mdau wa angola katuletea hizi picha za hivi karibuni ambapo mbwa amejifungua kitoto chenye umbo la binaadamu. wadau mnasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 58 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2008

    khaa! itakuwa binadamu alifanya mapenzi na mbwa na kumpa ujauzito. i dont believe this.
    Ms Bennett

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2008

    Just a GENETIC FREAK!
    It is just a 'malformed' DOOOGY!
    Do not worry.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2008

    Hayo ni maajabu tuu,binadamu anakaa tumboni kwa miezi 9 na mbwa kama sikosei anabeba mimba ya miezi minne,kama kuna binadamu alimpanda huyo mbwa hatoweza kubeba mimba na mtoto kuwa tayari kwa miezi hiyo..au wanasayansi wanasemaje jamami?maana kwa kweli ni maajabu kabisa..kama kweli kuna binadamu kafanya hivyo atakuwa na mfadhaiko wa hali ya juu!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2008

    kuna mkono wabinadamu hapo hatari angau huyo kakamata mnya kuna walewakamatao watoto wadogo ndiohatari

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2008

    Wanaadamu tusali! Tunamchukiza Mungu, ndio maana tunapata majaribu yote haya.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2008

    ni maajabu tu, si kama mwanadamu amefanya mapenzi na mmbwa, manake kama ingekuwa ni mwanadamu hao watoto wengine wa mbwa nao wangetoka watoto wa ajabu kama huyo. Hii inatokana "Karyotype condition", hapa nina maana Chomosomes, na kama ni X-somes za mbwa na binadamu zinatofautiana kwa namba, umbile na hata ule uonekano haziwezi zikiungana kutoa binadamu ama mbwa kamilifu, bali kitatoka kitu mmbwa si mbwa, binadamu si binadamu. Hapo kutokea kitu kama binadamu ni sababu X-somes zilipata "mutation", zikabadilika kuweza kuwa katika hali kama ya X-somes za binadamu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2008

    This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2008

    Hii inatia shaka, kuna dume la mbegu lilirutubisha pasipostahili.
    Sijui maelezo ya kisayansi,ila vinginevyo mchezo haramu utakuwa umefanyika.
    By the way,nilidhani kuwa mbwa anazaa sio kujifungu, au kusema mbwa amefariki badala ya kufa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2008

    Dunia inazidi kwisha !! Huyo jamaa aliempa mimba huyo dogi inabidi aozeshwe tu ili walee mtoto wao.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2008

    ms bennet naungana na wewe kabisa!! maana hapo hakuna maelezo mengine...watu wenyewe wa kizazi hiki!tushasikia haya ya binadamu kufanya mapenzi na wanyama b4. Mungu atusamehege tu!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 10, 2008

    Eeeh Mwenyezi Mungu! sasa hako katoto katalelewa na mwenye mbwa au mbwa manake ubinadamu hakapo na kwenye mbwa hakapo mwishowe kataliwa na mbwa. Dah hii kali. naona dunia inafikia ukingoni

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 10, 2008

    Nini tena kama si laana dalili za kiama ninyingi sana siku hizi hii inathibitisha usemi Binaadamu
    (wengine) ni mbwa kasoro mkia.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 10, 2008

    mmiliki wa mbwa akamatwe haraka na kufikishwa kwenye sheria ni lazima amefanya nanhii nae

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 10, 2008

    Duuuuuuuuuuuh! kuna binaadamu (man) alikuwa na ukame akajaribu hapo nini? Akalee mwanawe sasa asijikaushe. Duniani tutaona mengi.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 10, 2008

    Science na technolojia.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 10, 2008

    Nduguzangu Dini ziko nyingi Basi Ombeni Duwa Na Someni jamani haya maajabu ya mwenyezimungu yana mitiani yake Swala Swala Swalini na MUombe Na Wacheni mambo ya ajabu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 10, 2008

    Binadamu gani yuko hivyo wewe? Kuna sifa za kuwa binadamu huyo hana hata moja. Kazaa tu kumbe wa ajabu lakini si anayefanana na binaamu. Ach kudhalilisha ubinadamu.

