewe TEVEZ,Ferdinand na Hargreaves na Van Der Sar alitupatia ushindi.Sasa ajichanganye mtu season ijayo aone moto wetu ni wa baruti sasaivi hasa Arsenal walichonga wameishia wapi wamegeuka wao kuwa baiskeli ya miti misimu mitatu wapo bila ya kombe kwanza wachezaji wanaonunuliwa msimu huu ni watakuwa moto mzito Keep going wanaume wa shoka Man United 4 life and shizzle

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 23, 2008

    Brother Michu natumaini tupo pamoja ila sio siri Man U wameniachia kilema cha maisha! Ingekua heri hizi timu waziwekee nembo kwamba ushabiki ni hatari kwa afya yako kama walivyoweka kwenye sugara!.
    Maumivu ya roho yaliyonipata ni sawa na siku Naigeria ilipofungwa na Denmark mwaka 1998 kwenye Wordcup France 1998! Siku hiyo nilisema sitosapoti tena Naigeria,lakini The Blue nimetoka nao mbali,tangu enzi zile tunamfunga Real Madrid na kutwaa champions cup,mechi baina ya bingwa wa Ulaya na yule wa Cup Winners Cup iliyofutwa.
    Hongeleni Man U, ila bado siamini kwamba Mungu anawapenda Mashetani wekundu na kuchukia rangi ya Bluu ambayo ipo karibu nae! "infinity colour"
    Tutaonana msimu ujao kwenye Community Shield naamini tutafuta nuksi kwenye jezi zetu mpya ambazo katika mechi mbili mfululizo tumepata sare mbili zinazofanana ndani ya dk 90,kwani waingereza wanaamini kwamba timu inayotwaa Community Shield huwa na mafanikio msimu huo
    gEorGe
    True Blue

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 23, 2008

    Sir Alex sio mchezo bwana, sasa mpeni wale wachezaji wa chelsea uone kama vilabu vingine havijagomea mashindano, kwani itakuwa ni kukandamizwa kila kukicha

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 23, 2008

    ""SunSport understands that up to TEN Chelsea members of the first-team squad could leave including stars such as Didier Drogba, Claude Makelele and Ricardo Carvalho"".
    May 23, 2008 11:06 AM
    Usihofu ndugu soma hii hapa kutoka kwa Katibu mtendaji......
    (http://www.skysports.com/story/0,19528,11661_3600190,00.html)
    Peter Kenyon has declared Chelsea are set for a summer shopping spree in order to land the 'star' names required to bridge the gap to Manchester United.

    Chelsea narrowly missed out to United by two points in the Premier League title race and the Blues also suffered penalty shoot-out heartbreak against the same opponents in Wednesday's UEFA Champions League final.

    The failure to land a trophy this season has heaped pressure on manager Avram Grant and chief executive Kenyon has admitted his disappointment at finishing behind United.

    Chelsea owner Roman Abramovich is now expected to make available a £100million transfer kitty and Kenyon has revealed the club are only looking to bring in big names, with the likes of Milan playmaker Kaka and Real Madrid ace Robinho thought to be prime targets.

    "We will be bringing in a couple of players," Kenyon said in the Daily Express.

    Star names

    "But we are looking at a very thin market from a quality point of view, and it's realistic to say we're only looking at a small number of players.

    "We're looking at players who have the potential to be star names. When you look at what we've already got, are they better than that?

    "Manchester United set the benchmark for transfer fees last year. I didn't expect them to go out and spend that much.

    "But what this season has proved is that we have a squad of real depth. It's more about tweaking than a rebuild.

    "Three months ago, we were involved in four competitions, six weeks ago we were still in two and we got knocked out of the last one.

    "It's disappointing from that point of view, but we're going to regroup from that and come back better next season.

    "It's been an interesting season, but you don't like finishing second and as runners-up. Given the standards we've set at the club, that's not something we've settled for."

    Kenyon is also confident Chelsea will be able to keep hold of their top players this summer, despite speculation that Didier Drogba is heading for Milan and that Internazionale have set their sights on Frank Lampard.

    "We're pretty confident that the players we want to keep, we'll keep," Kenyon concluded
    gEorGe

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2008

    Mimi nilisha sema na narudia Michuzi huna haja ya kushabikia timu za mitaani. Mambo yote ni MAN united.

    HUko kwingine mmepotea, sijui arsenal, sujui CHes, wanatumia minguvu tu basi, na kurusha rusha ngumi.

