Samahani kwa kushindwa kwetu kuwatumia picha kwa wakati. Leo tunawatumia picha za fainali yetu na Gonga f.c ambapo tuliibuka mabingwa kwa kuwafunga Gonga f.c kwa goli 4-3 kwa njia ya matuta katika uwanja wa Villa Sguad.
picha za fainali yetu na Sifa united ambapo tuliibuka mabingwa kwa kuwafunga Sifa utd kwa goli 1-0 na picha za mchezo muhimu wa kirafiki kati yetu na Tanzania Soccer Academy katika uwanja wa karume ambapo tulifungwa goli 4-1.
Mdau Chris
kny KCSC
hiyo staili ya kupiga picha inatisha, yaani wa mbele wanainama wa nyuma wanachuchuma usawa wa .... jamani ! haya .....
ReplyDelete