    Nini kimekufanya uamini hiyo picha hadi kuibandika wakt siku hizi kuna kitu kinaitwa photoshop utaalamu ambao unaweza kuunganisha picha au kuzibadili uatkavyo.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 10, 2008

    Nami Bw. Misupu naungana na huyo binti hapo juu (Ms. Bennett) kuwa lazima binadamu mwenye akili finyu atakuwa amefanya mapenzi na huyo mrembo DOG na kupata mtoto wa aina yetu sisi binadamu !!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 10, 2008

    Nami Bw. Misupu naungana na huyo binti hapo juu (Ms. Bennett) kuwa lazima binadamu mwenye akili finyu atakuwa amefanya mapenzi na huyo mrembo DOG na kupata mtoto wa aina yetu sisi binadamu !!!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 10, 2008

    binadamu kachangia hapo kidogo duuu mi sielewi mdau endelea kutujulisha pindi kitakapoendelea kukuwa.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 10, 2008

    Hii Michu mie na weye si wajinga.. huyu ni binadamu alizaa mtoto mwenye matatizo ama syndrome ya aina fulani akakirushia kwa mbwa,... huyo mtoto ni wa binadamu hata wa kichukua DNA na wala hawazi kuwa wa mbwa hata siku moja... wamshike huyo mwenye mbwa aeleze vizuri manake itakuwa ndio yeye...

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 10, 2008

    Hio haiwezekani kabisa, binadamu kumpa mimba mbwa, jamani msitufanye na sisi hatujasoma.

    ReplyDelete
  23. Glory to God Allmight
    Yasiyowezekana kwa Binadamu Kwa Mwenyezi Mungu Yawezekana,
    Anaweza akawa ameingiliwa na Binadamu Au Laa
    Mwenyezi Mungu ayaweza yote

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 10, 2008

    Mimi naona ni kawaida tu. Hakuna mapenzi kati ya mwanadamu na Mbwa kuna tamaa tu mbaya ya mwanadamu ambayo siamini kama inaweza kusababisha kuzaliwa kwa kiumbe yeyote kutokana na kutofautiana kibiologia kati yao.
    Haya wadau mnaosomea wanyama (madaktari) hebu toeni mani yenu.

    Kaka, Arusha.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 10, 2008

    Haya si maajabu michu ni mwisho wa dunia unakaribia. Hapo ni kwamba kuna jamaa alikuwa anampanda mbwa huyu wakati wa heat kwa tamaa za ngono, na ikatokea mbwa akapata ujauzito wa binadamu hivyo mtoto kuwa half cast. yaani nusu mbwa nusu binadamu. Hiyo inatokea sana hasa huku kwa wenzetu wanaojiita wameendelea kulala na mbwa kwa ajili ya upweke,. ila huku wanawachoma sindano mbwa wasipate ujauzito au kutoa mbegu za kusababisha ujauzito. Sasa hiyo ndio product na jamaa aliyefanya hivyo anajijua yupo kimyaa huku moyoni akisema mtoto wangu huyo.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 10, 2008

    JAMANI, JAMANI, JAMANI...HII SASA NI LAANA.....MTALAANIKA NA HIYO MIKIA YENU.......WEWE MWANAUME UTAWEZAJE KUTEMBEA NA MBWA JAMANI!!!....SASA JAMANI HIKI KIUMBE NDO ILI IWEJE?.....ITABIDI KIUWAWE KWANI NI UDHALILISHAJI WA HALI YA JUU KABISA....ALIYEFANYA HICHO KITENDO NA LAANA IMTEMBELEE YEYE NA VIZAZI VYAKE VYOTE!.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 10, 2008

    hii ni dalili kuwa siku za mwisho wa dunia zinawadia, dhambi zimezidi duniani. yawezekana ni binadamu alifanya vitu na jibwa. ndo maana magonjwa ya ajabu hayaishi duniani. Mungu Tuhurumie!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 10, 2008

    salaleeeeeeeeeeeeeeeeeee! haki ya mbongo binti muhamad..........jini!!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 10, 2008

    Itabidi mwenye mbwa ajieleze!!!

    ReplyDelete
  30. hiii lazima alichangia na binadamu,na tena atakuwa huyu mdau wa angola.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 10, 2008

    kwa kweli dunia imekwisha!!!!!!!!!hivi binadamu mwenye akili timamu anaweza fanya hivyo???angekuwa mwanamke amezaa mbwa i could understand...but not otherwise!!!anyway labda jamaa alikuwa na ukame

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 10, 2008

    Akaa!!! makubwa madogo yana nafuu!!!

    ReplyDelete
  33. ben ungemuwahi ungeokoa jahazi hapo sijui ulikuwa wapi

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 10, 2008

    Mbwa huyo bwana, alikuwa bado kukamilika, kwa ufupi kazaliwa NJITI. Si binadamu

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 10, 2008

    watu wabaya sana,sijui wamepatwa na ukame gani mpaka kufanya mapenzi na mbwa.huyo mbwa katiwa mimba na binadamu.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 10, 2008

    gademu! hakuna cha maajabu wala nini.. halafu mtu hawezi kufanya mapenzi na mbwa...... hivi mnafikiri gonoria inatoka wapi? Mwenye mbwa atafutwe...