    ReplyDelete
  17. mdau gEorGe,
    Hatutakutana nanyi katika Community Shield mwezi wa 8, maana Community Shield inakutanisha bingwa wa ligi na Kombe na FA, na ikiwa bingwa wa premier na FA ni timu hiyo hiyo moja, basi bingwa huyo atakutana na mshindi wa 2 wa premier.
    Kwa mantiki hiyo, Manchester itacheza na Portsmouth ambao ndio mabingwa wa FA

    PS: When you said "Champions Cup" did you mean "Super Cup"?

    ReplyDelete
  18. ..ohh by the way, Super Cup haujafutwa. Ilichofutwa ni Cup Winners Cup ambayo iliunganishwa na UEFA Cup. Hivyo kuanzia '99, super Cup imekuwa ikishindaniwa baina ya mabingwa wa Champions League na UEFA Cup

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 23, 2008

    "Champion,champion,champion,champion"hiyo ichuzi nio songi letu hapo kidogo umifurahisha maana sasa huo nio ushabiki tukifanikiwa unatupongeza na wewe ukifanikiwa tunakupongeza...na bado msimu ujao michu
    MWANACHAMA WA MANCHESTER[4LIFE]

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 24, 2008

    Its about time michuzi dammmmmmm, What took you so long? Ohhh i know its about JEALOUS.
    Anywayz jus wanna let every fan of MANU knowz that "WE THE BEST N NOBODY CAN CHANGE THAT......SUCKERS"

    Mdau T-Dot

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 24, 2008

    wewe NALITOLELA unaongea nini NALITOLELA mimi naona pumba,wadau wengine mnasemaje??

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 24, 2008

    HONGERA WATOTO WA DARAJANI KWANI MNAENDELEA KUVUNJA REKODI
    1.HAMJAFUNGWA DARAJANI KWA MECHI MILLIONI MBILI
    2.THE BEST RUNNER UP IN THE WHOLE FOOTBAL WORLD PL,UEFA, CARLING, CHARITY SHILD ,NA MENGINEO MENGI.
    3 MNA CAPTEN MSAIDIZI WA TIMU YA TAIFA BIG UP JT WE LOVE YOU MAN.

    NB RONALDO HUWA HAPERFORM KWENYE MECHI KUBWA. INAMAANA JUZI HAIKUWA MECHI KUBWA???

    GLORY GLORY MAN U UNITED
    AND THE REST ARE MUCHING ON AND ON.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 24, 2008

    Big match,Ronaldo mbadoooo forget goli alilofunga,bado nakubaliana na yule mtoa maoni wa siku ileeeeee.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 24, 2008

    anonymous wa 1:59 unatafuta ugomvi na nalitolela wewe...

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 24, 2008

    WE RED DEVILS atii

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 24, 2008

    Mdau wa May 24, 2008 1:59 AM,Nalitolela kiasi yupo sahihi,ni kweli nilikosea,kwani Ngao ya hisani(kwa UK) hushirikisha Bingwa wa ligi na mshindi wa pili,pindi moja kati ya timu hizo alikua ni bingwa wa FA Cup.
    Sikusema "Champion Cup" i.e Super Cup imefutwa ile ipo na mechi ijayo ni Man U vs Zenith ya Urusi.
    Chelsea ilitwaa Super Cup mwaka 1998 na si Champion Cup kama nilivyosema awali.
    Ila mashindano ya Cup Winners'Cup yaliondolewa na UEFA mwaka 1999,kipindi ambacho UEFA Champions League iliongezewa idadi ya timu zaidi na washindi wa vikombe vingine mbali na ligi waliungana na timu zilizotwaa nafasi ya tatu kwenye makundi ya UEFA Champions league na wale wa Intertoto kushiriki UEFA Cup.
    Nalitolela yawezekana hilo joho lako limebeba ka "PASS!" maana pia unatatizo la kuanza kujibu swali kabla hujamaliza maelezo yoote kwenye swali,(joke!)
    gEoRGe

    ReplyDelete
  27. lol at gEoRGe's last comment...
    unanifurahisha kiongozi, anyways it's all good kaka. In all fairness, mlitupa one hell of a game and it could have gone either way. Nilisikitika chances zetu 2 za first half hazikuingia, maana tungewatundika goli 3 sijui kama mngerudi. Ila I guess bahati ilibalance later maana mligonga mwamba na mtambaa wa panya later! That was the best final I have seen tokea 2005 kina Michu walivyowaotea Milan. Maybe mwakani tunaweza kukutana tena au sio!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...