hili ni vazi la kitaifa kwa kinamama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Hapa ndio tunapokosea. Vazi la taifa si lazima liwe na bendera. Ukiangalia mavazi ya wenzetu waswazi, wanigeria, indonesia, wahindi n.k., hayana rangi za bendera.
    Kinachohitajika ni kuangalia katika mavazi yetu ya asili, lipi tunaweza kulitumia kama utambulisho wa taifa eg kikoi, lubega n.k.

    Mdau
    http://drfaustine.blogspot.com/

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2008

    Hicho kiatu pia cha kitaifa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2008

    Nani kasema?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2008

    That guy sitting on the chair hapo kulia kaonekana kama Rais Kikwete..... au ni picha imenipiga chenga ???

    Vazi nzuri lakini. Jirani wetu Kenya wametafuta mavazi "official" ya wanawake kwa muda wamiaka 20 lakini wapi.

    Hii naona imetulia.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2008

    Too black nyeupe ingekuwa poa hayo ni mawazo yangu tu

    Mangi

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2008

    No, no no!! Utafikiri tunamourn badala ya ku-celebrate! Na modo mwenyee??

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2008

    Mdau uliyezungumzia rangi za bendera hapo; vazi ni huo mshono wenyewe na wala siyo hizo rangi. Na mshono siyo lazima uwe "exactly" kama wa huyo mama hapo juu, ingawa usiwe tofauti sana. Rangi zozote za kitenge, au za kiafrika zitakubali huo mshono.

    Mimi binafsi nimelipenda hili vazi kwa sababu haliendani na vijanamke vilivyokonda "vi-miss mabibo".

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2008

    utadhania kifaru tayari kushambulia!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 20, 2008

    mtindo mzuri sana, tatizo kama huana wowowo, kasheshe !!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 20, 2008

    mdau Tarehe May 20, 2008 6:49 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    SOME PEOPLE ARE NATURALLY SKINNY..huwezi ukamlaumu mtu just because yeye ni mwembamba..inaudhi sana

    hili vazi lipo Okay!

    ReplyDelete
  11. Limepitishwa na Bunge la Wananchi au kulikuwa na kareferendamu ka kisirisiri?

    Mimi nilidhani vazi la Taifa ni lile lililotumika kumkaribisha Komandoo Kichaka kutoka Kiwanja!

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 20, 2008

    we mangi hapo juu kama we mweusi kama mkaa kivyako nyeusi ndio nzuri

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 20, 2008

    Very good wadau constructive comments especially 7:23.
    Keep it up mdau kwani unafurahisha sana its out of the blue.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 20, 2008

    Vazi la taifa mbona wazee wanavaa suti?? Huu ni ukandamizaji wa kiujanja kwa mama zetu

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 20, 2008

    Mweh mweh mweh!
    We Muhidini we.
    Hiyo RANGI NYEUSI na JOTO hili la Bongo si hao mama zetu wataivia humo ndani!?!
    Khaa!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 21, 2008

    Mwanamke tenge mwanaume chyonglai.
    hayo ni mambo ya kizamani kwani mavazi ni ladha ya mtu na wala hakuna utaifa kama kweli utaifa upo kila basi viongozi wetu wangeleza chonglai badala ya misuti ya bei mbaya.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 21, 2008

    vazi la kitaifa kwa watu wa pwani ni msuli kutokana na magonjwa ya mishipa.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 21, 2008

    Haina haja ya rangi ya Mabendera kwa kwa kila kitu chenye kuonyesha utaifa mbona kuna vitu vingi tu ambavyo .. vinatutambulisha sisi watanzania kuliko hata hiyo Bendera ,, kwani huku Amerika tukivaa bendera yetu ya Bongo wengi hawaijui , huwa wanafikiri na JAMAICA FLAG sababu rangi zinashabihana ..vile vile wnzetu Jamaica walijitangaza kwa Bendera toka miaka mingi Enzi za BOB MARLEY.. Hivyo ningeshauri tutumie nembo nyingine kuonyesha utaifa.. kama vile Twiga Simba ,Kilimanjaro mountain nk.. mimi nimechoka kuitwa Mjamaica kila ninipovaa kitu chochote chenye kuonyesha bendera yetu bila jina ..