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 10, 2008

    ha ha WABONGO acheni hizo..huyo mbwa ni aina ya BULL-DOG....huwa anakuwa hivyo..that is full breed ya bull dog, anakuwa hana fur akizaliwa na yes very lazy puppy.
    Hamna nini wala nini...please people...!!!

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 10, 2008

    hee dunia sasa imekwisha, watu tutubu dhambizetu sasa.

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 10, 2008

    Wewe Anon wa 10:17AM jaribu kuwa na tafisida kidogo karika maandishi yako. Sasa kama wewe unaogopa isije ikakutokea kwa kuwa una Mimba kwani nawe ulinanihii na mbwa before ya huo ujauzito mpaka uogope isikutokee?. Kama ulinanihii na mbwa hamna haja ya kuogopa subiri product yako mama.

    Vinginevyo jaribu kutumia lugha ya tafisida kidogo.

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 10, 2008

    wewe anon 4:35 unaesema this is a BULL DOG i got a few petronizing questions for you: i like people like you,who think they know too much. i have 3 dogs. my question is how can a normal rotteweiller produce an offspring that is a BULLDOG? bloody answer that question mr. smart man.

    this is uchawi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  41. AnonymousJune 10, 2008

    hhahahah KIRUNDU UMECHEKESHA!!

    ReplyDelete
  42. AnonymousJune 10, 2008

    Jamani mimi naona kuwa wengi sana hapa hatujasoma na kusoma ni vizuri zaidi sasa leo ndio nimeamini maana nilitegemea misupu alivyotoa hizi picha watu wengi watachangia kutokana na elimu zao lakini naona kuna pumba tu zimejaa hapa hamna hata kitu cha muhimu kilichotolewa sasa labda wote waliosema kwamba binadamu kachangia hapo labda niwaambie kwanza nendeni kwanza mkasome ndio muelewe zaidi kiundani nini maana ya elimu sio mnakuja na kulopoka na mnaandika hamjui nini mnaandika hebu kwanza fikirieni binadamu na akili zake ataweza kumpa mimba mbwa na binadamu alijuaje kama huyo mbwa yupo kwenye siku zake acheni mambo ya kishamba nyinyi kama ni binadamu kafanya hivyo basi watoto wote wangetoka kama binadamu sasa mbona wengine watoto wa mbwa imekuwaje hayo mambo tumuachie mwenyezi mungu ndio anayejua kila kitu na yeye ndio alivyoumba vile sasa tujaribu kuongea vitu vya maana ni kwa nini imekuwa vile nadhani katika hizo commect hapo juu aliyesomea BIOLOGY ni mmoja tu hapo juu anaitwa KAA KAZI wengine wote mmesomea biashara sasa tujaribu kuepukana na hivi vitu na wengine kuita binadamu wenzao VINYAGO sio vizuri hujafa hujaumbika maisha bado hujayamaliza kwa hiyo tujaribu kujadili vitu vya muhimu jamani.....

    ReplyDelete
  43. AnonymousJune 10, 2008

    egidio anon 2:42 you have a sexy picture there

    ReplyDelete
  44. AnonymousJune 10, 2008

    Du kaka michuzi mi naona hii ni kwa sababu ya mabomu yaliokuwa yakilipuliwa kule Angola hadi yame alter genetics za doggie huyu, Wadau wanatakiwa wasishanga mbona athari za mabomu ya Hiroshima na Nagasaki kule ujepu bado yanaonekanaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  45. AnonymousJune 10, 2008

    Hivi watu wengine wanapotuma comments zao huwa hawachukui muda kujiuliza ninachoandika hapa kitapokelewa vipi na wadau?

    Anonymous 3:2 6PM,Ulipouliza hivi binadamu mwenye akili timamu anaweza kufanya hivyo alafu ukasema angekuwa mwanamkee amezaa mbwa you could understand ulikuwa unamaanisha nini haswa?
    kwamba wanawake hawana akili timamu ama wanawake kisayansi maumbile yao yanawawezesha kufanya mapenzi na mbwa na hatimaye akapatikana mtoto ama? Mi sielewi!

    Hebu tufafanulie please

    ReplyDelete
  46. AnonymousJune 10, 2008

    mmmmm, nimeshituka kidogo kwamba hakuna hata mmoja wetu ambaye ameweka hoja kuwa haya yanaweza kuwa mambo ya Photo Point na Picasso Picture Editing!!!! Jamani, si kwenye mtandao tunaonyeshwa hata picha za viungo vya watoto wadogo vinavyouzwa kwenye mabucha na kuliwa mahotelini huko Korea?? tuamini kwamba ni kweli?? ama watu wanacheza na compyuta tu....!

