Amanda Ole Sulul akiwa katika vazi lake la taifa lililobuniwa na Farouque Abdela katka maonesho ya mavazi haya ya kimataifa yaliyofanyika mjini HoCHi Minh, Vietnam.
Hivi sasa watanzania na watu wote duniani wanaweza kumpigia kura Amanda katika shindano la kutafuta vazi la taifa bora kwa kupitia mtandao. Tembelea tovuti ya www.missuniverse.com kwa maelezo zaidi.

Naomba Watanzania tumpe kura zetu mrembo wetu na kumsaidia kupeperusha bendera ya taifa!

MICHUZI NAOMBA UWASHITUE WADAU KUWA ULE WAKATI WA KUPENDELEANA UMEWADIA. TUMPIGIE KURA MREMBO WA BONGO KWENYE MISS UNIVERSE ILI ASHINDE.

WEB NI HII LAKINI INABIDI UJIANDIKISHE ILI UALIKWE KABLA YA JUNI 26.

http://www.pageant-almanac.com/vote/dcballot.php?poll=mu08r1ame&who=2lq6h4s3

UJANJA NI KWAMBA MADEMU WA NIGERIA, GHANA NA AFRIKA KUSINI (NA HATA ANGOLA INGAWA HANA PICHA) NI BOMBA, KWA HIYO WAPE KURA ZA CHINI, NA. 11, 10, 9, 8.

NA WA KWETU MPE NA. 1. HAPA NDIO PA KUMALIZIA HASIRA ZETU ZA KUSHINDWA KWENYE SOKA.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2008

    Oyaa mbunge misoup, mwambie huyo msela atoe link ya ku-sign up, ili tujiandikishe, sio anatupa ma-link ambayo hata hatuoni pa kujisajili. Poa wape hi madei waka wenzako, lakini muwe makini maana masela sikuhizi wanawavizia madriver taxi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2008

    haiwezekani tumpigie kura halafu akipata gari atatumwagia maji!!hatumpigii

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 24, 2008

    Eee bwana Misupu ee!
    Ee bwana Demu wa Nigeria ee bwana Bomba kichizi mtu wangu.
    Eee bwana mi niko radhi hata kuuza nyumba yangu. Kwa kweli ni Mzuri.

    Vipi huyo Maria Sarungi anaweza kunipatia kontakti zake wangu?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 24, 2008

    Wow that weave is too much man. Bila lile bango linalo sema "Tanzania" basi huto jua kama ni mtanzania. Watch how she gon fall short kudadake cuz we always wana copy others jamani tuwe natural tanzania tuna culture nzuri tuu kwa nini asinge vaa nywele zake short tuu sio leo 99cent weave hilo . anyways good luck but the only Miss Universe we ever had ws Flavian. She was the best out of all even USA n the whole world said so. Why she was soo natural

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2008

    Mimi nimejaribu kuangalia kuvote, kujiandikisha nimeshindwa kuona pa kujiandikisha hebu saidia hapa niipendelee nchi yangu kabla ya deadline.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2008

    VAZI HILI HALINA TOFAUTI NA LILE ALILOKUWA AKIVAA MALKIA ELIZABETI WA KWANZA MIAKA YA '40, SASA SIJUI HUYO MBUNIFU ANAMAANA GANI KUTUSANII KWA KUCHUKUA MITINDO KWENYE MITANDAO KISHA KUTUAMBIA AMEBUNI VAZI LA TAIFA MABEGA WAZI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2008

    HELP!HELP!TUNAFANYIA WAPI REGISTRATION JAMANI ILI TUWEZE KUPIGA KURA ANGALAU TUMUOKOE AMANDA!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2008

    Hiyo link hapo chini unavote tu bila hata kijiandikisha lets do it Tanzanians, I did twice already.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 26, 2008

    Ni kweli kabisa sioni hili vazi kama linamwakilisha mtanzania yeyote. Hakuna wala kabila lenye vazi kama hili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...