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 21, 2008

    We unaedai kuita wanawake waliokonda hujui tofauti ya Wembamba na Kukonda na INAONEKANA una matatizo fulani hivi hivyo kwa kuongelea wengine VIBAYA wewe unajisikia VIZURI kidogo,unapata nafuu ya machungu na ishu ulizonazo.Watu wanaongelea VAZI,mengine yametoka WAPI????Taratibuuu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 21, 2008

    NYIE VIPI KWANI MMEAMBIWA TAIFA LA TANZANIA, KUNA MATAIFA MENGI TU. MULIZENI AWELEZE NI TAIFA GANI.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 21, 2008

    jamani nilisikia pia nguo ya batiki ni vazi la taifa,shona mshono wowote lakini inakutambulisha kuwa ni mtanzania.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 21, 2008

    Michuzi hiyo picha umepiga wewe au ninauliza hivyo maana hapo umezungumzia vazi lakini binadamu lazima awe na roho ya wivu na mbaya, vazi limeandikwa la Taifa, comments watu wanaanza kutoa kwa mama wa watu eti oo linafaa kama mtu ana wowowo yote hayo hanatokana na nini eti oo kama kifaru jamani muwe wa staarabu mama wa watu hajawakosea kitu chochote mwaanza kumkashif michuzi angalia sana hao watu si wazuri gday

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 21, 2008

    Hapo sawa lakini kigezo gani kimetumika kulibuni vazi la Taifa. Napenda sana kuwepo na kitu kama hicho lakini iwapo mtu atauliza historia yake hat mbunifu anaweza kushindwa kutoa jibu. Vazi la taifa maana yake ni vazi linaloichora taswira ya watu wa taifa lile yaani chimbuko na imani za watu wale. Huwezi ukaja na vazi bila maelezo halafu ukasema ni vazi la taifa hutueleweka na wengi. Ila yote tisa wazo ni zuri.

    Mimi
    Sipendi

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 21, 2008

    we 7.40 kama mtu ndio mungu alivyomuumba inaamana asivae nguo ya taifa! Hayo ni mawazo yako binafsi kwanza siku hizi wala hatupendi mizigo ya nyuma.
    Ila vazi ni zuri linaweza likawa katika rangi yoyote inayompendeza mtu kutokana na rangi yake aliyoumbwa nayo. Bendera sio lazima lakini inapendeza kama mtu akiwa kwenye matamasha yanayomtaka ajulikane kwa utaifa basi avae ya hivyo.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 21, 2008

    Balaa kubwa!

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 21, 2008

    WEWE Tarehe May 21, 2008 7:54 AM, Mtoa Maoni: Anonymous EMBU JARIBU KUONGEA FACTS .. NDIO NIMESEMA KUNA WATU AMBAO THEY ARE NATURALLY SKINNY, NI SIZE ZERO, UNAWEZA KUMUANGALIA UKADHANI KAJIKONDESHA KUMBE NDIO GENES ZAKE ZILIVYO! NA VIVYO HIVYO KUNA WATU AMBAO THEY ARE NATURALLY FAT, HAWA HATA WAFANYE DIETS ZIPI,HAWAKONDI NDIVYO WALIVYO NA UNAKUTA MTU WALA HALI SANA,UKIMUANGALIA UNADHANI MLAFI KWAHIYO NAONA MI COMMENTS YENU NI YAKUKANDAMIZA SANA WANAWAKE. VI-MISS MABIBO VIACHE,MBONA MNAVITONGOZAGA BASI!?!?...NIMECHOKA NA WANAUME WA TANZANIA NA HULKA ZAO! THIS IS 2008!!! GIRL POWER!

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 21, 2008

    Jamani kwani vazi la Taifa ni kwa Wanawake tu ?! .Wanaume wa Tanzania nao watatambulika Vipi ua ndo hizo rangi za Taifa ?! Na kama ni mtindo/mshono ni upi basi !? Jamani ma-dizaina wa mitindo ya nguo mpo.... ??!

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 22, 2008

    Ndg wa May, 21,6.09, Mimi pia nilikuwa namjibu huyo huyo anaesema kina miss- Mabibo(wanawake wembamba)Nilikuwa nakemea hiyo tabia ya kuongelea maumbo ya watu,labda hujanielewa.ni HAYO TU.Peace.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 22, 2008

    kaka michu tunakupenda kaka yetu lakini kazi ya kutuvalisha kaniki kama waganga wa kienyeji tumegoma na kiatu hicho nope,we refuse

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 22, 2008

    DAH ANONYMOUS 7:54 NILIKUKWOTI VIBAYA,I THINK I MEANT KUMKWOTI MTU MWINGINE..NOW I CANT REMEMBA WHO..PLEASE FORGIVE ME MY BROTHER,PLEASE FORGIVE ME,AM I FORGIVEN?

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 24, 2008

    anonymous 1:54 we vipi wewe??mbona pumbalist

    miss keys

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 24, 2008

    Hamna neno Ann. wa 22 may 1:54, kuhusu maumbile, Nimekusamehe najua hukuwa umenielewa its ok. peace.We r in the same page.Thanks kwa kuwa mstaarabu.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 24, 2008

    wewe MISS KEYS WA 2:09 NDIO PUMBALIST,KWASABABU SIZANI KAMA YANAKUHUSU.HUJATAJWA,UNAITIKA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...