    ReplyDelete
  47. Suala hilo laweza likawa limetokana na Genetic mutation, suala la kujamiana mbwa na binadamu tusiliangalie kiushabiki na kijuu juu tu, lazima kabla hatujalishabikia na kutoa hukumu zetu tuone sayansi inasema nini pia. Naungana na Kaa kazi hapo juu kwamba mbona watoto wengine wa mbwa wamekuwa mbwa na hawakuwa binadamu kama mbegu ilikuwa ya mwanadamu. Halafu umbo la kiumbe hicho pichani limefanana na binadamu baaddhi ya sehemu lakini si zote, la muhimu na msema kweli ni genotype ya kichanga hicho. kwani mutation inaweza kuumba umbo lolote kama hilo. Nafikiri kama wanasayansi wangeweka wazi genotype ya hicho kiumbe ingetusadia zaidi, pengine ni mbwa tu alopata mutation.

    ReplyDelete
  48. AnonymousJune 10, 2008

    Michuzi, kama hutajali naomba uitoe hii picha mpenzi, sawa?

    ReplyDelete
  49. AnonymousJune 10, 2008

    JAMAA ALOTOWA MAONI KWA KUJIITA -MWANAKIJIJI- TOA USHAMBA WAKO AU WEWE UNALALA NA MBWA KWAHIYO NDIO UNAJIHAMI HAPA KUSEMA HAIWEZEKANI MTU AKALALA NA MBWA???
    HUKUMBUKI ILE KESI YA WAZUNGU WALIOFIKISHWA MAHAKAMANI HAPA KWA KUMFANYISHA MAPENZI DADA YETU MTANZANIA NA MBWA? HII HABARI KILA MTU ANAIJUA. SASA UNAONGEA NINI HAPA? INAWEZEKANA SANA.
    NAKUBALIANA NA -JP. KWELI MWENYE MBWA HUYU ATOE MAELEZO LAZIMA KUNA KITU KILITENDEKA HAPO. ASANTENI.

    ReplyDelete
  50. AnonymousJune 10, 2008

    Kweli jamani, TAFISIDA naungangana na mdau.
    Ila Albert Umenichekeshaa sana na wewe ann. wa june 10, 10:23am, you people are TOO Funny.

    Obama 08.

    ReplyDelete
  51. AnonymousJune 10, 2008

    Kweli lakini hata mimi nilipomuona BULL DOG,ndio nilichofikiria kwanza,inawezekana, labda Bull dog ndio Baby Daddy!!!!who knowz!!???

    ReplyDelete
  52. AnonymousJune 10, 2008

    Hamna cha ajabu hapo ni kwamba huyo mbwa kazaa fetus ambaye hajakamilika,huyo fetus anaonekana wazi hajakamilika katika ukuaji wake ndani ya uterus ya mbwa jike.Kamwe haiwezekani binadamu kuzaa na mbwa kwa sababu mbwa jike hana Oocyte kama binadamu,kwa sababu hatupo species moja,acheni kutukanisha ubinadamu wetu kwa hizo bestilian porn zenu
    gEoRGe

    ReplyDelete
  53. AnonymousJune 11, 2008

    jamani...binadamu na mbwa hawawezi kuzaa! Hiyo ni genetic mutation tu! Msiohofu...

    ReplyDelete
  54. AnonymousJune 11, 2008

    Vijana Waungwana, taratibu,Kisayani,MBWA+BINADAMU=HAKUNA KIZAZI KINACHOWEZATOKEA.Please.

    ReplyDelete
  55. AnonymousJune 11, 2008

    PITTBULL??? looks like...

    ReplyDelete
  56. AnonymousJune 11, 2008

    Fertilization between Home sapien (binadamu) and Canis familiaris (mbwa)can take part [?] but the offspring produced will not be fertile! Haya ni mambo makubwa BUT interesting to study... Wenda tukagundua jambo hapa, kama kweli XY wa kibinadamu alimkandamiza XX wa ki-mbwa! Wadau, it is confusing but let's think twice!

    Seve

    ReplyDelete
  57. AnonymousJune 11, 2008

    Mimi nimesoma comments zote za wachangiaji zinafurahisha sana. Sijui hicho kiumbe gani labda huyo mdau wa Angola ana jibu.Ni kama mtoto wa bulldog vile. Mbona kama huyo mbwa ni mama ya hicho kiumbe anakishangaa.Mbona kikubwa ukilinganisha na puppy nyingine.Kwanini chenyewe kimelazwa kwenye (kitanda) na kimefunikwa shuka??Mda wa Angola atupe habari zaidi labda mdolly wa puppies.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...